Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

Hongera saaaanaa!! Hilo linanifaa sana hapa kwa dar maana tunakaa mbali na foleni pia.nakushukuru sana ndugu Yangu maana mchango wako na elimu mpaka gari linifikie bado unahitajika.

mkuu mwalimu anaweza kupata exemption, ila mkuu nakushauri usinunue vitz kwa exemption kwa kuwa kodi yake ni ndogo mno na inalipika mkuu, na ikumbukwe ukiichoka au ukitaka kubadili gari itakubidi ukae miaka 5 ili exemption iishe! Ushauri wangu, kama unataka exemption nunua gari kubwa utaenjoy ila kukwepa kodi ya mil3 nakuambia mchakato wa kufuatilia exemption utakula zaidi ya nusu ya iyo kodi, najua jinsi urasimu ulivo uko...ila kama unanunua gari kubwa sawa, ila hii vitz sikushauri...na mkuu kama uko tayari nitafute nikusaidie iyo vitz utaipata na kulipia kodi kwa gharama zisizozidi milioni 6 kamili. Otherwise , all the best.
 
Sawa mkuu nimekusoma ila nataka vitz ya cc 990 direct toka japan maana za hapa dar unaweza kuta wajanja wamezitumia then wanaziweka show room.nimekusoma vizuri sana.sasa nikupateje mkuu
 
Pumguzo la kodi kwa waalimu ni magari ya kuanzia 2005 chini ya hapo hawapunguzi hata senti rafiki yangu kanunua la mwaka 2001 kalipa kila kitu bila punguzo ni mwalimu
 
Pumguzo la kodi kwa waalimu ni magari ya kuanzia 2005 chini ya hapo hawapunguzi hata senti rafiki yangu kanunua la mwaka 2001 kalipa kila kitu bila punguzo ni mwalimu

Nimekusoma mkuu.hata hivyo niliyoipenda ni ya mwaka 2005 na 2006 kwa hiyo niko within chief!
 
Mwl. gari la nini ww? we jimwage na kitu TOYO a.k.a BOXER uwahi kupiga chaki. Magari waachie wenye nazo. Yaani eti VITZ unaulizia Exemption? mafuta, service utaweza kweli?

Wewe kama sikosei unaishi kwa shemeji yako aliyemuoa dadako. Kula kulala tafuta kazi acha kuamkia kuosha gari asubuhi ndio maana ni pointless
 
Exemption ni kwa waalimu na daktari tu uyo naona hajui eti wafanyakazi wote wa serikali

Kumbe! Hapa serikali imejipanga vizuri tatizo watendaji tu .mimi nitakomaa nipate gari kwa exemption maana hakuna kukata tamaa ni kupambana mpaka kieleweke.
 
Ok kazana ndani ya miezi 4 gari yako iko mikononi mwako uwe tu mwepesi wa kutuma hela

Pesa iko tayari mkuu.kwa sasa naweka mkakati nionane na wakubwa ili nikilipia wasije nikwamisha bandarini nikajikuta nilipia ushuru wa ajabu.niko serious
 
Unaweza kuhudumia familia na gari kwa kiwango cha TZS 350,000 kwa mwezi?

Nyie ndio wale mnaoishi kwa nguvu za jua unadhani kila mtu anaishi kwa kutegemea mshahara tu wee muosha magari nini
 
Anza na pikipiki hutakaa ulalamike huna pesa ya mafuta

Uuuwiiii ungejua asilimia 80% ya wanaomiliki magari ni wanywaji sasa linganisha bei ya petrol lita moja na bia 10 anazikunywa kwa siku na 10 anazonunulia watu
 
Back
Top Bottom