kitandilikunja
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 229
- 37
Ni wilaya iliyogawanyika kutoka Kibondo. Sehemu kubwa inapakana na nchi ya Burundi, na game reserve ya Mwaiwosi. Ni sehemu nzuri . Inapakana na Biharamuro, Ngara na si mbali kufika Kahama
Kwan kahama kuna nn ili kufika?