Mwali nimekukuta huku... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwali nimekukuta huku...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zomba, Jul 13, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Mwali njoo huku wanakutoa mkoleni kabla ya muda
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani, jamani zomba, ndio nini hivo sasa?
  Picha yangu ya chumbani umeweka sebuleni
  Bora hata ungeleta zile imevaa kijani (CCM)
  Hapa naona zangu aibu, ngoja nipotee mie...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mie nimekukuta huko jamani si mimi niliyeileta mie zile za nanihii simuoneshi mtu ng'o.
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Zile za nanihii umezipataje.......hebu ni-PM nizikague
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  No way!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Unavaa magamba!Khaaaaaaa!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Mwali kwa sababu ana aibu ya kizamani kanipa kazi ya kuzikagua ili nijiridhishe kama ni yeye ili nijue cha kumshauri au sio Mwali?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Zomba umefikisha 10,000 post leo ukiwa unamwandikia Mwali thread... I am humbled.
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ulikua hujui? mi ni sisiyemu damu. Kuanzia Babu, baba,
  wajomba, shangazi, binam mi mwenyewe na watoto, inshallah.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yaani hata hii avatar huioni? [​IMG]
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wow! never knew!

  Bingo!
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Janja yake panya paka kwisa tambua!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Haya Mwali,kila la kheri na magamba yako.Huku kwetu ukijulikana ni magamba hata Hiace hupandi aiseee!Watch your back!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unamtazama kwa uoga? hiyo kitu ya ma oud ikadandie hiace?
   
 16. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  napita tu naona hakuna cha kuchangia
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndio uzuri wa CCM hapo sasa: hata ukiwa party ndogo ndogo za mtaani
  bado chama mama kinakupokea na kinakupenda kama watoto wake wote.
  Hayo yote ni sababu hamjui uzito wa madaraka. mkikua mtaacha tu. lol
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Haya bana,mi nauogopa ubinadamu!
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Endeleeni kumzonga mke wa watu,yatakayo wakuta bishanga simo.
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimekuona Jukwaa la siasa unalalamika utendaji kazi wa madaktari
  Kweli wanaonewa, kweli hawalipwi, kweli Ulimbok kafanyiwa vibaya
  ila ukitazama vizuri nadhani wanafaidi mali ya serikali pia (somehow)
  Kuna siku unalipia hizo exams huko private clinic, unafanyiwa muhimbili
  then majibu yanaenda kwakwe private clinic, anakupa tiba huko huko
  Is this fair jamani? kutumia vifaa vya umma kwa kazi binafsi???
   
Loading...