Asieee! nimeona mbele giza tu wala hatuwezi kuendelea kwa madharau ya viongozi wetu hawa, inakuaje ata Bungeni Mh Mwakyembe anaweza kumwita Mbunge mwenzie "Msanii kutoka Mbeya"? je nje ya Bunge anaweza kushirikiana na wengine kwa manufaa ya wengine?.
Kweli hatuwezi kuendelea kwa uongozi wa akina Mh Mwakyembe na kampani yake.
Kweli hatuwezi kuendelea kwa uongozi wa akina Mh Mwakyembe na kampani yake.