Mwalimu Nyerere na ukabila

Mwalimu Nyerere na ukabila

Okay wahaya na wachagga walikuwa ndio wasomi kwahiyo aliwapa uongozi wa chini sio urais (as you know someone has got to be a leader) lakini baadhi yao walikuwa na different opinions kuhusu kuiendesha nchi..., now this was mapungufu ya Nyerere "it was either his way or the highway".. kwahiyo hao viongozi wengine kina Kambona (wahaya) walitaka kumpindua so akawapotezea..., alafu hawa wasomi wangekuwa wanambishia while he wanted people to agree with him (another bad side ya Mwalimu), so kina Kawawa the Yes man ndio walikuwa perfect for his team.., after all ukiwa kwenye Jahazi unahitaji watu wanaokusikiliza especially on those days...

Lakini all in all he was a good leader na Mzalendo wa Kweli
kuweka rekodi sawa, kambona ni mnyasa sio mhaya.
 
Ingawa sikunaliani na aliyoyafanya lakini huenda motive ilikuwa ni kuwapunguza makali ili waende sambamba na wenzao kwahiyo tunaweza kusema alikuwa Mzalendo wa Kweli ingawa policy zake they might leave a lot to be desired
nathani kwa kufanya hivyo aliuwa competition (hamna nchi duniani iliyo-flourish bila ya competition) ndo maana nchi hii ni moja ya nchi maskini zaidi though kulikuwa na potentials kubwa! hebu imagine KNCU first african natives cooperative union in Africa to have equal chances to trade as settlers at that time 1933 ! Fikra zake pungufu zilimfanya aone shortcut ni kuzorotesha maendeleo ya KNCU na si kuhimiza the rest of Tanzania kujiunga kwenye vyama vya ushirika au kiviboresha vilivyokuwapo kwa kujifunza uendeshaji toka KNCU! Btw serikali kazi yake kukusanya kodi na kutoa huduma kwa jamii na si kuendesha biashara! ndio maana huyu baba alitaifisha mashule baada ya kujenga mapya ya serikali kumpa kila mtu nafasi! Thats short sightedness ukizingatia hakuwataka hawa watu kwenye uongozi kama inavyodaiwa sasa waliamua ku-concentrate kwenye biashara akawaingilia tena! thats was policing state! Dunia hii hakuna usawa zaidi ya katika basic needs ndo maana kuna matajiri na maskini!
 
get the facts right, Bomani aliambiwa avitaifishe miaka ya sabini na tunachojua viongozi wake wakawa wanachaguliwa na serikali na si wanachama democratically kama ilivyokuwa hapo kabla, leo hii tuna mifano ya watu kama wakina Diallo wametajirikia na ubadhirifu wa mashirika haya!

watu wa sampuli hii ya akina diallo walitakiwa kuwa magerezani kwa ubadhirifu walioufanya, na wako wengi ingawa bahati mbaya kwa wakulima na wenye vyama vya ushirika na bahati nzuri kwa hawa wabadhirifu, wote wamejificha kwenye mwavui wa chama twawala kwahiyo hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Je unaweza kunisaidia kufahamu kama diallo naye aliingia ncu kwa kuchaguliwa na wananchama ama serikali?

Pili kahawa iliyokuwa inaongoza kuleta fedha za kigeni ikazorota..

Inafahamika kwamba pamoja na mambo mengine lakini uzalishaji wa kahawa uliporomoka kutokana na kushuka bei kwenye soko la dunia pamoja na nchi nyingine za amerika kuongeza uzalishaji, sasa hapa Bomani ama Nyerere anahusikaje?
 
Brazil pia ilichangia lakini believe me vyama kama KNCU vingeweza kuhimili ushindani kama si utaifishaji wa vyama hivyo na kuwekwa chini ya management mbovu ya serikali! mbona KNCU (1984) ina-exist though si powerful kama hapo kabla? na Brazil na Colombia wapo na ni leading coffee exporters hata sasa?
 
ndo maana akamtumia Bomani huyohuyo kuuwa KNCU baada ya Nyanza Cooperative Union kufa sio? Grow up acha propaganda NCU kiliuwawa na Wasukuma wenyewe kwa ubadhirifu! rekodi zipo..

kumbe helewi kitu wewe uliza tukwambie, Nyerere aliona ili kuua nguvu ya vyama vya ushirika kama VFCU, ilibidi awatenge viongozi wa vyama hivyo na chama chenyewe, alimchukua Bomani na kumpeleka Dar kuwa waziri wa Ushirika na Kilimo, akalazimisha kila eneo la kazi lazima kuwe na tawi la TANU! Akachukua vimwana-TANU viherehere toka vitokako akaviweka kila mahali kuwa vikatibu vya hayo matawi, na mameneja wa maeneo hayo kuwa wenyeviti.

Hapo ndipo siasa ilipo ingilia nyanja ya uzalishaji. Wale makatibu wa matawi ya TANU wakawa ni watendaji wakuu na ndipo Chama Kushika Hatamu ikatangazwa rasmi. Pesa zikawa zinachotwa toka viwandani na kwenye vyama vya ushirika na kupelekwa TANU/CCM. Wanasiasa wakatamalaki kila upande na uzalishaji viwandani ukazorota na mashirika mengi kufa.

Bomani kwa kujua ama kutokujua lengo la Mwl. lilikuwa ni kummaliza nguvu za umaarufu, alikubaliana na mawazo ya Mwl. akasahau na kwao, akenda kuoa huko huko viongozi wengi wapuuzi wasipenda kwao wanako-oa! CCM ikavuruga uchumi wa nchi, ilipo ona mashirika mengi yamekufa ikaanzisha shirika lake la uchumi, weeh kwa vile walizoea kula bila kuzalisha halikuchukua round wakalikomba pyuuu! CCM ikauza mashirika yaliyokufa ili wapate pesa, walipoyamaliza wakaingilia BOT, wakalamba kwa style ya EPA. Historia ni ndefu, naomba kuwasilisha!
 
Mkuu kwenye issue ya vf ninakupata vizuri sana na nadhani hii kitu iliwarudisha nyuma kiasi wasukuma kwa ajili ya kuimarisha umoja wa kitaifa na hususan utekelezaji wa sera za ujamaa.

Lakini hili la shule za kata usijipe matumaini hata kidogo. Huko huko usukumani kuna watu wamebahatika kusoma vizuri sana hadi wakapata tunuku za havard na kadhalika lakini jiulize wamefanya nini ili kuwaimarisha na kuwakomboa wasukuma wenzao. Kuna mdau mmoja kasema hapo mwanzo kwamba ukimkuta msukuma ni bosi ofisini huwezi kukuta chain ya wasukuma hapo, si kwamba hawajasoma, wapo wasukuma wamesoam vizuri tu lakini hawapendani!!! Sasa hili la shule za kata na maadam ziko mkila mkona ya nchi, zitawaongezea ujinga ili waendelee kuzunguka nchi na ng'ombe maelfu kwa maelfu na kugeuka mtaji wa polisi na wakuu wa wilaya wanakoelekea kulisha mifugo yao ilihali wao wakiendelea kutaabika.

Uko sawa mkuu......................nadhani unajua vizuri juu ya nilichokisema,manake wakuu wa wilaya,polisi n.k ndio wanaofaidi utajiri wa hawa ndugu zetu...........anyway wa Havard watabaki na havard zao lakini lazima tupiganie mfumo wa haki ili yasije kutokea ya misri,libya na kwingineko manake sisi watoto wa wakulima ndio tutakao umizwa na consequences............................
 
kumbe helewi kitu wewe uliza tukwambie, Nyerere aliona ili kuua nguvu ya vyama vya ushirika kama VFCU, ilibidi awatenge viongozi wa vyama hivyo na chama chenyewe, alimchukua Bomani na kumpeleka Dar kuwa waziri wa Ushirika na Kilimo, akalazimisha kila eneo la kazi lazima kuwe na tawi la TANU! Akachukua vimwana-TANU viherehere toka vitokako akaviweka kila mahali kuwa vikatibu vya hayo matawi, na mameneja wa maeneo hayo kuwa wenyeviti.

Hapo ndipo siasa ilipo ingilia nyanja ya uzalishaji. Wale makatibu wa matawi ya TANU wakawa ni watendaji wakuu na ndipo Chama Kushika Hatamu ikatangazwa rasmi. Pesa zikawa zinachotwa toka viwandani na kwenye vyama vya ushirika na kupelekwa TANU/CCM. Wanasiasa wakatamalaki kila upande na uzalishaji viwandani ukazorota na mashirika mengi kufa.

Bomani kwa kujua ama kutokujua lengo la Mwl. lilikuwa ni kummaliza nguvu za umaarufu, alikubaliana na mawazo ya Mwl. akasahau na kwao, akenda kuoa huko huko viongozi wengi wapuuzi wasipenda kwao wanako-oa! CCM ikavuruga uchumi wa nchi, ilipo ona mashirika mengi yamekufa ikaanzisha shirika lake la uchumi, weeh kwa vile walizoea kula bila kuzalisha halikuchukua round wakalikomba pyuuu! CCM ikauza mashirika yaliyokufa ili wapate pesa, walipoyamaliza wakaingilia BOT, wakalamba kwa style ya EPA. Historia ni ndefu, naomba kuwasilisha!
mkuu malizia historia hiyo mbona unawasilisha mapema.
 
.... leo hii tuna mifano ya watu kama wakina Diallo wametajirikia na ubadhirifu wa mashirika haya! Pili kahawa iliyokuwa inaongoza kuleta fedha za kigeni ikazorota..

Watu wa sampuli hii ya akina diallo walitakiwa kuwa magerezani kwa ubadhirifu walioufanya, na wako wengi ingawa bahati mbaya kwa wakulima na wenye vyama vya ushirika na bahati nzuri kwa hawa wabadhirifu, wote wamejificha kwenye mwavuli wa chama twawala kwahiyo hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Je unaweza kunisaidia kufahamu kama diallo naye aliingia ncu kwa kuchaguliwa na wananchama ama serikali?

Brazil pia ilichangia lakini believe me vyama kama KNCU vingeweza kuhimili ushindani kama si utaifishaji wa vyama hivyo na kuwekwa chini ya management mbovu ya serikali! mbona KNCU (1984) ina-exist though si powerful kama hapo kabla? na Brazil na Colombia wapo na ni leading coffee exporters hata sasa?

Kwanini KNCU 1984 haiko powerful kiasi hicho wakati huu? naamini bila shaka viongozi wake wanachaguliwa na wanachama wenyewe na sio serikali.
 
Mkuu kwenye issue ya vf ninakupata vizuri sana na nadhani hii kitu iliwarudisha nyuma kiasi wasukuma kwa ajili ya kuimarisha umoja wa kitaifa na hususan utekelezaji wa sera za ujamaa.

Lakini hili la shule za kata usijipe matumaini hata kidogo. Huko huko usukumani kuna watu wamebahatika kusoma vizuri sana hadi wakapata tunuku za havard na kadhalika lakini jiulize wamefanya nini ili kuwaimarisha na kuwakomboa wasukuma wenzao. Kuna mdau mmoja kasema hapo mwanzo kwamba ukimkuta msukuma ni bosi ofisini huwezi kukuta chain ya wasukuma hapo, si kwamba hawajasoma, wapo wasukuma wamesoam vizuri tu lakini hawapendani!!! Sasa hili la shule za kata na maadam ziko mkila mkona ya nchi, zitawaongezea ujinga ili waendelee kuzunguka nchi na ng'ombe maelfu kwa maelfu na kugeuka mtaji wa polisi na wakuu wa wilaya wanakoelekea kulisha mifugo yao ilihali wao wakiendelea kutaabika.

Ni kweli nakubalina na wewe kwenye red, lakini angalia hao wamesomea nini? Wengi wao wamesoma masomo magumu magumu hasa ya sayansi, utakuta madaktari wengi tu ni wasukuma, mainjinia wa fani mbalimbali, wafamasia nk. Wanaishi kwa kufuata principles kama masomo waliyosoma, hayana longolongo. Makabila haya yenye ubinafsi wa kutupwa wamesomea masomo laini laini kama fedha, sheria, utawala, biashara na uchumi. Wanacheza na paperwork work tu, wanapindishapindisha kila jambo bila utaratibu kama akina Chenge. Hebu piga picha hivi leo Magufuli angekuwa Mnyakyusa, Mhaya ama Mchagga unafikiri CCM ingekuwa bado iko madarakani?
 
nathani kwa kufanya hivyo aliuwa competition (hamna nchi duniani iliyo-flourish bila ya competition) ndo maana nchi hii ni moja ya nchi maskini zaidi though kulikuwa na potentials kubwa! hebu imagine KNCU first african natives cooperative union in Africa to have equal chances to trade as settlers at that time 1933 ! Fikra zake pungufu zilimfanya aone shortcut ni kuzorotesha maendeleo ya KNCU na si kuhimiza the rest of Tanzania kujiunga kwenye vyama vya ushirika au kiviboresha vilivyokuwapo kwa kujifunza uendeshaji toka KNCU! Btw serikali kazi yake kukusanya kodi na kutoa huduma kwa jamii na si kuendesha biashara! ndio maana huyu baba alitaifisha mashule baada ya kujenga mapya ya serikali kumpa kila mtu nafasi! Thats short sightedness ukizingatia hakuwataka hawa watu kwenye uongozi kama inavyodaiwa sasa waliamua ku-concentrate kwenye biashara akawaingilia tena! thats was policing state! Dunia hii hakuna usawa zaidi ya katika basic needs ndo maana kuna matajiri na maskini!
Mkuu asingetaifisha shule sidhani kama baba yako au baba yangu wangesoma labda kama their surnames ni Patel au Dewji..., Kuhusu KNCU maybe tatizo lake kilikuwa ni KNCU na sio TNCU (yaani Kagera na Sio Tanzania) therefore kilikuwa kinawanufaisha wachache (ingawa nadhani ingekuwa bora angeimiza na sehemu nyingine waanzishe) kuhusu policy za ujamaa kutokufanikiwa sio sababu ya mwalimu.., its just ujamaa works better on paper and not practically.. alafu ajenge mashule mengine kwa kutumia pesa gani.., kumbuka hata vita ya Uganda ilibidi tuchukue pesa za wastaafu wa Tanzania Railways Corportion ambao ndo wanalalamika mpaka sasa..., Believe me it was hard times... mambo yalikuwa magumu kweli kweli....
 
yaani nyerere mawazo yake yalikuwa finyu mpaka na yeye yamem costkutokuwepo kwa tv matokeo yake hotuba zake za tv zipo mbili tu....na zilichukuliwa akiwa sio rais...na ni itv na channel ten tu ndo wanazo....zingine nzuri hazipo kwenye tvkitabu ni historia ya edwin mtei kimezinduliwa hivi karibuniwaulize watu wa chadema watakupa
Dah! Kwa sababu una haki ya kutoa maoni yako naomba niseme hivi: Wewe kwenye ukoo wako utakuwa ni genius!!! Yaani mtu aliyekuwa na mawazo finyu kuna hotuba zake nzuri unatamani zingekuwa kwenye tv!!! Mtu aliyekuwa na mawazo finyu aliwapa nafasi hata watoto wa maskini kuonja shule!! Mtu mwenye mawazo finyu alimtazama kikwete akatambua na kutamka bila aibu kuwa hafai kuongoza nchi!! Miaka kumi baadaye wengi wasio na huo ufinyu wakampa kuongoza na naona wamemprove wrong Mwl.!!! How I wish tungekuwa na viongozi wengi wenye mawazo finyu kama ya Nyerere.... Na kweli tv zinazoliliwa zimetufaa sana, si hata dada zetu wakienda kuchakachuliwa live big brother hatuhadithiwi, tunajionea wenyewe! Tamthilia kwa kwenda mbele, miziki ya uchi kwa wadogo zetu na watoto wanaobaki majumbani. Mungu atupe nini tena?!
 
Hee babu lile, waislaam kawanyanyasa sana, kumbe hata makabila mengine alikuwa anayanyanyasa? ndio maana ile hotuba yake moja anawasannif wakara? mungu amuweke anapostahili.
 
Watu wa sampuli hii ya akina diallo walitakiwa kuwa magerezani kwa ubadhirifu walioufanya, na wako wengi ingawa bahati mbaya kwa wakulima na wenye vyama vya ushirika na bahati nzuri kwa hawa wabadhirifu, wote wamejificha kwenye mwavuli wa chama twawala kwahiyo hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Je unaweza kunisaidia kufahamu kama diallo naye aliingia ncu kwa kuchaguliwa na wananchama ama serikali?

Kwanini KNCU 1984 haiko powerful kiasi hicho wakati huu? naamini bila shaka viongozi wake wanachaguliwa na wanachama wenyewe na sio serikali.
Unfortunately free market economy came up at the time it was under nationalization, so automatically missed out a smooth management restructuring process a transition phase towards liberalized economy that was necessary to remain at peak! But believe me still KNCU performs better than many cooperatives unions, just a matter of time before claiming its rightful position it one were! Just look at arabica coffee harvest trend now, keeps peaking up yearly and fetches lucrative prizes at World Market
 
Mkuu asingetaifisha shule sidhani kama baba yako au baba yangu wangesoma labda kama their surnames ni Patel au Dewji..., Kuhusu KNCU maybe tatizo lake kilikuwa ni KNCU na sio TNCU (yaani Kagera na Sio Tanzania) therefore kilikuwa kinawanufaisha wachache (ingawa nadhani ingekuwa bora angeimiza na sehemu nyingine waanzishe) kuhusu policy za ujamaa kutokufanikiwa sio sababu ya mwalimu.., its just ujamaa works better on paper and not practically.. alafu ajenge mashule mengine kwa kutumia pesa gani.., kumbuka hata vita ya Uganda ilibidi tuchukue pesa za wastaafu wa Tanzania Railways Corportion ambao ndo wanalalamika mpaka sasa..., Believe me it was hard times... mambo yalikuwa magumu kweli kweli....
sasa yeye serikali yake ilikuwa inafanya nini kukusanya kodi tu na kuzi-misallocate sio? na kama hata kuzitaifisha then angeweka fixed time yaani nataifisha kwa miaka 10 ili baba zetu wasome halafu azirudishe kwa wamiliki wake? ama that doesnt make sense to you? mbona mpaka leo nyingi bado zipo chini ya serikali? na zinaoza hazina uangalizi mzuri? ukweli huyu jamaa alipenda shortcuts hata vijiji vya ujamaa ilikuwa ni flawed concept yaani kumtoa mtu kwenye shamba lake la mamia ya hectares kumpeleka kwenye kajishamba cha hecta mbili ili mradi tu uweze kumletea huduma ambazo afterall hazikufika! ukisahau uzalishaji utapungua vp? hivi economist wake alikuwa nani?
 
Dah! Kwa sababu una haki ya kutoa maoni yako naomba niseme hivi: Wewe kwenye ukoo wako utakuwa ni genius!!! Yaani mtu aliyekuwa na mawazo finyu kuna hotuba zake nzuri unatamani zingekuwa kwenye tv!!! Mtu aliyekuwa na mawazo finyu aliwapa nafasi hata watoto wa maskini kuonja shule!! Mtu mwenye mawazo finyu alimtazama kikwete akatambua na kutamka bila aibu kuwa hafai kuongoza nchi!! Miaka kumi baadaye wengi wasio na huo ufinyu wakampa kuongoza na naona wamemprove wrong Mwl.!!! How I wish tungekuwa na viongozi wengi wenye mawazo finyu kama ya Nyerere.... Na kweli tv zinazoliliwa zimetufaa sana, si hata dada zetu wakienda kuchakachuliwa live big brother hatuhadithiwi, tunajionea wenyewe! Tamthilia kwa kwenda mbele, miziki ya uchi kwa wadogo zetu na watoto wanaobaki majumbani. Mungu atupe nini tena?!

wewe una matatizo ya kuelewa
sasa ntajaribu tena kukuelewesha labda itasaidia....

hakuna sehemu niliposema nyerere alikuwa hafai kuongoza
au alikuwa mtu mbaya sana

thread inazungumzia nyerere na ukabila na jinsi alivyopinga ukabila
huku akidhibiti makabila makubwa

now je nyerere alikuwa na hotuba nzuri zenye manufaaa ?yes alikuwa nazo..
je kutokuwepo kwa tv wakati ule kumesababisha hotuba hizo zipoteee,yes kabisa...

je baadhi ya idea zake hazikuwa mbaya na finyu kwa maendeleo ya taifa?
jibu ni ndio kwa herufi kubwa kabisa....

tunapozungumzia matatizo ya utawala wake na mapungufu yake hatusemi hakuna mazuri aliyofanya

tunachosema alikosea na kulikuwa na njia nyingine mbadala....

kuhusu tv mbona cuba,zanzibar,china ya mao
na nchi nyingi tu za kisoshalisti zilikuwa na tv?????

televisheni ni chombo chenye faida na hasara kwa mujibu ya mnavyotumia na kukidhibiti

hasara chache haziwezi futa faida zake?

mbona internet ina porno kuliko chombo chochote?
je ipigwe marufuku???????/

angekuwepo nyerere hata jamiiforums isingekuwepo
 
yaani watu wa nyerere wameshindwa kabisa kujibu hoja ya gezaulole na chama cha ushirika cha kilimanjaro

ha haaa haaaa
ukweli ukiwepo,uwongo hujitenga lol
 
mkuu malizia historia hiyo mbona unawasilisha mapema.

Uzuri kama ulivyosema wasukuma ambao ndo wengi katika nchi hii hawana ubinafsi ama ubaguzi wa kikabila hata kidogo. Msukuma yuko tayari kuishi na mtu yeyote mstaarabu (asiye mgovi, mwizi, mpiga majungu nk). CCM kuwatawanya wasukuma wafugaji mpaka Sumbawanga, Lindi na Mtwala wanafikiri wanawakomoa. Hiyo ni mbegu inayokwenda kuota huko, kila mahali nchini wasukuma watakuwepo. Zanzibar wako wengi tu huko walikwisha enea, shule za kata zinaendela kutoa product ya mtaani, siku ikitokea msukuma mmoja mwenye convincing power wa kuweza kuwaunganisha wakaamua moja kwa lugha yao moja, siku hiyo kisukuma kitakuwa lugha ya taifa! Hakuna cha nambari wani wala nini ni UKOMBOZI TU wa Taifa.
 
Hee babu lile, waislaam kawanyanyasa sana, kumbe hata makabila mengine alikuwa anayanyasa? ndio maana ile hotuba yake moja anawasannif wakara? mungu amuweke anapostahili.

Faiza welcome back baby!!you know some of us loves you much.

You must relook at your attitude when discussing issues of public interest.

Why associating each and everything with islam?? why always discussing issues with an islamic eyes??

Come on Faiza try to be realistic.

Angalizo: usinishangae kwa kidhungu changu cha kayumba school!!!
 
Hee babu lile, waislaam kawanyanyasa sana, kumbe hata makabila mengine alikuwa anayanyasa? ndio maana ile hotuba yake moja anawasannif wakara? mungu amuweke anapostahili.
Maendeleo ya nchi hayaletwi na ustawi wa dini mara nyingii nchi zilizoendelea zimetenganisha dini na uongozi! ukiangalia historia ya dunia hii dini imeleta matatizo makubwa zaidi ya mazuri! naomba uniambie faida ambazo nchi ingepata kama hiyo jumuia ya waislam ingekuwapo kisiasa? Je ingekusaidia vp kustawi kama responsible citizen yaani kuelimika na kupata huduma bora! hii topic hapa tunaongelea exclusion ya wale waliokuwa na potential ya ku-take this country to heights na hata institution zao zilizokuwa zinachangia kipato katika nchi hii lakini zikawa subotaged!
 
Sina haja ya kubishana kuhusu nyerere, lakini wewe mwenyewe jijibu kuhusu hayo makabila uliyoyataja, Jee, ndio hao hao? halafu ongeza waislaam ambao aliwafunga masheikh wao wakubwa woote, hakuna sheikh wa kiislaam aliyekuwa maarufu ambae hajaonja joto la chuki za nyerere. Ukisha waongeza hao na wafuasi wao, ongeza na watu kama Mwamwindi walikuwa wangapi? halafu ongeza wafuasi wakina Kambona, Kasela Bantu, Bibi Titi na walio kama hao, ukipata jibu. Utajaza mwenyewe. Hakuna kipindi Tanzania ilikuwa kwenye furaha kama katika uongozi wa Mwinyi, akipita tuu njiani watu walikuwa wakishangilia Ruksa, Ruksa, Ruksa, umesha jiuliza kwanini?
Kweli watanzania kiboko!! Kumbe wakati mnamshangilia mitaani anawauzia waarabu mbuga za wanyama, wakati mnashangilia anaingia mkataba wa kifisadi wa IPTL mnaolipia hadi sasa, wakati mnashangilia mkewe anaiba Tausi ktk bustani za Ikulu kupeleka uarabuni, wakati mnashangilia anaanzisha azimio la Zanzibar ili walafi watamalaki!! Haya bana endeleeni kushangilia...
 
Back
Top Bottom