Big up Dr kwa uamuzi wako. Ni aibu sana na ni ufinyu wa mawazo baada ya miaka 50 ya Uhuru tunawaza mawazo ya kizamani. Kuna shida gani kila Halmashauri kujenga "rest areas" katika maeneo yao? Hebu tubadilike kifkra. Yeyote anayempinga Dr anadhihirisha uzamani. Kumbukeni sisi siyo mbwa ni wanadamu....... Big up again Dr. Kanyagia hapo hapo mpaka kieleweke.....
Anatengeneza mazingira ya rushwa kwa mgambo sasaugonjwa wake umempa kichaa, jenga vyoo kwanza ndo useme huu ujinga daktari.
sipati picha pori la ushirombo mpaka nyakanazi bila kujisaidia balaa!hapo ujue kuna biashara ma bus ya mchina
ugonjwa wake umempa kichaa, jenga vyoo kwanza ndo useme huu ujinga daktari.
.Heading za magazeti ya kesho na waandishi wetu uchwara"KUCHIMBA DAWA BARABARANI MARUFUKU" utadhan hcho ndio cha muhimu alichokiongelea kwny hotuba nzima
hili ndio tatizo la watu wanaotumia vx. Huu ni uamuzi wa kipuuzi kuwahi kutolewa.