Mwali nimekukuta huku...

Mwali nimekukuta huku...

na sijui kilichomtoa zomba kwenye jukwaa la siasa
kuja kuingilia makoloni ya watu huku nini,
angerudi tu kule akaendeshe libenenge lake na madoktas.

Endeleeni kumzonga mke wa watu,yatakayo wakuta bishanga simo.
 
Hahahaaaaa Mphamvu mi sina la kusema ila tupendane tu hivyohivyo ila ikibidi tunamrudisha Jukwaa la Siasa asituletee Stress zake huku sisi hatujazoea!

Mi nawapenda wanaopendeka bwana, ulishaona wapi mtu anapenda kinyesi?
 
Last edited by a moderator:
Jamani, jamani zomba, ndio nini hivo sasa?
Picha yangu ya chumbani umeweka sebuleni
Bora hata ungeleta zile imevaa kijani (CCM)
Hapa naona zangu aibu, ngoja nipotee mie...

Ha..ha..ha Hii ya mkono kichwani nimeipenda kweli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom