Haya ndiyo madhara ya kuvutia bangi chooni pole kijana.
Nimekutana na mwalimu wangu, mtu mzee kiasi kwani kanifundisha sekondari. Kasema oho, unaona Magufuli anayofanya?
Nikamuuliza anafanya nini, akanijibu kazuia safari za nje, kakamata wezi bandari, katimua TRA, nk. Nikasema BURE KABISA. Mwalimu akanishangaa, akaniuliza we ya Magufuli huyaoni? Nikasema nayaona, lakini bure kabisa.
Akasema we ulikuwa mwanafunzi mbishi tokea zama zile. Nikamuuliza kwani unafanya kazi gani siku hizi? akasema, bado mwalimu. Nikamuuliza umewahi kumsifia mwanafunzi wako yoyote, achilia mimi niliyekuwa naongoza na bado hukunisifia. Akasema, ningekusifia ungevimba kichwa.
Nikamuuliza, sasa mbona unamsifia Magufuli? Aha, akajibu. Sasa nimekupata mwanafunzi wangu. Magufuli bure kabisa.
Unasemaje na wewe. Maana hadi sasa tumeona pasi na chenga nyiiiingi. Je, kuna goli? Magufuli bure kabisa. Unamuunga mkono mwalimu wangu?
Kweli vyenga vingi lakini magoli siyaoni?
1.Ajira mpya hakuna
NB:
Hata zile zilizojengwa zimepunguzwa
2.Ushuru bado upo palepale.
NB:
Wameshaanza kukusanya ushuru nyumba kwa nyumba.
3.Nadhani tutangaziwe hazina ina kiasi gani na amefanikiwa kukusanya kiasi gani ndipo tuweze kwenda na kasi pamoja.
4.TULIJUA BAKHARESA ALIKWEPA ALILIPA NINI:
Vipi UDA ALIKWEPA NA AMELIPWA NINI.
ISIWE NI KILINDANA HAPA!!TULIONA YAMEKAMATWA KWA MAELEZO YA KUKWEPAKODI,YAACHIWA BILA MAELEZO.
5.TUNASEMA HIVI UKIMYA WA WENGI UNAJIBU KUBWA LA KUSHANGAZA DUNIA!!!!
Yaani kwa mwezi anekusanya 1.3 billion na hajasafiri na ujumbe wa watu 50 kwenda kubembea Ulaya? Bure kabisa huyo Magufuli.
1.3 trilioni not bilion mdau
1.3 trillion not billion
thanks. 1.3 trillions!
Ukitaka kujua magamba mengi ni vilaza utaona michango yao kwenye huu uzi,inahitaji uelewa wa hali ya juu kukuelewa mtoa uzi