MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

kwa ufupi kaliua ni wilaya mpya ambayo ndo inayoendelea kwa ss chakua na maji vinapatkana kwa bei ndogo sana .
haina mistu mikubwa bali kuna vichaka vya hapa na pale.
karibu ujionee mwalim wetu
 
Naijua vizur jiandae kukutana na watoto wanaobonga kipare darasan kiswahil/kingereza wanabahatisha tu yan ni rahaa
 
Hello wana jamii forum napenda kujua zaidi kuhusu shinyanga dc nimepangiwa huko kufundisha kama kuna mwenye information kuhusu eneo hili itakayo nisaidia aniambie plz

Shukran wote
 
Kupo poa nimekaa huko mwaka mmoja ni wilaya inayokua inafaa kwa kuanzia maisha maisha ni nafuu sana kama gharama za kupanga na chakula bei chee kwa maisha kunafaa sana.
 
Kupo poa nimekaa huko mwaka mmoja ni wilaya
inayokua inafaa kwa kuanzia maisha maisha ni
nafuu sana kama gharama za kupanga na
chakula bei chee kwa maisha kunafaa sana.
 
yaan biharamulo ni pazur sana mwalimu unapoanza kaz karibu sana huyo jamaa kakwambia ukwel
 
huko kuna majambazi wa kutoka rwanda na burundi balaa,hakufai
 
Moshi baridi hakuna siku hizi labda huko rombo, marangu etc. weather imebadilika sana
 
Kwahyo vp umeme ushafika maeneo km hayo nilotaja?? Naimani samaki nitaenjoy
 
Kupo poa nimekaa huko mwaka mmoja ni wilaya
inayokua inafaa kwa kuanzia maisha maisha ni
nafuu sana kama gharama za kupanga na
chakula bei chee kwa maisha kunafaa sana.kuko poa sana kaka karibu. nitafte kabla hujaripoti kituon nikuelekeze...karib sana
 
mazee ndio kina nani we kijana? jitahidi uandishi wako uendane na jf, humu kuna walimu wako

Na kwa uandishi wake huo sidhan km atawezana na wale wajita. Murangi hakuna umeme na ni pana udongo mwekundu balaa. Kule sijawah ona nyumba za kupanga.
 
Back
Top Bottom