mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,464
- 6,011
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa CHADEMA sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa CHADEMA!
Ile tu kutoa na kuanza kubishana ni ukosefu wa weledi na ujinga!! Hoja iko pale pale hasa mwaki-embe alipokana makala yake ya kisomi kuhusu serikali tatu. Wasomi wanakuwa UDSM ila wakiingia bungeni wanageuka zumbukuku wa kawaida tu. Heko Sugu kwa kumpa za chembe huyu msomi mchumia tumbo!!