Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
Kwa kifupi waulize watu wa clearing wanajua vizuri procedure yote. Lakini unaomba hazina kupitia kwa mwajiri wako.
Siku hizi huo msamaha wenyewe ni mdogo kiasi kwamba wengi hawaoni haja ya kuomba!
Mkuu msamaha wenyewe ni asilimia ngapi?