Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

nakushauri kama uko vizuri chukua carina ti achana na vitz...huta juta baadae
 
Nyie ndio wale mnaoishi kwa nguvu za jua unadhani kila mtu anaishi kwa kutegemea mshahara tu wee muosha magari nini

Hapa sioshi magari nina mgawa wa kutengeneza supu inayotokana na kwato za ngombe; supu ambayo ni kipenzi cha walevi kama wewe
 
Hapa sioshi magari nina mgawa wa kutengeneza supu inayotokana na kwato za ngombe; supu ambayo ni kipenzi cha walevi kama wewe

Lol basi wewe usiyetegemea mshahara nahisi unamiliki hammer
 
mkuu mwalimu anaweza kupata exemption, ila mkuu nakushauri usinunue vitz kwa exemption kwa kuwa kodi yake ni ndogo mno na inalipika mkuu, na ikumbukwe ukiichoka au ukitaka kubadili gari itakubidi ukae miaka 5 ili exemption iishe! Ushauri wangu, kama unataka exemption nunua gari kubwa utaenjoy ila kukwepa kodi ya mil3 nakuambia mchakato wa kufuatilia exemption utakula zaidi ya nusu ya iyo kodi, najua jinsi urasimu ulivo uko...ila kama unanunua gari kubwa sawa, ila hii vitz sikushauri...na mkuu kama uko tayari nitafute nikusaidie iyo vitz utaipata na kulipia kodi kwa gharama zisizozidi milioni 6 kamili. Otherwise , all the best.
Hahahahhaaa..mkuu Gsana hata Bill Gate huwa anasema kodi ya Mil 100 kwa ajili ya makampuni yake ni ndogo sana kwake....
 
Last edited by a moderator:
Pumguzo la kodi kwa waalimu ni magari ya kuanzia 2005 chini ya hapo hawapunguzi hata senti rafiki yangu kanunua la mwaka 2001 kalipa kila kitu bila punguzo ni mwalimu
Nafurahi sana nikiona na walimu wanakwenda na wakati kama hivi. Sasa mkitoka hapo fungueni vitega uchumi muachane na kilio cha mishahara midogo ya serikali. Muwaachie serikali wanaolipana laki tatu kwa siku wafundishe wenyewe wafikie BRN yao kama wataweza....
 
Mkuu kwa vitz 2006 inauzwa FOB $ 2210 kwa kadirio la Tsh 3,668,600/= za kitanzania mpaka inafika hapa dar.swali langu ni punguzo kiasi gani naweza kupata kabla sijaagiza maana nisije nikakwama kulitoa bandarini?

watumishi wanasamehewa VAT wanalipa Import duty tu ukikidhi vigezo, kwa vits kuomba exemption utajidhulumu ni kagari kadogo lakini unalipa 1,100,000 vat tu na usajiri, ni pm kwa dondoo zaidi.
 
Haya maswali kila siku uwa tunayajibu kuna thread nyingi za nyuma,Punguzo lipo lakini ni dogo na lenye procedure ndefu sana,magari ya biashara kama pick up,hiace n.k na magari yaliyo na CC zaidi ya 2000 hayana sifa ya punguzo,pia gari lililozidi miaka 10 halina sifa ya punguzo.Urefu wa procedure ni pale unapoenda ku sign form zako(kuna form maalumu ya exemption)hapa Bl inaitajika na Bl haipatikani mpaka meli iliyona gari lako iwe imeanza safari ya kuja Tz,sasa mfano Mwalimu hiyo form mpaka ipelekwe Wizarani na mizunguko mingine hivyo meli inawezafika Dar kabda hujamaliza process ukaishia kupigwa storage pale bandarini,nilishaingiza gari kwa Exemption Rav 4 ushuru ukaja 5.5ml utaona punguzo lipo lakini si kubwa kama wengi wanavyofikiri maana utalipa charge zote za bandari,Vat na punguzo dogo kwenye zile kodi nyingine,ukitaka habari zaidi tafuta agent mzuri atakupa maelezo.

Helpfull comment, mie nimeagiza gari toyota sienta 2005 kwa cif ya 2260 nadhan wik hii itakuwa inapakiwa kwenye meli. Tatizo ni kodi sijajua, piani mfanya kaz wa serikali nilifikiria swala la exemption ila kwa maelezo yako nijichange tu nitoe kawaida. Na sijui ntatozwa ngap jumla
 
watumishi wanasamehewa VAT wanalipa Import duty tu ukikidhi vigezo, kwa vits kuomba exemption utajidhulumu ni kagari kadogo lakini unalipa 1,100,000 vat tu na usajiri, ni pm kwa dondoo zaidi.

Dah! Mkuu hapo hatari sana! Inamaana gani sasa hiyo exemption ? Ujanja ujanja sana wa serikali
 
mkuu mwalimu anaweza kupata exemption, ila mkuu nakushauri usinunue vitz kwa exemption kwa kuwa kodi yake ni ndogo mno na inalipika mkuu, na ikumbukwe ukiichoka au ukitaka kubadili gari itakubidi ukae miaka 5 ili exemption iishe! Ushauri wangu, kama unataka exemption nunua gari kubwa utaenjoy ila kukwepa kodi ya mil3 nakuambia mchakato wa kufuatilia exemption utakula zaidi ya nusu ya iyo kodi, najua jinsi urasimu ulivo uko...ila kama unanunua gari kubwa sawa, ila hii vitz sikushauri...na mkuu kama uko tayari nitafute nikusaidie iyo vitz utaipata na kulipia kodi kwa gharama zisizozidi milioni 6 kamili. Otherwise , all the best.

Mil 6 ni CIF pamoja na ushuru, au ni ushuru tu. Nina sienta yangu ya 2005 cc1490 ipo njiani, hapa naumiza kichwa kujua ushuru wake nisije kukwama
 
Helpfull comment, mie nimeagiza gari toyota sienta 2005 kwa cif ya 2260 nadhan wik hii itakuwa inapakiwa kwenye meli. Tatizo ni kodi sijajua, piani mfanya kaz wa serikali nilifikiria swala la exemption ila kwa maelezo yako nijichange tu nitoe kawaida. Na sijui ntatozwa ngap jumla

mkuu ushuru jiandae na 2,059,120 usajili 350,000. nawakilisha
 
Mwl. gari la nini ww? we jimwage na kitu TOYO a.k.a BOXER uwahi kupiga chaki. Magari waachie wenye nazo. Yaani eti VITZ unaulizia Exemption? mafuta, service utaweza kweli?

Anza na pikipiki hutakaa ulalamike huna pesa ya mafuta

Masahihisho badala ya "mtu" weka "mwanamke". anyeomba ushauru ni mwanaume

Jamani acheni kukesha bar hata jumapili. haya majibu yote yamekaa kiviroba viroba. ha ha ha ha
 
Serikali inabidi iwaangalie waalimu katika suala la mishahara
 
Augustine,

Naomba nikubaliane na wewe, ila tatizo lilipo ni kuwa kufanya kazi na kupewa nafasi serikalini kwa muda wa miaka 10 ndio upate mikopo ya ma bilioni ya hela?! Sipendi kurudia yaliyokwisha semwa, ndio maana nimetolea mfano hizo za ubungo, maana nyingine nyingi tu zilishatajwa na wewe kama ninavyokufahamu ulisha zisoma.

Umeshatembea nje ya Tanzania, naamini hivyo. Kwa wenzetu ukiwa unafanya kazi ya Tzs 1 Mio kwa mwezi wanategemea uwe na nyumba ya mtu mwenye kipato hicho. Kama umekopa (ambayo ndio standard nchi za nje) poa, maana utakatwa kwenye mshahra wako!

Naomba hapa niongee kiuchumi kidogo, Umeongelea miradi nje ya kazi zako za kawaida, OK, can we reconcile the income earned from those miradi from Tanzania revenue authority offices?, tukiangalia kodi uliyolipa huko tunaweza kuona hizo consultancy na hiyo miradi? Maana umeongelea mirazi ya kujenga/kununua maghorofa Ilala na sehemu nyingine.

Bwana mzee, kama ni chuki binafsi mimi sina na kiongozi yeyote, so far Mwalimu (RIP) alitutunzia madini kwa miaka yote ya utawala wake, ni zuri hilo, Mwinyi aliweka soko huria ni zuri hilo Mkapa alikuza Uchumi ambao sasa JK anauporomosha!, kwa hiyo mzee kuwa makini unapoongelea miradi.

Tunachosema ni mali isiyoelezeka iliyopatikana ndani ya miaka kumi!

Samahani Moderator nimeandika gazeti.

FD

Doh hali inatisha
 
Dah! Mkuu hapo hatari sana! Inamaana gani sasa hiyo exemption ? Ujanja ujanja sana wa serikali

exemption maana yake mnachangia gharama za kodi wewe na serikali serikali inakulipia import duty na wewe unalipa vat yaani kama nusu kwa nusu.
 
mkuu ushuru jiandae na 2,059,120 usajili 350,000. nawakilisha

Asante sana, maana nimeandaa 3m kwa ajili ya ushuru had usajiri, kuna wengine wananitisha nasikia ushuru unafika mpaka mil 5. Naomba nikuPM kwa msaada zaidi kama hutojali
 
Asante sana, maana nimeandaa 3m kwa ajili ya ushuru had usajiri, kuna wengine wananitisha nasikia ushuru unafika mpaka mil 5. Naomba nikuPM kwa msaada zaidi kama hutojali

kama umeweza pata m3 hiyo iliyobaki ni ndogo sana
 
Mwl. gari la nini ww? we jimwage na kitu TOYO a.k.a BOXER uwahi kupiga chaki. Magari waachie wenye nazo. Yaani eti VITZ unaulizia Exemption? mafuta, service utaweza kweli?

Aliye juu,mngoje chini!tudharau tu kaka angu:
 
Sawa mkuu nimekusoma ila nataka vitz ya cc 990 direct toka japan maana za hapa dar unaweza kuta wajanja wamezitumia then wanaziweka show room.nimekusoma vizuri sana.sasa nikupateje mkuu

kama unahitaji kununua kwa dar/ showroom wala usiogope wajanja, nenda na fundi au mtaalam wa magari mnaitest. Pia kutoka japan sio kuwa unapata gari bora, maana unanunua gari kwa picha na maelezo ya muuzaji, sio kuwa ni mpya...unaweza kuagiza ukakuta inachemsha, haina power nk nk, ivo sio kuwa ni 100 percent perfect. Nitafute kwa nitumie private message nitakupa mawasiliano yangu,mimi sitahitaji unilipe, nakusaidia tu kila process ya kuagiza mpaka lifike, then unatafuta agent mwenyewe au ukitaka ntakutafutia mtu wa kuitoa, lengo langu ni ufanikiwe....
 
Back
Top Bottom