Mwalimu Nyerere na ukabila

Mwalimu Nyerere na ukabila

Ninyi nao ni wabaguzi tu kama makaburu, mnazungumzia wahaya na KCU, wachagga na KNCU na Wanyakyusa (!), hamzungumzii kabisa wasukuma kabila kubwa kabisa kupita yote Tanzania na chama chao cha ushirika enzi hizo VFCU. Maendeleo ya Chama hiki chini ya Paul Bomani kilikuwa na nguvu za kiuchumi hadi Nyerere alihofia madaraka yake. Ali hakikisha wasukuma hawapati elimu ya maana ili asijetokea mtu wa kabila hili akawa na nguvu ya kisiasa.
Ndio maana upo wewe unaejua hayo utueleze....asante kwakuongeza mwanga kwenye hili swala!
 
hakuna kitu kama hicho aliweka Wakurya kumlinda madarakani ukiangalia vizuri kabola Wazanaki ni la kufikirika yaani ni sehemu ya Wakurya!

Umesema vyema,

Bila shaka akina Sarakikya, Mayunga, Kawawa, Rupia, Bomani, Mtei na Opiyo, Job Lusinde, ni wakurya!!!

Kama huwafahamu wazanaki ama wakurya ni vizuri ukauliza ukaeleweshwa lakini ukija hapa na kusema wazanaki ni la kufikirika eti ni sehemu ya wakurya, hapo utakuwa umejitahidi sana kutuonyesha namna ulivyo na uelewa mdogo wa masuala ya kitaifa hususan historia na makabila yaliyopo ndani ya Tanzania.
 
mwalimu jk nyerere ambaye ndo tunayemzungumzia hapa alifariki tarehe 14/10/1999

sasa sijui mwalimu unayemtaja kwamba alifariki siku moja baada ya wewe kukamata madaraka 13/09/1999 ni yupi??

Ama kumbukumbu yako haiko makini?

slip of a pen, ni 13/10/1999, sio madaraka ni ukiranja mkuu tu wa shule za machokoroni...
 
Umesema vyema,

Bila shaka akina Sarakikya, Mayunga, Kawawa, Rupia, Bomani, Mtei na Opiyo, Job Lusinde, ni wakurya!!!

Kama huwafahamu wazanaki ama wakurya ni vizuri ukauliza ukaeleweshwa lakini ukija hapa na kusema wazanaki ni la kufikirika eti ni sehemu ya wakurya, hapo utakuwa umejitahidi sana kutuonyesha namna ulivyo na uelewa mdogo wa masuala ya kitaifa hususan historia na makabila yaliyopo ndani ya Tanzania.
kwani wakina Kawawa, Rupia, Bomani, Mtei na Opiyo, Job Lusinde wlalikuwa Jeshini hebu soma uelewe ninachoongea! Kwanini makabila ya mbali basi hayakupewa nafasi jeshini kama ilivyokuwa kipindi cha jeshi la Mkoloni?
 
Kwa hiyo sentensi yako ya kwanza naomba niulize sasa mbona hakuwapa Wachagga na Wahaya kazi ambayo obviously walikua wanaiweza sana?!Kuleta maendeleo kwa kuwaachia nafasi za uongozi that is!

Si kwamba kila mchaga ama mhaya aliyekuwa amesoma alitakiwa kuwa waziri ama katibu mkuu!!Kuna nafasi mbalimbali ambazo waliteuliwa kushika.
Kuna baadhi ya wasomi toka kabila hilo aliwapa nafasi ya kuitumikia nchi kutokana na mahitaji yaliyokuwepo.
Sasa ukisema kwamba hakuwapa nafasi utakuwa unakosea kwakuwa wapo watu wengi tu wa makabila hayo walikuwa na nafasi kubwa na nyeti serikalini na hadi hivi leo makabila hayo yameendelea kudominate baadhi ya sekta hapa nchini, na hili liko wazi kabisa.

Sasa jiulize kama miaka hii ambayo angalau kila kabila na kil ajamii imepiga umande lakini bado kuna sekta zimeendelewa kushikiliwa na watu wa nasaba fulani miaka nenda rudi, ingekuwaje miaka hiyo ya enzi za giza wakati ndio tunapata uhuru? kwahiyo ilibidi mwalimu atafute namna ya kubalance ili kila mtu mwenye uwezo alitumikie taifa lake na wakati huo kujaribu kuwanyanyua wale waliokuwa wamesahaulika enzi za mkoloni.
 
well nakuelewa sasa baada ya kuyapinga, then kwanini aliua vyama vyao vya ushirika through nationalization ambavyo ni jasho lao yaani KNCU na KCU?
hivi vyama vya ushirika aliviua lini, mbona vyama vya ushirika vimekufa juzi juzi tu hapa, ikasababisha na soko la kahawa likafa. Mfano kule kwetu kanda ya ziwa kulikuwa na Nyanza ambayo imekufa kipindi cha mkapa, Shirecu na yenyewe imekufa juzi juzi tu, Maracorp na yenyewe haina muda mrefu sana toka ife sasa hili la kuua vyama vya ushirika linatoka wapi?
 
kwani wakina Kawawa, Rupia, Bomani, Mtei na Opiyo, Job Lusinde wlalikuwa Jeshini hebu soma uelewe ninachoongea! Kwanini makabila ya mbali basi hayakupewa nafasi jeshini kama ilivyokuwa kipindi cha jeshi la Mkoloni?

Nakuelewa sana unachoongea,

Sasa kama unakusudia jeshi la wananchi nitakufahamisha, ingawa ukifuata mtiririko ulikuwa unazungumzia kwa ujumla wake ndio maana nikakupa hayo majina mchanganyiko.

Kwa upande wa jeshi la wananchi, Mzalendo wa kwanza kuliongoza baada ya kusukwa upya toka KAR kwenda TPDF alikuwa ni Ret. Gen. Sarakikya, sasa labda uniambie Sarakikya ni mzanaki ama Mkurya kama unavyopenda kuita. Labda pia utaniambia Ret. Maj. Gen. Mayunga naye ni mkurya. Hao ni wachache tu kati ya wengi ambao nadhani utakuwa unawafahamu.
 
hivi vyama vya ushirika aliviua lini, mbona vyama vya ushirika vimekufa juzi juzi tu hapa, ikasababisha na soko la kahawa likafa. Mfano kule kwetu kanda ya ziwa kulikuwa na Nyanza ambayo imekufa kipindi cha mkapa, Shirecu na yenyewe imekufa juzi juzi tu, Maracorp na yenyewe haina muda mrefu sana toka ife sasa hili la kuua vyama vya ushirika linatoka wapi?

Fast Facts on KNCU
original%20coop.jpg

Founded in 1933
Comprised of more than 92 farmer member societies with 80,000 farmer members -- trades coffee with 67 Primary Cooperative Societies or 60,000 farmers
First NOP certification in 2004/05 -- goal to certify 3 Primary Societies a year
FLO certified since 1993
Coffee characteristics: medium to strong acidity, light to medium body, light citrus complexity
Kilimanjaro Native Co-operative Union (1984) Ltd.
KNCU has been in the coffee business for a long time. Its roots go back to 1933 when it was founded as a registered union under Tanzania's Cooperative Societies Ordinance. After the government dissolved the union in the 1970s (along with the rest of the Tanzania's unions/cooperatives), it took over a decade for KNCU to reestablish itself. Currently, the Union trades coffee with 67 Primary Cooperative Societies, representing 60,000 farmer members. The actual number of members is higher but because of the industry's trend towards liberalization, many of the members sell their coffee to private buyers as opposed to the association.
The Union operates democratically with an elected Board of Directors and administrative staff for the Union itself as well as a Board and secretariat for each of the primary societies.
women%20members.jpg

About 7% of members are women, most of them heirs to their deceased husbands' membership. KNCU is currently engaged in a union-wide effort to increase female membership in the cooperatives.
Quality is a primary focus of KNCU. The Union believes that small-scale farming is the best way to achieve the highest quality coffee. Most of the members' plots are between 0.5 and 1.5 acres per family, at altitudes of 1000-2000 meters above sea level. The core function of the Union is to "coordinate, organize and sensitize the farmers on the production of quality and increased quantity of coffee." In 2005, it began a Coffee Quality Improvement Program with the aim of extending knowledge and expertise to create a better product and thereby receive a better price for its members. KNCU helps members process the grains and market the coffee abroad.
In more recent years, KNCU has concentrated their efforts on training groups of producers in organic production of coffee (first NOP certificate obtained in 2004). Slowly but surely, organic techniques are making their way throughout the primary societies; new groups are certified each year.
Fair%20Tourism%20tent.jpg

The Union has also engaged in a number of projects aimed at generating additional income and deepening the Fair Trade connection with importers and consumers of KNCU coffee. Since 2006, they've been running a "Fair Tourism" project in which they invite people on the other side of the coffee chain to come and spend a few days getting to know the farmers and the production process. Visitors have the option of camping in traditional-styled Chagga huts on the slopes of Kilimanjaro or in a basic campsite surrounded by coffee farms.
At its core, the coffee production of KNCU and its farmers depends greatly on the successful administration and communication of its many primary cooperative societies. Capacity building to improve the functioning of the societies is a primary and indispensable service KNCU offers to its members. Since obtaining FLO certification in 1993, the Fair Trade premium has allowed
offices.jpg
members to establish a collective educational fund for scholarships to the farmers' children and later, to build and operate schools, to finance the organic transition of 7 primary societies, to help finance the Quality Improvement Program, to grow a coffee nursery, and finally, to help finance a cooperative bank allowing producers to obtain loads and create savings and credit programs. KNCU is most definitely a success story when it comes to Fair Trade!
*all photos and information courtesy of KNCU*

http://www.coopcoffees.com/what/trading-partners/kncu-tanzania/kncu

NB, kipindi anataifisha vyama vya ushirika KNCU ilikuwa at the peak na very story financially while the rest kama NCU ilikuwa inakufa
 
Mwalimu hakuwa mkabila wala mdini,isipokuwa alikuwa hayupo tayari kabila lolote au dini yoyote kujitutumua na kuonekana viko juu zaidi ya utawala wake.....hapo angetumia hata atomic kuwasambaratisha,mathalani wasukuma na chama chao cha victoria federation, kutokana na ukubwa wa kabila hili na uwaezo wake ktk kuzalisha mali,vf ilikuwa ina nguvu kiuchumi kuliko hata serikali ya mwalimu,na ndio maana ingawa anatoka maeneo hayo,aliamua kuvunja nguvu za machifu wa makabila na baadae kuivunja vf,kitu ambacho mpaka mwisho wa dunia serikali yetu itaendelea kuyalipa madeni ya nyanza,shirecu,kaccu,na vyama vyote vya ushirika vinavyotokana na vf,

kwaupande mwingine hata wa dini,alikuwa tayari kuvunja jumuia,chama au muungano wowote wenye jina la dini yoyote unaotishia mamlaka yake kama rais,hivyo hakuivunja vf kwa kuwa aliwachukia wasukuma no........ni kwa sababu alikuwa hana ubavu wa kuwatawala,pili kuhusiana na haya makabila ya wala ndizi.....mwalimu hakuchukia wala kuyanyanyapaa makabila haya kwa sababu ya ukabila bali kwa sababu ya tabia zao za kibinafsi.

Kwa mfanoangalia ofisi zote kubwa ambapo wasukuma ni ma-boss huwezi kuikuta chain ya wasukuma hata kidogo,kama ndio basi ujue kila mtu ameingia kivyake na kwa sifa yake lakini angalia kwenye ofisi zoote ambapo kibosile ni mchaga,muhaya au mnyakyusa ni balaa,mathalani...........crdb,trc,tra,bima,n.k,upuuzi kama huu nyerere ndio aliuchukia na si makabila yenyewe.
 
ndo maana akamtumia Bomani huyohuyo kuuwa KNCU baada ya Nyanza Cooperative Union kufa sio? Grow up acha propaganda NCU kiliuwawa na Wasukuma wenyewe kwa ubadhirifu! rekodi zipo..

Kuna watu wanajua kupiga porojo, ndio maana hatuendelei kabisa nchi hii na viongozi wetu washajua sisi tunaweza majungu na fitna basi wametuelekeza huko, yani mtu akishindwa kutekeleza vizuri wajibu wake anatafuta mchawi, Nyerere ndiye katufikisha hapa!!

Kama unavyosema hivi vyama vya ushirika vimekuwepo mkatika kila mkoa, nakumbuka miaka ya sabini njoo hadi miaka ya tisini kulikuwa na vyama vya ushirika vyenye nguvu kweli kweli; NCU-Mwanza, SHIRECU-Shinyanga, MARACOP-Mara, KNCU-Kilimanjaro, CORECU-Pwani na kadhalika na kadhalika. Vyama hivi vya ushirika vimekufa kuanzia mwishoni mwa miaka ya tisini hadi elfu mbili hapa.

Tunakumbuka hata rais kikwete katika awamu yake ya kwanza alikuwa analalamika kwamba kuna mchwa huko kwenye vyama vya ushirika, sasa anapokuja hapa mtu kumsingizia Nyerere, sijui anakuwa na ushahidi gani.
 
Kwa hiyo sentensi yako ya kwanza naomba niulize sasa mbona hakuwapa Wachagga na Wahaya kazi ambayo obviously walikua wanaiweza sana?!Kuleta maendeleo kwa kuwaachia nafasi za uongozi that is!
Wewe ulitaka rais wa kwanza au wa pili awe mchaga au mhaya ndo ujue walipewa kazi wanayoiweza? Kazi gani ambayo wahaya na wachaga wanaiweza sana ili tuongee na mheshimiwa sa hivi awape, maana kama ni ukatibu mkuu wa wizara wamejaa, kama ni tra wamejaa, ukuu wa mikoa wako wengi tu, ukienda mlimani pale sheria wahaya kibao, pale bcom wachaga kibao sasa unataka wapewe nini ili iwe stahili yao, je uwaziri mkuu au urais?
 
Mimi nilizaliwa miaka miwil kabla mwl. kustaafu, nimekua nikionana na mwl ana kwa ana kijijini butiama akiwa km mwanakijiji mwenzetu, kwa kipindi kile sikuweza elewa mambo mengi kuhusu mwl kwan nilikua bado sijapevuka ki fikra km nilivyo sasa. Uelewa wangu juu ya huyu Mwasisi wa taifa letu kwa kiasi kikubwa umechangiwa na elimu niliyoipata pamoja na masimulizi ya hapa na pale, kwa kupitia vitabu nimeweza kumwelewa mwl vizuri. Shahada yangu ya sanaa ktk siasa na utawala imenijenga zaidi na NATHUBUTU KUSEMA MWL. NYERERE NI KIONGOZI WA MFANO WA KUIGWA NA NI TUNU KWA TAIFA LETU. Amechangia kwa kiasi kikubwa sisi watanzania kuwepo hapa km taifa tokana na harakati zake na wenzake tokea uhuru, Mwl alikua ni mzalendo wa ukweli, muadilifu, asiejikweza, mwenye kuthamini watu na kipenz cha watu, hakua mkabila na hakuujua udini zaid ya dini yake. Km binadamu mwl pia anamapungufu yake BUT nawezakusema HAKUNA KIONGOZI TANZANIA HII ATAKAE THUBUTU KUJIFANANISHA NA MWL. NYERERE, VIONGOZI WA SASA NI MATATITO NA CHANZO CHA KUDHOROTA MAENDELEO YETU KM TAIFA. REST IN PEACE HE: COMRADE/DR/MWL. Julius Kambarage Nyerere. TUNAKUKUMBUKA TANZANIA..
 
well nakuelewa sasa baada ya kuyapinga, then kwanini aliua vyama vyao vya ushirika through nationalization ambavyo ni jasho lao yaani KNCU na KCU?

Ingawa sikunaliani na aliyoyafanya lakini huenda motive ilikuwa ni kuwapunguza makali ili waende sambamba na wenzao kwahiyo tunaweza kusema alikuwa Mzalendo wa Kweli ingawa policy zake they might leave a lot to be desired
 
Fast Facts on KNCU
original%20coop.jpg

Founded in 1933
Comprised of more than 92 farmer member societies with 80,000 farmer members -- trades coffee with 67 Primary Cooperative Societies or 60,000 farmers
First NOP certification in 2004/05 -- goal to certify 3 Primary Societies a year
FLO certified since 1993
Coffee characteristics: medium to strong acidity, light to medium body, light citrus complexity
Kilimanjaro Native Co-operative Union (1984) Ltd.
KNCU has been in the coffee business for a long time. Its roots go back to 1933 when it was founded as a registered union under Tanzania's Cooperative Societies Ordinance. After the government dissolved the union in the 1970s (along with the rest of the Tanzania's unions/cooperatives), it took over a decade for KNCU to reestablish itself. Currently, the Union trades coffee with 67 Primary Cooperative Societies, representing 60,000 farmer members. The actual number of members is higher but because of the industry's trend towards liberalization, many of the members sell their coffee to private buyers as opposed to the association.
The Union operates democratically with an elected Board of Directors and administrative staff for the Union itself as well as a Board and secretariat for each of the primary societies.
women%20members.jpg

About 7% of members are women, most of them heirs to their deceased husbands' membership. KNCU is currently engaged in a union-wide effort to increase female membership in the cooperatives.
Quality is a primary focus of KNCU. The Union believes that small-scale farming is the best way to achieve the highest quality coffee. Most of the members' plots are between 0.5 and 1.5 acres per family, at altitudes of 1000-2000 meters above sea level. The core function of the Union is to "coordinate, organize and sensitize the farmers on the production of quality and increased quantity of coffee." In 2005, it began a Coffee Quality Improvement Program with the aim of extending knowledge and expertise to create a better product and thereby receive a better price for its members. KNCU helps members process the grains and market the coffee abroad.
In more recent years, KNCU has concentrated their efforts on training groups of producers in organic production of coffee (first NOP certificate obtained in 2004). Slowly but surely, organic techniques are making their way throughout the primary societies; new groups are certified each year.
Fair%20Tourism%20tent.jpg

The Union has also engaged in a number of projects aimed at generating additional income and deepening the Fair Trade connection with importers and consumers of KNCU coffee. Since 2006, they've been running a "Fair Tourism" project in which they invite people on the other side of the coffee chain to come and spend a few days getting to know the farmers and the production process. Visitors have the option of camping in traditional-styled Chagga huts on the slopes of Kilimanjaro or in a basic campsite surrounded by coffee farms.
At its core, the coffee production of KNCU and its farmers depends greatly on the successful administration and communication of its many primary cooperative societies. Capacity building to improve the functioning of the societies is a primary and indispensable service KNCU offers to its members. Since obtaining FLO certification in 1993, the Fair Trade premium has allowed
offices.jpg
members to establish a collective educational fund for scholarships to the farmers' children and later, to build and operate schools, to finance the organic transition of 7 primary societies, to help finance the Quality Improvement Program, to grow a coffee nursery, and finally, to help finance a cooperative bank allowing producers to obtain loads and create savings and credit programs. KNCU is most definitely a success story when it comes to Fair Trade!
*all photos and information courtesy of KNCU*

KNCU — Cooperative Coffees

NB, kipindi anataifisha vyama vya ushirika KNCU ilikuwa at the peak na very story financially while the rest kama NCU ilikuwa inakufa

Mkuu nashukuru, hapa sina umeme ningelogin kwenye laptop nione vizuri, lakini kwa sababu mjadala unaendelea hata kwa baadaye sio mbaya.
 
hivi vyama vya ushirika aliviua lini, mbona vyama vya ushirika vimekufa juzi juzi tu hapa, ikasababisha na soko la kahawa likafa. Mfano kule kwetu kanda ya ziwa kulikuwa na nyanza ambayo imekufa kipindi cha mkapa, shirecu na yenyewe imekufa juzi juzi tu, maracorp na yenyewe haina muda mrefu sana toka ife sasa hili la kuua vyama vya ushirika linatoka wapi?

mkuu,achana na hivi vyama vya juzijuzi.....................kulikuwa na kitu inaitwa victoria federation.siku wasukuma wakidai haki yao hiyo basi ujue ndio mwanzo mpya au mwisho wa taifa hili kufa,kwa kifupi,wasukuma wameonewa sana na mfumo wa kifisadi,chuki,fitna na ujambazi wa kisera wa watawala wa nchi hii,siku wakijipanga itakuwa balaaaa na hivi mmewapelekea shule za kata.......just wait and you will see.
 
Kuna watu wanajua kupiga porojo, ndio maana hatuendelei kabisa nchi hii na viongozi wetu washajua sisi tunaweza majungu na fitna basi wametuelekeza huko, yani mtu akishindwa kutekeleza vizuri wajibu wake anatafuta mchawi, Nyerere ndiye katufikisha hapa!!

Kama unavyosema hivi vyama vya ushirika vimekuwepo mkatika kila mkoa, nakumbuka miaka ya sabini njoo hadi miaka ya tisini kulikuwa na vyama vya ushirika vyenye nguvu kweli kweli; NCU-Mwanza, SHIRECU-Shinyanga, MARACOP-Mara, KNCU-Kilimanjaro, CORECU-Pwani na kadhalika na kadhalika. Vyama hivi vya ushirika vimekufa kuanzia mwishoni mwa miaka ya tisini hadi elfu mbili hapa.

Tunakumbuka hata rais kikwete katika awamu yake ya kwanza alikuwa analalamika kwamba kuna mchwa huko kwenye vyama vya ushirika, sasa anapokuja hapa mtu kumsingizia Nyerere, sijui anakuwa na ushahidi gani.
get the facts right, Bomani aliambiwa avitaifishe miaka ya sabini na tunachojua viongozi wake wakawa wanachaguliwa na serikali na si wanachama democratically kama ilivyokuwa hapo kabla, leo hii tuna mifano ya watu kama wakina Diallo wametajirikia na ubadhirifu wa mashirika haya! Pili kahawa iliyokuwa inaongoza kuleta fedha za kigeni ikazorota..
 
Kwa hiyo sentensi yako ya kwanza naomba niulize sasa mbona hakuwapa Wachagga na Wahaya kazi ambayo obviously walikua wanaiweza sana?!Kuleta maendeleo kwa kuwaachia nafasi za uongozi that is!
Okay wahaya na wachagga walikuwa ndio wasomi kwahiyo aliwapa uongozi wa chini sio urais (as you know someone has got to be a leader) lakini baadhi yao walikuwa na different opinions kuhusu kuiendesha nchi..., now this was mapungufu ya Nyerere "it was either his way or the highway".. kwahiyo hao viongozi wengine kina Kambona (wahaya) walitaka kumpindua so akawapotezea..., alafu hawa wasomi wangekuwa wanambishia while he wanted people to agree with him (another bad side ya Mwalimu), so kina Kawawa the Yes man ndio walikuwa perfect for his team.., after all ukiwa kwenye Jahazi unahitaji watu wanaokusikiliza especially on those days...

Lakini all in all he was a good leader na Mzalendo wa Kweli
 
mkuu,achana na hivi vyama vya juzijuzi.....................kulikuwa na kitu inaitwa victoria federation.siku wasukuma wakidai haki yao hiyo basi ujue ndio mwanzo mpya au mwisho wa taifa hili kufa,kwa kifupi,wasukuma wameonewa sana na mfumo wa kifisadi,chuki,fitna na ujambazi wa kisera wa watawala wa nchi hii,siku wakijipanga itakuwa balaaaa na hivi mmewapelekea shule za kata.......just wait and you will see.
Mkuu itabidi nitafute hizo habari za Victoria federation, kama unazo naomba uniwekee jamvini, maana mimi wakati niko mdogo baba yangu alikuwa mkulima mkubwa sana wa pamba lakini mwanae hadi sahivi namiliki simu tu ndo inanisaidia kuingia jamiiforum.
 
mkuu,achana na hivi vyama vya juzijuzi.....................kulikuwa na kitu inaitwa victoria federation.siku wasukuma wakidai haki yao hiyo basi ujue ndio mwanzo mpya au mwisho wa taifa hili kufa,kwa kifupi,wasukuma wameonewa sana na mfumo wa kifisadi,chuki,fitna na ujambazi wa kisera wa watawala wa nchi hii,siku wakijipanga itakuwa balaaaa na hivi mmewapelekea shule za kata.......just wait and you will see.

Mkuu kwenye issue ya vf ninakupata vizuri sana na nadhani hii kitu iliwarudisha nyuma kiasi wasukuma kwa ajili ya kuimarisha umoja wa kitaifa na hususan utekelezaji wa sera za ujamaa.

Lakini hili la shule za kata usijipe matumaini hata kidogo. Huko huko usukumani kuna watu wamebahatika kusoma vizuri sana hadi wakapata tunuku za havard na kadhalika lakini jiulize wamefanya nini ili kuwaimarisha na kuwakomboa wasukuma wenzao. Kuna mdau mmoja kasema hapo mwanzo kwamba ukimkuta msukuma ni bosi ofisini huwezi kukuta chain ya wasukuma hapo, si kwamba hawajasoma, wapo wasukuma wamesoam vizuri tu lakini hawapendani!!! Sasa hili la shule za kata na maadam ziko mkila mkona ya nchi, zitawaongezea ujinga ili waendelee kuzunguka nchi na ng'ombe maelfu kwa maelfu na kugeuka mtaji wa polisi na wakuu wa wilaya wanakoelekea kulisha mifugo yao ilihali wao wakiendelea kutaabika.
 
Back
Top Bottom