Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,820
- 103,676
Amekosa ustaarabu huyu mzee! Si ajibu swali alilouliza? Hizi lugha za maudhi hukemewa zikiulizwa na upinzani tu?
Usomi wake ni kupika report za Uongo juu ya Richmond na kudai ni Richmond si ya Kikwete, usomi wake ni kupiga Dili kila alikopita, Wizara zote alizopita kapiga Dili kibao ikiwemo kununua mabehewa mabovu, 10% Ukarabati reli ya kati nkUsomi wake kalifanyia taifa
Dah....yaani wapinzani wana Elimu ndogo sana wanashindwa hata na Migambo
huko bungeni 70% ya wabunge wa CCM si Wasomi hivyo kwa ujumla amewatukana Tusi kubwa, Mwakyembe inabidi achunguzwe Hiyo PhD yake pengine kasoma kijanja janja ile style ya kuiba mitihani, kununua majawabu na kukariri, kisha kusoma English kwa bidii ili kuficha mapungufu, Mwakyembe kwa sasa Akili zake ni sawa na za kibajaji, Agnes Marwa na goodluck kombani, amekalia taarabu mipasho tu hana Taaluma kichwani Usomi wake ni wa kimagumashi tu hana lolote kabsa.Amekosa ustaarabu huyu mzee! Si ajibu swali alilouliza? Hizi lugha za maudhi hukemewa zikiulizwa na upinzani tu?
"siasa za Mwendokasi Bana
"Mwakyembe ni msomi Feki kichwani hana Taaluma atakuwa aliiba mitihani akamiliki vyeti, huo Usomi wake upo wapi? Kwenye kampeni kule Mbeya aliiba kura ( Goli la mkono) ameshiriki wizi mwingi na kama Usomi huu wa kuzalisha Mafisadi utaendelea ipo siku Nchi itauzwa kwa wakoloni tena pasipo kujua, kuendekeza wanaojiita Wasomi wakati kiundani si Wasomi halisi itaendelea kuitafuna Nchi hii.Hahaha! Viongozi wa Tanzania bhana, Mwakyembe bhana. Hovyooo! Sasa anachoongelea nini hapa?
Kama kanuni zinamruhusua na kama naibu speaker amememruhusu … haya mambo ya kuwa nje au ndani yameingiaje? Kama kanuni haikumruhusu kwa nini naibu spika amempa nafasi ya ya kutoa hotuba? Hiyo ndo hoja tunayotaka kusikia sisi wananchi? Eti kutilia shaka uelewa wa daktari wa falsafa mwenye shahada na stashaha sita…. (…. ) du!
Hivi bado tu tunaamini utility ya wasomi wa Tanzania! Historia inaonyesha hawo wanaojiita wasomi ndiyo walioifikisha Tanzania mahali hapa, ndio hao walioiibia na kuifisadi Tanzania na kuifanya maskini kiasi hicho. Ndiyo hao wasomi wanaoshindwa kuisimamia na kuitetea Tanzania. Ndiyo hao walifanya mikata yote mibovu, ndiyo hao wanaowauzia wachina na wazungua mali asilia za Tanzania. Huyu Mwakembe mwaka jana hakufunua hata domo lake kwenye sakata la Escrow .. leo anataka tuwamnini hapa. Amesahau pia kuwa kundi hilo la wasomi ndiyo wanaotumbuliwa na Magufuli leo!! Ndiyo hao waliotuwekea wafanyakazi hewa…. Nasema kwa Tanzania heri hao anaowaita wasanii (ambao kwenye maswala ya msingi at least wanawatetea wananchi na Tanzania kuliko hawa wenye sijuui shahada sita au zaidi ambao kazi yako kuzomea tu bungeni .. na kuongea ujinga!
Eti Plato kasema hivi kasema vile…. Kwani Plato Mungu? Huyu ndo anajiita msomi daktari wa falsafa mwenye shahada na stashaha sita? Watanzania hatutaki kusikia Plato alisemanini? Ila wewe wewe uliyemsoma Plato umemtafsirije huyu Plato kwa manufaa ya Tanzania. Atuondolee hiyo nonsense yake.
Richmond ni ya KikweteUnajua kuwa aliyetaka kimkolomba ni richmond ya bos wako huko UKAWA
Umemsikiliza Mwakyembe na umemuelewa?Unaweza ukawa hujasoma ila kuwa ndani ya Chadema ni Shule kabisa wewe uliosoma umefanya nn?? Na umefika wapi??
Pimbi wewe
Mwakyembe kalewa Pesa alizopiga kwenye Dili la mabehewa chakavu ngoja week yote Ukawa watachana live mpaka atajutia mipasho yake.Eti hotuba fupi ya kambi rasmi ya upinzani iliyowasilishwa na msanii
Kutoka MBEYA..![]()
"siasa za Mwendokasi Bana
"
Sugu kaishia kidato cha pili tu.
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Mwakyembe ni msomi Feki alinunua vyeti hana lolote kichwani Yupo kama Agnes marwa. anazidiwa Akili na Ally kessy.Huyo msomi kagundua nin cha maana au katuletea nin cha maana, usikute hata ki IQ kazidiwa basi tu alipata bahati ya kusoma
Mwakyembe anamuogopa sana Sugu kuliko Mungu ! Sijui kwanini ?Kawamaliza kivp acheni siasa za maji tkaaa ccm
Naanza kumchunguza .Mwakyembe ni msomi Feki alinunua vyeti hana lolote kichwani Yupo kama Agnes marwa. anazidiwa Akili na Ally kessy.
Profesa Tibaijuka kakulipia kodi nini?chenge atakulisha mwaka wote huu kisha hamia kwa KapuyaDah....yaani wapinzani wana Elimu ndogo sana wanashindwa hata na Migambo
mchunguze maana kichwani hana Taaluma zaidi ya kusoma Kingereza kwa bidii ili kuficha mapungufu yake, kama wachezaji wakikutwa wametumia Dawa za kuongeza nguvu hufutiwa medali zao zote, ni wakati wa PhD ya Mwakyembe kufutwa maana ni feki afutiwe vyeti Vyake vyote awe kama Profesa maji marefu au kibajaji.Naanza kumchunguza .
NenoYeah ila yawezekana anakamata Pesa au ana Pesa ambayo Mimi na Wewe pamoja na kuandika sana Thesis na Dissertations zetu hatutaweza kuzipata sasa au hata akija Messiah kutukomboa bado tu Sugu " atatuacha " kwa " mtonyo ". Yes inawezekana Sugu akawa na matatizo yake ambayo actually naamini kila Mtu anayo including I and You lakini isifike muda tukaanza kumdharau Mtu kwa Kigezo cha Elimu yake. Huyo PhD Dkt. Mwakyembe ana lipi la maana la kutushawishi sisi so called modern intellectuals kuwa ametumia Elimu yake kwa faida ya nchi yetu hii? Ukiangalia kwa jicho la Tatu la Ndege mwenye AKILI kubwa TAI utagundua kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu ana afadhali Kiutendaji / Kiungozi pengine hata kushinda huyo mwenye PhD yake Dkt. Mwakyembe. Katika nisivyovipenda ni Mtu anapomdharau mwenziye kwa Kigezo cha Elimu na kinachonifanya nichukie zaidi ni kwamba hawa hawa Wasomi ndani ya hii miaka 55 ya UHURU hakuna cha maana walichokifanya katika nchi hii zaidi tu ya kununua Suti mpya na kula Bata tu. Nimesikitika mno!
Mwakyembe PhD yake ni feki ichunguzwe Vizuri.siku hizi mwakyembe uswahili mwingi. yuko kundi moja na akina nkamia.. hana cha maana anacho ongea, ni vijembe tu. mwenyezi mungu pitishia mbali kizazi cha hawa wazee... ni bure kabisa!!