Mwali nimekukuta huku...

Dah zombe una nini na Mwali ?
Ngoja Saint Ivuga aje akuonyeshe ye nani

Ni zomba sio zombe, uki mention jina vibaya kwa ma "features" yalioboreshwa kwenye JF ujumbe unamfikia mtu mwingine.

Hakuna kama Mwali, sijaona bado duniani. Kama ni mke wa mtu, kisikilize hiki kipande cha zamani kutoka visiwani:

[video=youtube_share;UgT8kkWCH20]http://youtu.be/UgT8kkWCH20[/video]
 
Last edited by a moderator:

Hata hivyo a na e zinakaribiana so Zomba na Zombe sawa tu
Mwali atakumwaga km alivyobip kwa SI
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo a na e zinakaribiana so Zomba na Zombe sawa tu
Mwali atakumwaga km alivyobip kwa SI

Sasa hapo unamfanyia kazi mwanamme mwenzio na hiyo huku kwetu uswahilini ina jina lake, sitopenda nikuite hivyo.
 
Hili lijamaa lililopost huu uzi silipendi, kutoka koromeroni yani!

Hahahaaaaa Mphamvu mi sina la kusema ila tupendane tu hivyohivyo ila ikibidi tunamrudisha Jukwaa la Siasa asituletee Stress zake huku sisi hatujazoea!
 
Last edited by a moderator:
Mwali ukumbuke tukufunde kwanza kabla ya kwenda hukoo utakako kwenda, mkole umekolea kweli naona, na majibu nayaona kwa mbaliiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom