Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe anamshangaa nini Sugu wakati nyie wenyewe mmetaka wabunge wajue kusoma na kuandika? Kwani sugu hajui kusoma na kuandika?

By the way Mwakyembe akiwa kama msomi hapaswi kujadili watu bali mauala. Otherwise ni use.....?
 
Mtaalam wetu wa sheria aliyekana tafiti kwa sababu ya siasa za Chama changu. Ila kawambia kabisa ukweli kina Suguu.
mtaalam gani huyo? Zile pesa za ununuzi wa mabehewa feki mmekula wote? Taaluma kichwani mwa Mwakyembe haipo bali kuna Taarabu tu.
 
Mwakyembe anamshangaa nini Sugu wakati nyie wenyewe mmetaka wabunge wajue kusoma na kuandika? Kwani sugu hajui kusoma na kuandika?

By the way Mwakyembe akiwa kama msomi hapaswi kujadili watu bali mauala. Otherwise ni use.....?
akiwa kama Msomi? Yaani ni kama? Kwa hiyo Mwakyembe ni kama msomi hana Taaluma kichwani yupo kama msomi lakini si msomi vyeti vyake ni vya kugushi.
 
Hivi alipata kura ngapi na Mwakyembe ngapi??
Sugu alishinda kwa kishindo lakini Mwakyembe kutokana na wananchi kujua ni Mwizi hawakumchagua bali alichakachua matokeo akashinda kwa Goli la mkono.
 
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!

Title na Content mbona mbalimbali...Huyo hajui hata kama katiba ilibakwa zanzibar,hajui kuwa katiba ya Warioba ndo mkombozi wa mTz..eti PHD Holder..Kuna holder mwingine anaitwa Anna Tibaijuka,naye vip?....
 
Mmhhh mheshimiwa speaka bunge lako halina mmbunge anaitwa msanii kutoka Mbeya.

Usianzishe ugomvi wa mawe.......
 
Mkuu wanaojiita Wasomi Tanzania 80% wamesomea ufisadi angalia Tabia za akina Chenge na Genge lake
 
Mmhhh mheshimiwa speaka bunge lako halina mmbunge anaitwa msanii kutoka Mbeya.

Usianzishe ugomvi wa mawe.......
Mwakyembe kachokoza moto yeye ameropoka tu kumfurahisha naibu spika lakini nina Imani ataijutia Kauli yake hiyo.
 
Jacob Zuma hakuwahi kwenda shule.
Bill Gates hakumaliza chuo.

Kwa shahada na stashada zake Mwakyembe alitakiwa awe mwalimu wa chuo sio mwanasiasa.

Siasa inataka busara tu.
 
Jacob Zuma hakuwahi kwenda shule.
Bill Gates hakumaliza chuo.

Kwa shahada na stashada zake Mwakyembe ikitakiwa awe mwalimu wa chuo sio mwanaaiasa.

Siasa inataka busara tu.
Mwakyembe kichwani hana Taaluma ni msomi feki alinunua vyeti tu.
 
Eti msomi mabehewa fake nani kaleta au ndio phd za kwetu zile lazima upige ndio uwe umemaliza masomo mabehewa yanakata kona yentewa kama yutong
 
Usomi feki wa Mwakyembe umeishia kuwanunulia mabehewa feki.
 
Wasomi wana matumbo na inapobidi badala ya kuongozwa na usomi wao huongozwa na matumbo yao. Ndio maana hata hukana maandishi yao wenyewe. Tena msomi anaeongozwa na tumbo lake ni mbaya zaidi kuliko yule ambaye sio msomi kwani msomi hujaribu kujificha kwenye usomi wake. Hebu jiulizeni Prof. Maji marefu kwa nini amerudi bungeni na wasomi wetu wazuri kule Tanga wameanguka? Juzi maji marefu ameona umuhimu wa upinzani kuwa bungeni hao wasomi wanataka kuufuta upinzani bungeni na kwenye siasa. Wasomi hawataki upinzani ufanye kazi za kipinzani hata mikutano wanapiga marufuku hati wanataarifa za kintelligensia.
 
Mwakyembe hata aibu huna... unaongea upumbavu... halafu unataka tukusapoti..labda huyo uliyemwadress... Naibu speaker ndiye mvumilivu wa kukusiliza!
 
Back
Top Bottom