Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Chenga nyiiiingi hakuna goli
Yaani kwa mwezi anekusanya 1.3 billion na hajasafiri na ujumbe wa watu 50 kwenda kubembea Ulaya? Bure kabisa huyo Magufuli.
Ndo unamkingia kifua ssa na uharo wake aliouandika? Haya Uccm, wewe una unini?Mpaka mtu wa fasihi ndo ataelewa huyu bwana ameandika nini. Wengine watakuja kutukana hapa, kuongea uharo, kuleta u CCM na ujinga mwingii. Lakini kumbe hawajaelelewa jamaa ana maanisha nini
Tehe tehe tehe. Umeliweza LOFA.Nimekuelewa Vizuri " Ningekusifia ungevimba kichwa "
Chenga nyiiiingi hakuna goli
Umeelewa nini?mtoa maada umeeleweka
we have missed these kind of posts
inafikirisha
Umemaliza mkuu. Acha Magufuli awagonge mpaka waombe poo.Hili ndilo tunalotaka. Viuno vingi, style nyingi lakini hamna goli hadi afike kileleni ndipo goli lipatikane. Huu ndio urijali
Mpaka mtu wa fasihi ndo ataelewa huyu bwana ameandika nini. Wengine watakuja kutukana hapa, kuongea uharo, kuleta u CCM na ujinga mwingii. Lakini kumbe hawajaelelewa jamaa ana maanisha nini
Chenga nyiiiingi hakuna goli