Xuma
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 683
- 196
Mtu mwenye afya ambaye haumwi, kunya au kukojoa porini sio kuchafua mazingira kwani Kinyesi cha mtu mwenye afya ni mbolea.
Na hivi ni watu wangapi huko vijijini wasiokuwa na vyoo wanaokunya huko porini? Mazingira barabarani yanachafuliwa na utupaji wa taka dirishani kutoka kwenye magari.
Ukisafiri barabara zetu kuu utaona mita tano kando kando ya barabara zimejaa makopo, chupa za plastiki, mifuko ya rambo na takataka nyingi sana zisizooza.
Tukiendelea kwa mwendo huu kwa kulifumbia macho tatizo hili litakuja kuwa janga la taifa huko mbeleni. Hichi ndicho Mwakyembe angefaa akivalie njuga.
Hakuna ubishi huyu waziri kajilewesha sifa za kiCCM make kakurupuka bila hata kufikiri kidogo.
Ila kuhusu post yako kinyeshi cha ninadamu sio shwari kutupwa ovyo kwani kina mabaki ya ya chakula (especially elements of life) na kemikali zilizohusika katika mmengeny'o tumboni ambayo kwa pamoja vinaweza kusababisha ukuaji wa vijidudu (microorganism) flani ambavyo vinaweza kuleta madhara kwa binadamu, wanyama na mazingira kwa ujumla.
Ila kwa vile huwa uchimbaji dawa hufanyika sehemu isolated na mabali na makazi ya binadamu nafikiri hii practice inaweza kuendelea mpaka pale vitapojengwa vyoo katika maeneo husika ili kulinda mazingira.