kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,781
- 12,207
nani huyo kasema viboko hakuna? viboko vipo pale pale, hakuna kulea ujinga!....Haya sasa, Waziri anasema marufuku, Bosi wake anashangaa kuona adhabu ya viboko ikiondolewa, kuna watu mnachangia humu wakati bado mpo kwa wazazi wenu, zaeni wenu harafu msiwachape hata kidogo mtakuws mmewasaidoa sana kwa maisha yao ya baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo namkubaligi magufuli hakuna kupindisha pindisha maneno! ...