Kivipi yaani!Mshahara mdogo haukidhi mahitaji
Upo sahihi mkuu, serikali inabidi iangalie namna ya kuwaboreshea maslahi, mazingira ya kazi ili hadhi ya mwalimu irudi kama miaka ya 70s na 80sHapa Jf hadi walinzi wa Suma Jkt na Bond wanawasema walimu...
Nijuavyo...
Ualimu ni sacred job...
Huenda inadharaulika hapa Afrika ila si hivyo kwenye mataifa yanayoijua nguvu ya Elimu...
Mchepuko unakula maisha
Ila kuna jambo haujaliweka sawa. Huko wanakothamini walimu, hawa walimu wenu wa Tanzania wenye div two na three wasingekuwa na sifa za kuwa walimu.Hapa Jf hadi walinzi wa Suma Jkt na Bond wanawasema walimu...
Nijuavyo...
Ualimu ni sacred job...
Huenda inadharaulika hapa Afrika ila si hivyo kwenye mataifa yanayoijua nguvu ya Elimu...