Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Mkuu ngozi nyeusi haiwezi kufanya majukumu yake bila msukumo ni wachache sana wanaomudu kufanya bila msukumo....
Kama ndo wametoa viboko kabisa subiri uone poromoko la elimu mkuu

#viboko vinasaidia mashuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiamua tunaweza, ni muda sasa inabidi kuwe na walimu maalumu wa ushauri mashuleni ili kumjenga mtoto kifikra



#Fimbo tutachapa mpkala lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu pia mnunue pipi za kuwapa watoto wanapofanya makosa.
Asipofanya kazi za darasani mbembeleze na muombe azifanye.

Nilishachapwa fimbo 20 na kukaa juani masaa 4 huku nimepiga magoti. Nilimwekea mwalimu wa hesabu kalamu kwa nyuma/makalioni mwenzangu akanisukuma nikamtoboa mwalimu. Kilichofuata sasa .....
We haukuwa mzima wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu pia mnunue pipi za kuwapa watoto wanapofanya makosa.
Asipofanya kazi za darasani mbembeleze na muombe azifanye.

Nilishachapwa fimbo 20 na kukaa juani masaa 4 huku nimepiga magoti. Nilimwekea mwalimu wa hesabu kalamu kwa nyuma/makalioni mwenzangu akanisukuma nikamtoboa mwalimu. Kilichofuata sasa .....
ULIFANYIWA UKATILI TU WEWE.

MAMBO YA KUZUNGUMZIKA LAKINI UKAPEWA KISAGO CHA KUTISHA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wamekuzwa kwa viboko halafu wanajifanya watoto wao mayai yakiguswa yatapasuka.. waache na mayai viza yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ndiyo maana anajitambua lakini haya mayai viza ni balaa eti shule zetu za kidhungu mtoto asipoandika hakuna
kumkalipia wala kuuliza anaitwa mzazi ndiye anaambiwa kisha yeye ndiye ataongea naye duu haya malezi hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo wewe...walimu wamemtandika mtoto mpaka wamemuua mtoto still bado unaunga mkono uuaji?

Nadhani baada ya miaka miwili we ndyo utalia kwa kukubali mtoto wako atandikwe km ng'ombe mpaka wamuue!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawa walinzi wetu na mali zetu nao kila kukicha kafa akiwa mikononi mwao tuwaite vipi.[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wa kufa atakufa tu mkuu.! Mwl isiwe kisingizio wangapi ulio wahi wasikia wameuwawa na walimu?
Mwalimu aweza kuwa mzazi kuliko hata wewe mwalimu anakaa na mwanao kwa miaka saba na huenda zaidi ya masaa nane kila siku anamfahamu mwanao mara elfu kadhaa.
Binti anavunja ungo kwa mara ya kwanza anayejua hilo ni mwalimu wake, kijana ana barehe anayelitambua hilo mwanzo ni mwalimu wake, leo hii unamuona muuaji ila wewe na visaa viwili vyako ndio mzazi na mlezi mwema.. muwe na shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kifo kina sababu yake, na huko mashuleni nidhamu mbovu inaanzia nyumbani jinsi alivyolelewa, kuna mtoto mwl anamwambia soma weka bidii huoni mie hapa, jibu la mtoto ungekuwa umesoma ungekuwa mwl si ungekuwa na kazi nzuri piga picha mtoto kakujibu hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kumchapa mtoto ni ukatili dah. Mwalimu asipomchapa mwanangu kwa mambo hasa ya uvivu na utovu wa nidhamu mimi nitamcharaza. Hao wa kwenu leeni mayai mayai mtavuna mayai.
Kila jambo lina mipaka yake.
IMG_20180903_000639.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kifo kina sababu yake, na huko mashuleni nidhamu mbovu inaanzia nyumbani jinsi alivyolelewa, kuna mtoto mwl anamwambia soma weka bidii huoni mie hapa, jibu la mtoto ungekuwa umesoma ungekuwa mwl si ungekuwa na kazi nzuri piga picha mtoto kakujibu hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndugu mwalimu, unataka wanafunzi wakuogope na kukutetemekea???

Kuna tatizo kubwa sana la kisaikolojia baina yenu na wanafunzi.

TUTALIDHIBITI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U-local wako wa kuzaliwa sehemu moja na kukulia sehemu ile ile ndiyo unakufanya ufukirie viboko ndiyo njia pekee ya kumfanya mwanafunzi awe na tabia nzuri. Ulaya watoto hawachapwi na wanapokuwa wanakuwa na heshima na ni waaminifu. Bongo mnachapa viboko na watoto wakimaliza ndiyo wanakuwa wezi, waongo na waasherati wakubwa!
Wazungu tofauti na huku mkuu angalia hata sheria zao zinaheshimika wewe juzi hapa mtu alivyokuwa akipigwa kama wanataka kuchinja white paper ( [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau hiii" mkiletewa taarifa ya kuwapo Kwa pair ( uhusiano WA kimapenzi) miongoni mwa wanafunz jikaushe jifanye hujui lolote hill litakusaisia kuepuka kucharaza Mtoto Wa mtu"
Ndiyo yale mwl anapita kama hajawaona duu malezi mazuri yaanze nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ushafikiria ni kwanini mtoto akifika darasa la nne au tano ndio anaanza kuwa na nidhamu mbovu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sheria yetu ya elimu mtto anaanza ala kwanza akiwa na miaka 8-9 mtoto akifika drs la 4 na 5 anakuwa na miaka 12-13 hapa ndipo kipindi cha kuelekea kubarh kwa mvulana na msichana hapa ndo kibur na dharau zinaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA HATA MWALIMU MMOJA ANAEHITAJI KUCHAPA WANAFUNZI. WALIMU WANACHOHITAJI NI ONGEZEKO LA MSHAHARA NA WALA SIYO RUHUSA YA KUWACHAPA WANAFUNZI.SI UNAONA JANGWANI? WANAFUNZI WALIKUWA WANATOROKA HOSTEL WANAENDA DISCO. SIMPLE WALIMU WAKAFANYA KAZI YAO YA KUWAITA WAZAZI KAMA KAWAIDA YA WAZAZI WA KIBONGO HAWAKUCHUKULIA SERIOUS! THEN KILICHOFUATA KILA MMOJA HAPA ANAJUA.
Wazazi hawa hawa wa kibongo hawachukuligi vitu serious na usiombe awe na pesa anaenda siku anayotaka,
sahizi wanalia na walimu acha wavune walichopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu mnashughulika na mambo ya ajabu kabisa.

Hizi nguvu za kulilia haki ya kuchapa mngezitumia kutoa maarifa ya uhakika mashuleni, nadhani taifa lingepata uponyaji.

Mnachoweza ni kulilia haki ya kuchapa na kudai mishahara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi once up on a time l was a teacher tena Shule ya kata nilacha huko mwaka 2012,Aiseee nidhamu ndogo kuliko mnavyofikiria ni mbaya nafikiri hamjui real situation mnatoa theorical suggestion!!! Wanasiasa viongozi wa serikali kama Madc madiwan wakurugenzi wamezizika hizi shule!!!amini nakwambia.
Fikiria mtoto anavuta bangi kamati ya nidhamu inachukua hatua bodii inakaa inachukua nafasi yake mwanafunzi anapewa suspension ya wk tatu au mbili,anachokifanya mzazi anaenda kwa diwani ( ccm),standard seven anamrudisha mwanafunzi kwa nguvu na vitisho kwa mkuu wa shule wanafunzi wengine wanadhangilia !!! Hivi vitu ndio vimejaa shule za serikali
 
Walimu pia mnunue pipi za kuwapa watoto wanapofanya makosa.
Asipofanya kazi za darasani mbembeleze na muombe azifanye.

Nilishachapwa fimbo 20 na kukaa juani masaa 4 huku nimepiga magoti. Nilimwekea mwalimu wa hesabu kalamu kwa nyuma/makalioni mwenzangu akanisukuma nikamtoboa mwalimu. Kilichofuata sasa .....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom