Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,704
Mimi binafsi niliwahi kuangalia watu wakihojiwa live katika Luninga hasa kile kilichoitwa siku mia za Magu ikulu, ilipokuja zamu ya mwakyembe niliwahi kuduwaa. Kwani nilikua namchukulia mwakyembe kama waziri msomi lakini alinishangaza kuwa kilaza katika mawaziri wote waliokalia kile kiti.
Nilimwambia rafiki yangu tuliekua tunafuatilia nae kile kipindi kuwa katika baraza la Magu, mwakyembe ndio zigo la yote.
Nilimwambia rafiki yangu tuliekua tunafuatilia nae kile kipindi kuwa katika baraza la Magu, mwakyembe ndio zigo la yote.