MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Jamani mm jina langu limeonekana kwa walimu wa sayansi phy na math japo mm nimesoma art geog na eng na nimepangiwa Same, je naweza kwenda kuripot hivyo hivyo? na pia anaeifaham same hasa hiyo shule ya Kazita naomba anipe mwanga kidogo. Ntashukuru.
 
Jamanii Wameniulia Wilaya Ya Singida Huko Kupoje Wajumbe? Msaada Nipo Iringa Mufindi!
 
Jamani mm jina langu limeonekana ktk file la walimu wa sayansi phy na math japo mm nimesoma art geog na eng na nimepangiwa Same, je naweza kwenda kuripot hivyo hivyo? na pia anaeifaham same hasa hiyo shule ya Kazita naomba anipe mwanga kidogo. Ntashukuru.
 
Ni kame,maji tabu unaeza fuata km3 kwa mkokoteni wa punda,jua kwa sana sio kama Iringa
 
liwale pako poa bt huko ulikopangwa hakuna umeme na sehemu ya shopping ni liwale mjini tu, karbu mwagamwaga kwa mahtaji mbalimbali.
 
Ni pazur baridi lipo la kutosha,maisha nafuu na kuna utengule hotel karibu
 
Nilipo mimi kufuata mshahara naul elfu13 kwenda mazingira tabu,hamna umdme wala maji,pipa lenye maji wanauza elfu6 na bado tunaish mwaka wa 4 huu,karibuni kondoa
 
Habari walimu,karibuni wilaya mpya ya chemba zamani kondoa kwa wale ajira mpya tuwasiliane mi ni mwl mzoefu ntakuelekeza chaka zote za huku

Hahahaaaaa waelekeze kiongozi kuanzia tarafa ya kwa mtoro,goima,pande za mrijo,msaada, soya,chandama,mpendo,huko gwandi, hahahaaaaa maeneo yangu ya kujidai
 
Kwa walimu wapya karibuni karatu mjionee wenyewe mambo mazuri.ukifika omba upangiwe barakta pako pazuri sna.
 
Back
Top Bottom