Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,342
Mil 6 ni CIF pamoja na ushuru, au ni ushuru tu. Nina sienta yangu ya 2005 cc1490 ipo njiani, hapa naumiza kichwa kujua ushuru wake nisije kukwama
kwa vitz ni pamoja na kila kitu, CIF na ushuru,yani mpaka unayo nyumbani kwako. CIF ya gari yako wewe jiandae na kodi ya mil 2500,000/=mpaka 2,800,000/= uyo anayekuambia uwe na mil 2na elfu hamsini anakuingiza mkenge, kama hautakuwa na ziada utaiuzia bandarini tu...imagine Port charge, delivery pamoja na agent fee inakula karibia mil 1, je kodi ni mil 1 ili iwe mil 2? labda kwa pikipiki!!