VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
by nature binadamu ni watu huru
hakuna kitu kama too much freedom
huko iraq na libya ni lazima wapitie stages zote za freedom
kama wangekuwa na freedom japo kidogo yasingefika haya
mbona south africa walisema haitaweza kuishi kwa amani
na imewezekana so far
South Africa, its a different story alafu siongelei ubaguzi wa rangi wala kumkandamiza mtu sababu ya imani yake au jinsi alivyo ninachoongelea kuna watu inabidi uwaonyeshe kwamba kuna sheria na kuna state ambayo inabidi ieshimiwe, hakuna ubishi.., good example ni England sasa hivi too much usawa na political correctness imefanya hadi mtoto mdogo anahaki ambapo mzazi inabidi aangalie mara mbili kabla hajamkana.., that is political correctness going mad..., so in Iraq and Libya kama hakuna power ya kuonyesha kwamba you cant just run amok and get out scot free (kama enzi za Saddam)...., maybe all those crazy people will take advantage..., As the saying goes its like Lunatics Running the Asylum