Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%

Mwalimu kutoadhibu ni jambo linalowezekana kwa 100%
Fuatilia mwongozo huu: Mwalimu hakikisha umefika shule muda husika, simamia usafi na kama wanafunzi hawaonyeshi kushiriki kufanya usafi, tafadhali usishike kiboko. Mwalimu kumbuka muda wa vipindi ukifika hata kama mazingira ya shule ni machafu, wanafunzi waingie darasani tayari kwa masomo. Mwalimu fundisha kipindi chako kama mwongozo unavyoonesha, tafadhali usiwafuatilie wanafunzi wasioandika, kwani inaweza kuhamasisha hisia za kutoa adhabu ili kumjenga mwanafunzi husika. Mwalimu, daftari zikikusanywa kwa ajili ya kusahihisha, tafadhali usifuatilie kubaini wanafunzi wasiokusanya daftari kwani kubaini kwako kunaweza kupelekea kuwepo na mazingira yenye kuchochea adhabu.
Mwalimu wakati utakapoita majina, zingatia kuwa wale waliopo darasani kwa wakati huo ndiyo wanaokuhusu, hitaji lako la kutaka kujua mwanafunzi X ana tatizo gani la kutokuja shuleni linaweza kupelekea mazingira yatakayo chochea adhabu, kwani wanafunzi wenzie wakati mwingine watakupa jibu kuwa mwanafunzi X yupo maeneo ya chooni anacheza tu, hivyo jibu ili linaweza kupelekea mazingira ya adhabu. Mwalimu wangu, mara upatapo kesi za mwanafunzi X kuwa amepigana darasani au kutoa lugha chafu, tafadhali tumia neno moja tu kuwa "LUGHA ZA MATUSI SI NZURI " kisha mruhusu kurudi darasani ili kuepusha mazingira ya adhabu. Mwalimu wangu mzazi akikuletea kesi ya mtoto wake kuhusu tabia za nyumbani na hata mwenendo mbovu wa maendeleo yake darasani, tafadhali mueleze mzazi kuwa amalizane na mwanaye kwa namna inayofaa. Mwalimu wangu ukifuata muongozo huu, shutuma na jazba za wana wa nchi hii utaziepuka pia itakusaidia japo kurudisha mwili wako uliopukutika kwa kufuatilia watoto wasiokuhusu, nakutakia kazi njema mwalimu wangu.
Umesahau hiii" mkiletewa taarifa ya kuwapo Kwa pair ( uhusiano WA kimapenzi) miongoni mwa wanafunz jikaushe jifanye hujui lolote hill litakusaisia kuepuka kucharaza Mtoto Wa mtu"
 
Umesahau hiii" mkiletewa taarifa ya kuwapo Kwa pair ( uhusiano WA kimapenzi) miongoni mwa wanafunz jikaushe jifanye hujui lolote hill litakusaisia kuepuka kucharaza Mtoto Wa mtu"
Walimu mnashughulika na mambo ya ajabu kabisa.

Hizi nguvu za kulilia haki ya kuchapa mngezitumia kutoa maarifa ya uhakika mashuleni, nadhani taifa lingepata uponyaji.

Mnachoweza ni kulilia haki ya kuchapa na kudai mishahara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la Tanzania moja ya mambo yanayofanya tusipige hatua ni laana kutoka kwa walimu maana watu hawa wanapata matusi . kejeli kisa tu kuamua kuingia kwenye tasnia sasa karma hii itatulipa tu.
Na msubirie anguko kubwa la kimfumo shuleni maana walimu watazira wanafunzi hapo ndo mtagundua kuwa UALIMU NI WITO
 
HAKUNA HATA MWALIMU MMOJA ANAEHITAJI KUCHAPA WANAFUNZI. WALIMU WANACHOHITAJI NI ONGEZEKO LA MSHAHARA NA WALA SIYO RUHUSA YA KUWACHAPA WANAFUNZI.SI UNAONA JANGWANI? WANAFUNZI WALIKUWA WANATOROKA HOSTEL WANAENDA DISCO. SIMPLE WALIMU WAKAFANYA KAZI YAO YA KUWAITA WAZAZI KAMA KAWAIDA YA WAZAZI WA KIBONGO HAWAKUCHUKULIA SERIOUS! THEN KILICHOFUATA KILA MMOJA HAPA ANAJUA.
 
Taifa la Tanzania moja ya mambo yanayofanya tusipige hatua ni laana kutoka kwa walimu maana watu hawa wanapata matusi . kejeli kisa tu kuamua kuingia kwenye tasnia sasa karma hii itatulipa tu.
Na msubirie anguko kubwa la kimfumo shuleni maana walimu watazira wanafunzi hapo ndo mtagundua kuwa UALIMU NI WITO
NI BORA TUWAFUKUZE WOTE TUAJIRI WALIMU WAPYA AMBAO TOKA MWAKA 2015 WAPO MTAANI BILA KAZI.

FUKUZA KABISA HAWA WAUAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKU HIZI WALIMU WAMEISHA KUWA WAJANJA WANAANDIKA LESSON PLAN, SCHEME,LOG BOOK, LESSON NOTES, WANASAINI CLASS JOURNAL, WANASAINI KAZINI THEN HAWANA TIME NA WANAFUNZI WATUKUTU! HAWA WATAJUANA NA WAZAZI WAO. MWISHO WAKIPATA SIFURI KAMA KAWAIDA SERIKALI INAKURUPUKA KUFANYA UKAGUZI KANA KWAMBA HIJUI SABABU HAIMPATI MTU. SANA SANA WANAISHIA TU KUWAHAMISHA WALIMU VITUO VYA KAZI.
 
Walimu pia mnunue pipi za kuwapa watoto wanapofanya makosa.
Asipofanya kazi za darasani mbembeleze na muombe azifanye.

Nilishachapwa fimbo 20 na kukaa juani masaa 4 huku nimepiga magoti. Nilimwekea mwalimu wa hesabu kalamu kwa nyuma/makalioni mwenzangu akanisukuma nikamtoboa mwalimu. Kilichofuata sasa .....
 
Mkuu ngozi nyeusi haiwezi kufanya majukumu yake bila msukumo ni wachache sana wanaomudu kufanya bila msukumo....
Kama ndo wametoa viboko kabisa subiri uone poromoko la elimu mkuu

#viboko vinasaidia mashuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAONAJE TUKAWARUSU WAKUU WA WILAYA WAWE WANAKAGUA MASHULE KISHA KUWATANDIKA WALIMU VIBOKO KUMI KUMI AMBAO WATABAINIKA KUFANYA UZEMBE KATIKA UFUNDISHAJI?

KAMA HIYI NDIYO FALSAFA YA KUTANDIKA PUNDA!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom