Karibu xana nachingwea ndugu yangu,mimi ni mzaliwa na mkazi wa pale ila xaxa nipo mtwara /saut ,kama hutojali nicheki kwa 0653165750 kwa msaada wowote ikiwemo watu wa kukupokea stendikama kichwa kinavyojieleza, naomba kwa yule anaye ifahamu wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi anijuze kwani nimepata kazi ya kufundisha huko.