Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

kwa hiyo ukawa hawatakuwepo bungeni milele, kwani keshawamaliza, hiyo reason ni ya kitoto kabisa, wanataka wasikilizwe wao tu, muwasikilize na wao basi,
 
Nnchi yetu haiwezi kuwa na maendeleo mpaka watu wapunguze majidai makyembe alivyokuwa kwenye ziara marekani kweli msomi anaweza kuongea kuikandamiza zanzibar,elimu yake ni yanini
 
Ishu sio PhD ishu ni una-deliver nn kutoka kichwani? Sugu ana deliver mambo mazuri ya kulisaidia taifa ukimlinganisha na huyo PhD wako.
 
Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
unaposema kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu ni kujifariji na ni kama umeamua kujidanganya.
Elimu(iwapo mhusika ameelimika) husaidia sana kutengeneza fikra na kuongeza maarifa hivyo ni moja ya vigezo muhimu katika kuongoza,na ndio sababu katika nafasi nyeti za uongozi mahali popote inawekwa wazi elimu kama kigezo,kwa mfano ulio hai sidhani kama kuna nchi katika dunia ya leo ina Rais au waziri mkuu asiye na elimu.Umuhimu wa elimu umetajwa hata na mwenyezi mungu kupitia vitabu vyake vitakatifu,ingawa pia sikatai kuna mambo (mfano vikao vya harusi,vikao vya familia na mengineyo madogo madogo)yanaweza kuongozwa bila kuzingatia sana elimu.
 
Nnchi yetu haiwezi kuwa na maendeleo mpaka watu wapunguze majidai makyembe alivyokuwa kwenye ziara marekani kweli msomi anaweza kuongea kuikandamiza zanzibar,elimu yake ni yanini
Mwakyembe kichwani yupo kama Darasa la Pili ni Kama kilaza amesoma kijanja janja kama Jesca Magu.
 
Huyo anaejiita PHD holder hata kiingereza kinampiga chenga after all ilikuwa busara ajibu hoja kwa sababu wananchi ndio wamemqualify Sugu. Mwakyembe acha dharau ungekuwa kweli ni kiongozi msomi ungetatua kero za muda mrefu za wanakyela ikiwemo ya barabara mbovu all over jimboni kwako.Huko ni kuishiwa Sera yule sio ' msanii kutoka Mbeya' ni Mhe.Mbunge asheeh
 
unaposema kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu ni kujifariji na ni kama umeamua kujidanganya.
Elimu(iwapo mhusika ameelimika) husaidia sana kutengeneza fikra na kuongeza maarifa hivyo ni moja ya vigezo muhimu katika kuongoza,na ndio sababu katika nafasi nyeti za uongozi mahali popote inawekwa wazi elimu kama kigezo,kwa mfano ulio hai sidhani kama kuna nchi katika dunia ya leo ina Rais au waziri mkuu asiye na elimu.Umuhimu wa elimu umetajwa hata na mwenyezi mungu kupitia vitabu vyake vitakatifu,ingawa pia sikatai kuna mambo (mfano vikao vya harusi,vikao vya familia na mengineyo madogo madogo)yanaweza kuongozwa bila kuzingatia sana elimu.
Mwakyembe hana Taaluma wala Elimu kichwani alichokisoma ni Kingereza kisha akasaka Uzoefu kazini kutumia wanasheria wasomi wa Ukweli kajifunza kupita wao kiujanja janja tu, PhD yake ni Feki ndiyo maana alinunua mabehewa Feki, kuna Wasomi halisi na kuna wale wanaojiita Wasomi ambao kichwani hawana Taaluma bali hujidai kuna vitu humo na hao wengi ni wezi wakubwa na watenda maovu na vioja vya kila aina ni wepesi wa kurubuniwa kama Slaa na Lipumba walivyorubuniwa na Div zero form six January Makamba ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi za ccm, pata picha hata kule Bungeni wabunge wasemaji hovyo wa ccm yaani Kibajaji na Ally kessy wana Elimu ya ngama lakini ni Tegemeo la ccm kwenye kupambana na upinzani pia msemaji wa ccm Ole sendeka kichwani hana kitu yeye kazi yake ni kukariri kila kitu cha Div 4 Nape na mzee Kinana Adui namba one wa Tembo, hana Mawazo binafsi, Wasomi wa Tanganyika wengi ni magumashi na wengine hasa wa ccm wao wamesomea Ufisadi tu.
 
Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Sugu anatuongoza wajinga wa mbeya mjini tumemchagua coz hatutaki ccm na sio kingine
 
Huyo anaejiita PHD holder hata kiingereza kinampiga chenga after all ilikuwa busara ajibu hoja kwa sababu wananchi ndio wamemqualify Sugu. Mwakyembe acha dharau ungekuwa kweli ni kiongozi msomi ungetatua kero za muda mrefu za wanakyela ikiwemo ya barabara mbovu all over jimboni kwako.Huko ni kuishiwa Sera yule sio ' msanii kutoka Mbeya' ni Mhe.Mbunge asheeh
Jimboni kwake Mbeya hawakumpigia kura kabsa bali alichakachua matokeo kwa Goli la mkono, pesa alizopata baada ya kupiga Madili, Bandarini, Airport,shirika la Reli kununua mabehewa feki, Ganji toka kwa Membe juu ya kumfundisha Slaa serena hotel jinsi ya kuwachafua Ukawa, na Madili kibao, bila kutumia pesa Mwakyembe asingekuwa Mbunge leo hii maana hana mwana-jimbo anamtaka kabsa.
 
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa CHADEMA sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa CHADEMA!

Kwa tanzania mtu hata awe na digree 100 ni sawa na kazi bure,hata hao madaktari anaowasifia ni ujinga tu,maana tungekuwa hatuendi india kutibiwa
 
Vipi Mh.Majimarefu wa CCM? Vipi Vilaza walioruka Na div.Zero? Kina ole sendeka Na Livingstone lusinde wa CCM?
 
Jimboni kwake Mbeya hawakumpigia kura kabsa bali alichakachua matokeo kwa Goli la mkono, pesa alizopata baada ya kupiga Madili, Bandarini, Airport,shirika la Reli kununua mabehewa feki, Ganji toka kwa Membe juu ya kumfundisha Slaa serena hotel jinsi ya kuwachafua Ukawa, na Madili kibao, bila kutumia pesa Mwakyembe asingekuwa Mbunge leo hii maana hana mwana-jimbo anamtaka kabsa.
Samahani kwa atakaekereka: zamani nilidhani huyu HM ni kiongozi mdiriki na mkweli ila nimegundua sio ana element nyingi za unafiki na nimeprove zaidi baada ya kutembelea jimboni kyela on my biz trips.
 
Mwakyembe hana Taaluma wala Elimu kichwani alichokisoma ni Kingereza kisha akasaka Uzoefu kazini kutumia wanasheria wasomi wa Ukweli kajifunza kupita wao kiujanja janja tu, PhD yake ni Feki ndiyo maana alinunua mabehewa Feki, kuna Wasomi halisi na kuna wale wanaojiita Wasomi ambao kichwani hawana Taaluma bali hujidai kuna vitu humo na hao wengi ni wezi wakubwa na watenda maovu na vioja vya kila aina ni wepesi wa kurubuniwa kama Slaa na Lipumba walivyorubuniwa na Div zero form six January Makamba ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi za ccm, pata picha hata kule Bungeni wabunge wasemaji hovyo wa ccm yaani Kibajaji na Ally kessy wana Elimu ya ngama lakini ni Tegemeo la ccm kwenye kupambana na upinzani pia msemaji wa ccm Ole sendeka kichwani hana kitu yeye kazi yake ni kukariri kila kitu cha Div 4 Nape na mzee Kinana Adui namba one wa Tembo, hana Mawazo binafsi, Wasomi wa Tanganyika wengi ni magumashi na wengine hasa wa ccm wao wamesomea Ufisadi tu.
Sijui kama umesoma vizuri nilichoandika mkuu,hapo kwenye bandiko langu hakuna nilipoandika kuwa elimu ni lazima mtu awe na PHD,hata hao uliowataja hapo wote ni watu waliopata elimu katika madaraja tofauti tofauti na ni elimu hiyo walioipata ndo imewafikisha hapo kwa kuwa iliwajenga kifikra na kimaarifa.
Kimsingi nilitofautiana na aliyesema elimu sio muhimu katika kuongoza watu,kuamini hili ni kujidanganya na hata ukiongoza angalizo kwako iwe usije ukamcgukulia mtu wa kidato cha nne kama mtu asiye na elimu ila kadri unavyokwea madaraja ya elimu ndivyo upeo wako unavyoongezeka na kukupa maarifa ya kupambana na changamoto mbali mbali-mind you exceptions always exist,kwa hiyo wapo pia wachache waliofika madaraja ya juu kielimu lakini upeo wao ni mdogo kama ambavyo wapo walio na madaraja ya chini kielimu lakini upeo wao ni mkubwa.
 
Mwakyembe hana Taaluma wala Elimu kichwani alichokisoma ni Kingereza kisha akasaka Uzoefu kazini kutumia wanasheria wasomi wa Ukweli kajifunza kupita wao kiujanja janja tu, PhD yake ni Feki ndiyo maana alinunua mabehewa Feki, kuna Wasomi halisi na kuna wale wanaojiita Wasomi ambao kichwani hawana Taaluma bali hujidai kuna vitu humo na hao wengi ni wezi wakubwa na watenda maovu na vioja vya kila aina ni wepesi wa kurubuniwa kama Slaa na Lipumba walivyorubuniwa na Div zero form six January Makamba ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi za ccm, pata picha hata kule Bungeni wabunge wasemaji hovyo wa ccm yaani Kibajaji na Ally kessy wana Elimu ya ngama lakini ni Tegemeo la ccm kwenye kupambana na upinzani pia msemaji wa ccm Ole sendeka kichwani hana kitu yeye kazi yake ni kukariri kila kitu cha Div 4 Nape na mzee Kinana Adui namba one wa Tembo, hana Mawazo binafsi, Wasomi wa Tanganyika wengi ni magumashi na wengine hasa wa ccm wao wamesomea Ufisadi tu.
Ukiambiwa uthibitishe kuwa Mheshimiwa uliyemtaja hapo juu elimu yake ni feki unaweza?au umeamua kukurupuka?
 
lakini tafadharini sana, kulingana komenti za huu uzi naomba nipewe tofauti hata mbili kati ya majimbo yanayoongozwa ccm na chadema,
 
Mwakyembe ni mzigo kwa taifa . qushney kabisa ana hasira na Sugu maana alitishia..usaidie wake wa kupita ubunge kyela. .alimchanachana kama sio kummaliza...
 
Back
Top Bottom