Mwalimu wangu kasema Magufuli bure kabisa

hapa jf ukitoa quiz ya kifalsafa ya logic wengi watakula zero .Kwanza wana jf haasomi mada wanasoma neno au sentens moja kisha jazba hapo wamesoma magufuli bure kabisa msingi wa mada hakusoma
 
wewe mwenyewe ulichokiandika ni wazi msingi wa mada hauujui.
 
hapa jf ukitoa quiz ya kifalsafa ya logic wengi watakula zero .Kwanza wana jf haasomi mada wanasoma neno au sentens moja kisha jazba hapo wamesoma magufuli bure kabisa msingi wa mada hakusoma
Msingi wake nini, tuambie unayejua.
 
Mwalimu wako hajasema "Ubure"wa JPM ni upi?! Its a vague statement, hakuna mjadala hapo, matter closed, hatuna muda mchafu tuko busy "tunatumbua majipu"

Nimekutana na mwalimu wangu, mtu mzee kiasi kwani kanifundisha sekondari. Kasema oho, unaona Magufuli anayofanya? Nikamuuliza anafanya nini, akanijibu kazuia safari za nje, kakamata wezi bandari, katimua TRA, nk. Nikasema BURE KABISA. Mwalimu akanishangaa, akaniuliza we ya Magufuli huyaoni? Nikasema nayaona, lakini bure kabisa. Akasema we ulikuwa mwanafunzi mbishi tokea zama zile. Nikamuuliza kwani unafanya kazi gani siku hizi? akasema, bado mwalimu. Nikamuuliza umewahi kumsifia mwanafunzi wako yoyote, achilia mimi niliyekuwa naongoza na bado hukunisifia. Akasema, ningekusifia ungevimba kichwa. Nikamuuliza, sasa mbona unamsifia Magufuli? Aha, akajibu. Sasa nimekupata mwanafunzi wangu. Magufuli bure kabisa.

Unasemaje na wewe. Maana hadi sasa tumeona pasi na chenga nyiiiingi. Je, kuna goli? Magufuli bure kabisa. Unamuunga mkono mwalimu wangu?
 
hapa jf ukitoa quiz ya kifalsafa ya logic wengi watakula zero .Kwanza wana jf haasomi mada wanasoma neno au sentens moja kisha jazba hapo wamesoma magufuli bure kabisa msingi wa mada hakusoma

Hapa jf? Ni wapi ambapo watu huwa wanajua msingi wa mada? Ondoa pumba zako, unaona umejikoki kumbe uharo tu unaandika
 
Mwalimu wako hajasema "Ubure"wa JPM ni upi?! Its a vague statement, hakuna mjadala hapo, matter closed, hatuna muda mchafu tuko busy "tunatumbua majipu"

Mleta mada anajifunza kuandika fasihi.
 
Wa bongo bhna mengine Kama hamjui muwe mnasema hamjui kujifanya mnajua kila kitu mtaumbuka

Kila mmoja anasema fumbo fumbo mbona hamna hata mmoja alie toa Maana yoyote.......Mimi sioni Kama kuna Ufumbo wowote zaidi ya upuuzi tupu

Au mnataka kusema neno BURE KABISA ndo fumbo?? Basi kila mtu anacho ongea kitakuwa Fumbo!

Mda mwingine muwe mnafikiria sio kila kitu mtu akishindwa kukielezea ni Fumbo! Hu ni upuzi

Kama mleta mada ni mkubwa kiumri na kamfundisha Magufuli Basi sawa!

sie wabongo wewe msomali
 
mada. Magufuli Kaanza vizuri mwalimu wangu asiyesia mtu kirahisi kamsifia. Lugha hii BRN watakuelwa mkuu.Na wanaotoka povu watakuambia wamesoma Udom,Saut,St John nk
 
Mleta mada naomba uniambie kama kauli ya "bure kabisa" ya mwalimu wako ilikusaidia chochote. Kama haikukusaidia pamoja na kuwa wa kwanza darasani, basi Magufuli hastahili kuambiwa bure kabisa.
 
Nimekutana na mwalimu wangu, mtu mzee kiasi kwani kanifundisha sekondari. Kasema oho, unaona Magufuli anayofanya? Nikamuuliza anafanya nini, akanijibu kazuia safari za nje, kakamata wezi bandari, katimua TRA, nk. Nikasema BURE KABISA. Mwalimu akanishangaa, akaniuliza we ya Magufuli huyaoni? Nikasema nayaona, lakini bure kabisa. Akasema we ulikuwa mwanafunzi mbishi tokea zama zile. Nikamuuliza kwani unafanya kazi gani siku hizi? akasema, bado mwalimu. Nikamuuliza umewahi kumsifia mwanafunzi wako yoyote, achilia mimi niliyekuwa naongoza na bado hukunisifia. Akasema, ningekusifia ungevimba kichwa. Nikamuuliza, sasa mbona unamsifia Magufuli? Aha, akajibu. Sasa nimekupata mwanafunzi wangu. Magufuli bure kabisa.

Unasemaje na wewe. Maana hadi sasa tumeona pasi na chenga nyiiiingi. Je, kuna goli? Magufuli bure kabisa. Unamuunga mkono mwalimu wangu?
Haya ndiyo madhara ya kuvutia bangi chooni pole kijana.
 
Ukitaka kujua magamba mengi ni vilaza utaona michango yao kwenye huu uzi,inahitaji uelewa wa hali ya juu kukuelewa mtoa uzi
Team Lowasa mnashida sana mwaka huu mnapigwa kotekote pole jizi lenu siku hizi limefunga mdomo nayo mahakama ya mafisadi inakuja.
 
Kweli vyenga vingi lakini magoli siyaoni?
1.Ajira mpya hakuna
NB:
Hata zile zilizojengwa zimepunguzwa
2.Ushuru bado upo palepale.
NB:
Wameshaanza kukusanya ushuru nyumba kwa nyumba.
3.Nadhani tutangaziwe hazina ina kiasi gani na amefanikiwa kukusanya kiasi gani ndipo tuweze kwenda na kasi pamoja.
4.TULIJUA BAKHARESA ALIKWEPA ALILIPA NINI:
Vipi UDA ALIKWEPA NA AMELIPWA NINI.
ISIWE NI KILINDANA HAPA!!TULIONA YAMEKAMATWA KWA MAELEZO YA KUKWEPAKODI,YAACHIWA BILA MAELEZO.
5.TUNASEMA HIVI UKIMYA WA WENGI UNAJIBU KUBWA LA KUSHANGAZA DUNIA!!!!
 
Nimekutana na mwalimu wangu, mtu mzee kiasi kwani kanifundisha sekondari. Kasema oho, unaona Magufuli anayofanya? Nikamuuliza anafanya nini, akanijibu kazuia safari za nje, kakamata wezi bandari, katimua TRA, nk. Nikasema BURE KABISA. Mwalimu akanishangaa, akaniuliza we ya Magufuli huyaoni? Nikasema nayaona, lakini bure kabisa. Akasema we ulikuwa mwanafunzi mbishi tokea zama zile. Nikamuuliza kwani unafanya kazi gani siku hizi? akasema, bado mwalimu. Nikamuuliza umewahi kumsifia mwanafunzi wako yoyote, achilia mimi niliyekuwa naongoza na bado hukunisifia. Akasema, ningekusifia ungevimba kichwa. Nikamuuliza, sasa mbona unamsifia Magufuli? Aha, akajibu. Sasa nimekupata mwanafunzi wangu. Magufuli bure kabisa.

Unasemaje na wewe. Maana hadi sasa tumeona pasi na chenga nyiiiingi. Je, kuna goli? Magufuli bure kabisa. Unamuunga mkono mwalimu wangu?

wewe na huyo mwalimu wako naona kuwa wote wajinga.Kama alikuwa hataki uvimbe kichwa angekuwa anakupa sifuri au marks za chini kwenye mitihani ili usiongoze darasani uone unahitaji kujitahidi zaidi.Lakini anakupa marks za juu unaongoza darasani halafu anasema wewe bure kabisa!!! Wewe na mwalimu wako mnatakiwa kwenda kulazwa wodi ya vichaa mirembe
 
Msomi mmoja pale Nkrumah kwenye mjadala alisema Ni mpumbavu anayeweza kukosoa hotuba ya magufuli nikajiuliza mwaka wa pili university anaongea hivi anapaswa kupatiwa mkopo huyu?
 
Back
Top Bottom