Jiulize wewe? Alimwaga hatua gani na wahusika walikua wakina nani?Jibu swali Wema alikataliwa na Wananchi au Chama?
Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Duh kumbe watu laki moja waliomchagua sugu ni wahuni basi CCM imeharibu taifa,Mbeya mjini tu wahuni laki moja ndio kusema Tanzania nzima ina wahuni karibu milioni 40 kati ya watanzania milioni 50Sugu ni lijinga moja lililochaguliwa na baadhi ya wahuni wa mjini, baada ya kuwafanyia vurugu watu wenye hekima ili wasiende kupiga kura.
wacha bana!...je hana cheti feki?Sugu kaishia kidato cha pili tu.
tuliza ball..sio unaandika na hasira. unaona sasa umeandika ugoro. eti unamdharau mwanasheria mahiri kama mwakyembe!Mwalimu wa sheria asiye jua sheria,
rejea posho za wabunge wa Ukawa ukilaza wake ulipojitojeza
Atakumbushwa suala la vichwa vya treni na madai yake CCM walitaka kumkolimba
Jamaa feki
Bangi hizo!Duh kumbe watu laki moja waliomchagua sugu ni wahuni basi CCM imeharibu taifa,Mbeya mjini tu wahuni laki moja ndio kusema Tanzania nzima ina wahuni karibu milioni 40 kati ya watanzania milioni 50
Hivi akisema hivyo akina Lusinde na Stephen Ngonyani wanajisikiaje. Ebu Mwakyembe acha kuwaonea wenzioProblem is not PHD, standard seven or whatever but the basic problem is PHD ACTIONS are not yet realized than mind-driven, personal interest-driven and slave-serving. I can only pick one action of which was revealed during NBC scandal.
Asieee! nimeona mbele giza tu wala hatuwezi kuendelea kwa madharau ya viongozi wetu hawa, inakuaje ata Bungeni Mh Mwakyembe anaweza kumwita Mbunge mwenzie "Msanii kutoka Mbeya"? je nje ya Bunge anaweza kushirikiana na wengine kwa manufaa ya wengine?.
Kweli hatuwezi kuendelea kwa uongozi wa akina Mh Mwakyembe na kampani yake.
Ujinga kweli kipaji. Hivyo wewe unaweza kushangaa kuona January hadi April mvua kubwa inanyesha na kuleta mafuriko lakini July hadi November jua Kali linawaka hadi kuleta ukame na maji ya kunywa kukosekana?Acha mbwembwe Msikilize tena Mwakyembe vizuri halafu linganisha Msigwa, Kubenea, Lema, Mbowe, Mnyika - kwa miaka 8 walihubiri na walituaminisha kuwa Lowasa ni mwizi na fisadi leo kipo wapi?
Sihitaji ushabiki hapa, nami pia nahoji PhD ya waziri wa sheria na katiba, hivi kweli wakati anatoa mwongozo zidi ya wabunge wanaotoka bungeni wakati bunge likiwa linaongozwa na NS kulipwa mishahara na posho....hivi alitoa mwongozo bila kusoma kanuni za bunge? Nahisi hata NS alimshangaa maana wakati akijibu huo mwongozo msomi wetu wa sheria na PhD holder alionekana kama hakuwa anajua kuwa kanuni za bunge hazisemi hayo alokuwa akiyataka.Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
kubali ukatae Dr Slaa alinunuliwa na pesa ya NIDA na marehemu Gadafi toka kwa Membe, madalali wa Dili walikuwa January Makamba na Nape ambao hawana PhD , wewe ndiyo Umekariri habari za vijiweni na Usomi wako kama Jesca, mbona mkiwa bungeni mnamtumia kibajaji darasa la saba? Kwa taarifa yako wabunge wengi wa ccm wamechukizwa na Kauli ya Mwakyembe maana ni kama amewatukana kijanja.[/QUO Kwa akili hizo mtaendelea kuwa nyumbu tu maana hakuna namna sasa