Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

Huyu mzee atakuwa ameathirika sana ns sumu akiyopewa..maana hajielewi hata anaongea nini...
 
Waweke vituo maalumu kwa ajili ya shughuli hiyo njiani!! watu wanakaa kidogo kujisitiri hii ya mkoa hadi mkoa ukute mtu kala makande jana yake yamemkalia vibaya, hiyo safari mbona nitashuka njiani. Kwa upande mwingine, waboreshe train haraka ndo watoe hayo matamko!!
 
mh. dr. harison mwakyembe ametoa tamko kuwa sasa hivi gari lolote la abiria litakalo onekana limesimama njiani kwa ajili ya abilia wake kuchimba dawa (kujisadia) litachukuliwa hatua za kisheria.

Kwa maana nyingine ni kwamba magari yote sasa yatakuwa ma vyooo au? Manake bila hivyo watakuwa wakichimba dawa kwenye corridor za mabasi!
 
Mwakyembe hivi wewe unaweza kusafiri kilometa 1600 bila kujisaidia labda uwe unakula saruji...anza kwanza na askari wa wanyamapori hao ndio wanaongoza kujisaidia maporini.
 
Mwakyembe hivi wewe unaweza kusafiri kilometa 1600 bila kujisaidia labda uwe unakula saruji...anza kwanza na askari wa wanyamapori hao ndio wanaongoza kujisaidia maporini.

hahahahaaaaa,,,,KAZI YA KAGASHEKI HIYO
 
Mazee unajua hata na mimi nimelifikiria hili.

Hivi katika mambo yooote yaliyo matatizo katika Wizara yake, hili ndio kaona la kipaumbele?

Au ilikuwa vipi mpaka hili likaibuka?

Hii ina lengo la ku divert attention za watu ili tuache kujadili mambo ya msingi,alipaswa kutueleza ni kwa nini ATCL wamesitisha huduma? And what is the way foward, badala ya kuongelea habari za watu kukojoa maporini!
 
Ni marufuku kwa mabasi kutembea zaidi ya kilomita mia bila kusimama katika kituo chenye sehemu ya kujisaidia na kuwapa watu nafasi ya kufukia dawa. Ikibainika wamezidisha hizo kilomita tutawafungi leseni. Hatupingani na Mhe Waziri (Mtani) (we are just construing his statement)

By: Raia wema
Kambi ya upinzani
 
Waweke vituo maalumu kwa ajili ya shughuli hiyo njiani!! watu wanakaa kidogo kujisitiri hii ya mkoa hadi mkoa ukute mtu kala makande jana yake yamemkalia vibaya, hiyo safari mbona nitashuka njiani. Kwa upande mwingine, waboreshe train haraka ndo watoe hayo matamko!!

Kuna mtani wangu hapa kathema MAKANDE HAYANA HISTORIA YA KUMKALIA VIBAYA MLAJI.....Labda uongelee chakula kingine..
 
mh. dr. harison mwakyembe ametoa tamko kuwa sasa hivi gari lolote la abiria litakalo onekana limesimama njiani kwa ajili ya abilia wake kuchimba dawa (kujisadia) litachukuliwa hatua za kisheria.

Huyu anaropoka kwa sababu yeye na familiya yake wote wanatumia vyombo binafsi vya usafiri. Sisi walalahoi tunatumia mabasi ya abiria ambapo mtu ukisafiri toka DSM kwenda Mbeya unatumia zaidi ya masaa kumi njiani. Simuelewi alitumia ubongo gani kufikiria na kutoa tamko hili.

Au hotuba yake ilikosa la kusema ndio maana akatamka hivyo????

Atengeneze mazingira bora ya kujisaidia abiria ndipo atamke hivyo. Vinginevyo tutakojoa ndani ya mabasi au tutatembea na mifuko ya rambo kwa ajili ya haja kubwa na ndogo. Sasa sijui kipi ni bora mtu akojoe nddani ya basi kwenye mfuko wa rambo au aende kichakani????

Kumbe MADR wengine hamnazo!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ninahisi kuna mpango wa kufanya hivyo (kujenga vyoo) kwani muda uliotolewa unatosha. La sivyo kama swal ni kujisetiri dereva akifunga breki waende kina mama, aendelee na safari akifunga breki tena zamu ya akina baba.
Kujiuzulu: Kama uchukuzi ni swala la muungano awajibike, la sivyo ni wa zenji ameshajiuzulu.
 
mh. dr. harison mwakyembe ametoa tamko kuwa sasa hivi gari lolote la abiria litakalo onekana limesimama njiani kwa ajili ya abilia wake kuchimba dawa (kujisadia) litachukuliwa hatua za kisheria.

Hili Tamko na Dr. Mwakyembe wazungu huwa wana msemo wao mzuri, wanaserma hivi "TO PUT THE CART BEFORE THE HORSE" I believe Dr. Mwakyembe anafahamu Kiingereza.

Ingawa amemponda Wenje kuhusu JF, yeye ni madau mkubwa na sasa hivi anasoma hizi comments.
 
hivi anafikiri sisi tunapenda kujisaidia porini...........na ukizingatia style ya sisi wanawake tunazotumia kujisaidia ili ile haja isikurukie wala asiingeongea huo upuuzi.

ajenge vyoo tena viwe visafi na standard mana unaweza ingia chooni ukaona ni heri ya pori mana choo ni kichafuuuuuuuuuuuuuu .
 
Ana suluhisho la watu kutochimba dawa porini?

Huyu sumu haijamwisha mwilini. Abiria sasa ruksa kuharisha ndani ya Basi. sasa sijui ndo itakuwa imelinda desturi na utamaduni wa Mtanzania!
 
Siyo kula matoke ama kichuri tu. Nchi yetu ni kubwa na sasa anategemea mtu asafiri zaidi masaa manne bila kujisaidia? Alichotakiwa ni kuweka points za kujisaidia kati ya vituo vikubwa alafu ndiyo apige marufuku. Awa viongozi wanakurupuka kufuraisha watu tu.
 
NSSF mle,
Pia mle hata chenji ya 200 kwa kulipia choo cha halmashauri,stendi sio?

Au huenda kutokana na yeye na familia yake kutokutumia usafiri wa mabasi, anajua kuchimba dawa ni kung'oa mizizi, ivyo miti itakauka au mizizi iking'oka, itasababisha barabara kuchimbika.
 
dili hilo hayo maeneo yanayotumika kuchimba dawa huwa sehemu kubwa ni misitu je ni mali ya serikali kama inawezekana watoe maeneo wajasiriamali wajenge vyoo vya kulipia

Kuna vyoo njia ya DAr- Moshi. Mara ya mwisho havikuwa vya kulipia nadhani basi likisimama ndio linalipa. Ila ni utaratibu mzuri tujifunze kutoka manispaa ya Moshi. Ila hii marufuku ilipaswa kutolewa na waziri wa Afya.
 
Dokta hapa kaenda kombo, na huu utu wa mtanzania ndo unavunjwa ama kudhalilika kwenye kuchimba dawa tu!!!!
 
Duh kaka yangu mwakyembe heshima yake inazidi kuporomoka,ameshauriana na wenzake adhari za hili au karopoka tu? Kwa mazingira gani ya porini mtu asijisaidie! Tabu hawa watu wa mashangingi wanajisahau sana maana wao umbali mrefu wanakwea pipa wanasahau sisi tunatoka Dar hadi Karagwe kwa basi!
 
Back
Top Bottom