Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Lakini si wanadhimu inamaana wafuata sheria za shule sio kujiendea endeatuna watoto watatu wanasoma huko hawachapwi na wana nidhamu na peformance nzuri huku kayumba kuna shida gani mpaka watu wajipe haki ya kuwapiga watoto kama nyoka kazi ya mwalimu ni kufundisha.
Sent using Jamii Forums mobile app