Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Kwahiyo ndugu mwalimu, unataka wanafunzi wakuogope na kukutetemekea???

Kuna tatizo kubwa sana la kisaikolojia baina yenu na wanafunzi.

TUTALIDHIBITI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie wala sio mwalimu ila nami pia nimesoma na changamoto wanazo pata walimu na zijua, kupiga mpaka kupitiliza ni kosa walimu wasilaumiwe wote, mbona walinzi wenu kila siku wanatoa visago kwa watuhumiwa mmewafanya nini huyo aliye ua yawezekana alikuwa tu nasababu zake, ukitaka mtoto awe na nidhamu anzia nyumbani usimsukumie mwl lawama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi once up on a time l was a teacher tena Shule ya kata nilacha huko mwaka 2012,Aiseee nidhamu ndogo kuliko mnavyofikiria ni mbaya nafikiri hamjui real situation mnatoa theorical suggestion!!! Wanasiasa viongozi wa serikali kama Madc madiwan wakurugenzi wamezizika hizi shule!!!amini nakwambia.
Fikiria mtoto anavuta bangi kamati ya nidhamu inachukua hatua bodii inakaa inachukua nafasi yake mwanafunzi anapewa suspension ya wk tatu au mbili,anachokifanya mzazi anaenda kwa diwani ( ccm),standard seven anamrudisha mwanafunzi kwa nguvu na vitisho kwa mkuu wa shule wanafunzi wengine wanadhangilia !!! Hivi vitu ndio vimejaa shule za serikali
Hapo moyo wakumfundisha mwanafunzi unatoka wapi, nikiwa darasa 7 wazazi walianza tabia mtoto akipigwa mzazi anakuja shule kwa mbwebwe kumtukana mwl, sasa mwl mkuu akatangaza mzazi atakayekuja kwa mbwembwe ofisi fungeni mlango mtandikeni yeye pamoja na mwanaye mpaka namaliza hqkuna hakuna mzazi aliyekanyaga shule na shule yetu ilingoza hapo katika wilaya kufaulisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sheria yetu ya elimu mtto anaanza ala kwanza akiwa na miaka 8-9 mtoto akifika drs la 4 na 5 anakuwa na miaka 12-13 hapa ndipo kipindi cha kuelekea kubarh kwa mvulana na msichana hapa ndo kibur na dharau zinaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kuwe na masomo ya ziada ifikapo kipindi cha kubarehe kama elimu ya uzazi, nafikiri hata mimba zitapungua kidogo manake haya mambo nayo yanaitaji darasa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuu ni kwamba sisi wazazi malezi ya watoto tumewaachia walimu pekee unamkuta baba anaondoka saa11 alfajiri kurudi saa5 usiku watoto washalala mama naye anaondoka saa1 asbuhi kurudi saa2 anakaa na watoto saa ngapi that's why nidhamu ni mbovu kwa watoto.

Kila mtu hana muda na malezi ya mtoto wanahangaika huku na michepuko mpaka usiku halafu madada ndiyo walele watoto, dada mwenyewe kwao alishindika kaja kwake kutafuta maisha halafu utegemee mtoto awe na tabia njema .

Walimu nao wana stress na maisha kutwa kucha wanaishia kutukanwa na jiwe wanalia madaraja nyongeza sijui toka alivyowapa jk hadi sasa unategemea nini kitokee.
Watu wanajiona miungu watu hawashauriki. Pole zao walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu hana muda na malezi ya mtoto wanahangaika huku na michepuko mpaka usiku halafu madada ndiyo walele watoto, dada mwenyewe kwao alishindika kaja kwake kutafuta maisha halafu utegemee mtoto awe na tabia njema .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu anakuwa na malezi yote
Yaani mzazi wa kwanza na wa pili

Wazazi leeni wanenu kwa nidhamu stahiki and then mtoto shule akasomeshwe na mwalimu kama mzazi wapili

Hilo kweli mtoto akitoka vizuri hata mwl hatakuwa na tatizo, siku hizi mtoto wa miaka hata 4 yupo na mzazi wake hata hawezi amkia mkubwa na anaweza ambiwa msalimie anagoma na anaweza sema sitaki embu piga pic hilo viza likipelekewa mwalimu si tabu tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANZANIA JAMANI MHM
SIASA MHMM
Kwani polisi siyo mfanyakazi??? Mbona polisi wanapiga risasi watu waso hatia?

Akwilina) hakuwa hata na hatia lkn risasi mpka kufariki but no action kwa aliye fanya tukio lile

How far with teacher?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona walimu mnajisikia u huchungu kuporwa starehe yenu ya kuchapa watoto wetu bila huruma...

Maana mkikwaruzana na wapenzi wenu majumbani kwenu hasira zenu zinaishia kwa watoto wetu... Hapo mioyo yenu inaridhika na mahusiano yenu yanarudi kwenye mstari

Adhabu ya viboko ni ukoloni ata wanyama wana haki zao ukikutwa unawapiga hovyo kesi inafunguliwa sembuse watoto...

Poleni walimu kwa Justine's haki yenu ya msingi... Huo muda wa kuchapa watoto utumie kukuingizia kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%
Fuatilia mwongozo huu: Mwalimu hakikisha umefika shule muda husika, simamia usafi na kama wanafunzi hawaonyeshi kushiriki kufanya usafi, tafadhali usishike kiboko. Mwalimu kumbuka muda wa vipindi ukifika hata kama mazingira ya shule ni machafu, wanafunzi waingie darasani tayari kwa masomo. Mwalimu fundisha kipindi chako kama mwongozo unavyoonesha, tafadhali usiwafuatilie wanafunzi wasioandika, kwani inaweza kuhamasisha hisia za kutoa adhabu ili kumjenga mwanafunzi husika. Mwalimu, daftari zikikusanywa kwa ajili ya kusahihisha, tafadhali usifuatilie kubaini wanafunzi wasiokusanya daftari kwani kubaini kwako kunaweza kupelekea kuwepo na mazingira yenye kuchochea adhabu.
Mwalimu wakati utakapoita majina, zingatia kuwa wale waliopo darasani kwa wakati huo ndiyo wanaokuhusu, hitaji lako la kutaka kujua mwanafunzi X ana tatizo gani la kutokuja shuleni linaweza kupelekea mazingira yatakayo chochea adhabu, kwani wanafunzi wenzie wakati mwingine watakupa jibu kuwa mwanafunzi X yupo maeneo ya chooni anacheza tu, hivyo jibu ili linaweza kupelekea mazingira ya adhabu. Mwalimu wangu, mara upatapo kesi za mwanafunzi X kuwa amepigana darasani au kutoa lugha chafu, tafadhali tumia neno moja tu kuwa "LUGHA ZA MATUSI SI NZURI " kisha mruhusu kurudi darasani ili kuepusha mazingira ya adhabu. Mwalimu wangu mzazi akikuletea kesi ya mtoto wake kuhusu tabia za nyumbani na hata mwenendo mbovu wa maendeleo yake darasani, tafadhali mueleze mzazi kuwa amalizane na mwanaye kwa namna inayofaa. Mwalimu wangu ukifuata muongozo huu, shutuma na jazba za wana wa nchi hii utaziepuka pia itakusaidia japo kurudisha mwili wako uliopukutika kwa kufuatilia watoto wasiokuhusu, nakutakia kazi njema mwalimu wangu.
Hili swali ni kutaka kujibu swali aliloulizwa daktari wakati wewe ni engineer. Hata siku moja kama sio mwalimu hauwezi kujua umhimu wa viboko. Najua utakimbilia kusema mbona wazungu hawachapi na watoto wanafauli. Ukisahau kuwa mzungu anafundisha watoto 15 hadi 20 ila mwalimu wa kitanzania ana watoto 300 kwa siku. Ukijumlisha mshahara mdogo, ukijumlisha na madeni, jumlisha na mazingira mabaya kazini ne mengine mengi tu. Japo mm sio mwalimu ila nimesomea ualimu pia, viboko haviepukiki mashuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona walimu mnajisikia u huchungu kuporwa starehe yenu ya kuchapa watoto wetu bila huruma...

Maana mkikwaruzana na wapenzi wenu majumbani kwenu hasira zenu zinaishia kwa watoto wetu... Hapo mioyo yenu inaridhika na mahusiano yenu yanarudi kwenye mstari

Adhabu ya viboko ni ukoloni ata wanyama wana haki zao ukikutwa unawapiga hovyo kesi inafunguliwa sembuse watoto...

Poleni walimu kwa Justine's haki yenu ya msingi... Huo muda wa kuchapa watoto utumie kukuingizia kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
Non sense

So kila ajibuye humu ni facilitor!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom