Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mbona watu kama Profesa Baregu, na hata Dr.Slaa ni wasomi waliobobea na walileta mabadiliko chanya na ambayo hadi leo tunaona matunda yake
Dr Slaa naye Taaluma yake huenda ni Feki maana kwa mtu anayejinadi ni msomi asingeweza kurubuniwa na Div 4 Nape na Div zero January makamba akaukacha upinzani kwa visingizio vya kufundishwa na Mwakyembe mmiliki wa PhD feki.
 
Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Unajua maana ya hip hop au unalopoka tu!?!?
 
Dr Slaa naye Taaluma yake huenda ni Feki maana kwa mtu anayejinadi ni msomi asingeweza kurubuniwa na Div 4 Nape na Div zero January makamba akaukacha upinzani kwa visingizio vya kufundishwa na Mwakyembe mmiliki wa PhD feki.
Acha kuongelea maneno ya vijiweni kwani huko kila anayekwenda kinyume na Mbowe hugeuka msaliti..Yule mzee Slaa alikuwa na msimamo hakutaka kuwa kigeugeu leo mtu unamtangaza kwenye list of shame mnatembea nchi nzhima kumnadi ni fisadi but from nowhere analetwa kwenu kwa njia za panya awe mgombea unadhani msomi gani makini angekubali upuuzi huo kama si wewe na Sugu mlioishia form two..Hata class mate wangu Mnyika hakukubaliana nao..ila njaa tu inamsumbua
 
Things are changing too fast, Ni zaidi ya Mwendokasi, What matter is the content of the character that will determine your destiny, Sugu yupo Vizuri sana, Me namsikiliza sana Sugu, Yuko Poa sana. Siyo Mbunge wa Jimbo langu, Lakini Sugu ni Moja ya Watu wanaongea Facts sana Bungeni. Elimu haina maana kama haijakusaidia kutawala Mazingira na kutafuta ufumbuzi, Men Lies, Women Lies, But Number Do not Lie. Keep watching
 
sijaona hoja uliyojenga hapa zaidi ya kutaja majina..tukisema wasomi hatumaanishi phd..sasa unaambiwa msigwa kaishia form four,Sugu alikimbia form two..n.k hao kina Makamba na Nape walijiendeleza hadi wakafikia ngazi ya Masters
January alijiendeleza ili apate mbinu ya kupiga pesa za ccm Kipindi cha kampeni alipiga billion 1.7 za kampeni hadi Magufuli akapagawa na kuapa kutomteua kuwa Waziri, sasa hiyo ndiyo faida ya usomi ccm? January sasa Dili la sukari kalikamata, mzungu mtaliano alipgwa dola million 1, mladi wa mararia alimpiga Sugu, hao ndiyo Wasomi unaowataka? Nape kule TBC pesa ya kulipia Live ilikuwa haifiki TBC inapigwa juu kwa juu, Chenji ya pesa zilizosalia toka china Kipindi cha kapeni, pesa za NIDA na marehemu Gadafi toka kwa membe ndizo zilitumika kuchakachua matokeo hadi akawa Mbunge huo ndiyo Usomi unautaka? Wanaojiita Wasomi huko ccm wengi ni shiiiiiiiida .
 
Acha kuongelea maneno ya vijiweni kwani huko kila anayekwenda kinyume na Mbowe hugeuka msaliti..Yule mzee Slaa alikuwa na msimamo hakutaka kuwa kigeugeu leo mtu unamtangaza kwenye list of shame mnatembea nchi nzhima kumnadi ni fisadi but from nowhere analetwa kwenu kwa njia za panya awe mgombea unadhani msomi gani makini angekubali upuuzi huo kama si wewe na Sugu mlioishia form two..Hata class mate wangu Mnyika hakukubaliana nao..ila njaa tu inamsumbua
kubali ukatae Dr Slaa alinunuliwa na pesa ya NIDA na marehemu Gadafi toka kwa Membe, madalali wa Dili walikuwa January Makamba na Nape ambao hawana PhD , wewe ndiyo Umekariri habari za vijiweni na Usomi wako kama Jesca, mbona mkiwa bungeni mnamtumia kibajaji darasa la saba? Kwa taarifa yako wabunge wengi wa ccm wamechukizwa na Kauli ya Mwakyembe maana ni kama amewatukana kijanja.
 
Phd holder,kaifanyia nini nchi hii,madudu yote ya ukiukaji wa katiba nchi hii mwakyembe anashangilia tu,wasomi kama mwakyembe nchi hii ni chanzo cha umaskin
 
Akilishwa tena ile shisha kali atapoa tu....naona hajaisoma namba huko ccm.
 
Phd holder,kaifanyia nini nchi hii,madudu yote ya ukiukaji wa katiba nchi hii mwakyembe anashangilia tu,wasomi kama mwakyembe nchi hii ni chanzo cha umaskin
Mwakyembe ni liability.
 
Mwakymbe amewatukana wabunge wa ccm kijanja inabidi awaombe msamaha kinyume na hapo itahesabika bila PhD ccm huwezi kujenga hoja bungeni ukasikilizwa na Mwakyembe.
 
Huyu naye tangu apigwe ile sumu kawa mcharuko kama sepetunga....kiki zake haziuzi kama mwenzie sita na kilango
 
Huyu naye tangu apigwe ile sumu kawa mcharuko kama sepetunga....kiki zake haziuzi kama mwenzie sita na kilango
 
Ujasoma na bado upo na CHADEMA, Yethu kangu utakuwa Kihiyo zaidi.
Wasomi hawasusi zinapoletwa hoja mzito, Wasomi hawafanyi Fujo ili kushinikiza hoja zao, Wasomi hawashirikiani na Wahujumu uchumi kudhoofisha maendeleo ya nchi yao au hata kufurahia vikwazo vitakavyoyumbisha kiasi ukuaji wa uchumi wa nchi yao kusudi wapate kuaminika chaguzi za usoni.
Mtihani mwema
Nimegundua kitu una matatizo ya kufwatili mambo
Hivi kama unafwatilia kinachoendelea Dodoma huwezi kusema hizi pumba humu Maana nakuona huna tofauti na yule anaesikia uchungu

Au umepiga kitwanga
 
Nafikiri tatizo kubwa sio Elimu kwani Nchi yetu inatatizo la wasomi sugu anaongelea ni dhuruma inayofanywa na hao wasomi wenzio mfano chenge tabaijuka abdalah zombe shukuru kawambwa nape nauye ndio wasomi wenu miaka 50 pamoja na hzo Elimu zenu mmetufikisha wapi kifupi watanzania wamechoka kufanywa malofa
 
Huyu Dr msomi wa sheria sijaona point aliyoongea zaidi ya maneno ya kejeli na majivuno!
Sijui kibajaji anawapa nini hawa wasomi..maana wamekuwa kama yeye
 
msomi alafu unakuwa mnafiki kama Mwakyembe!!bora niendelee kuwa kilaza maisha ,mtaaluma hadanganyi,hanunuliki lakini huyu ni muongo aliepitiliza kuanzia kwenye katiba mpaka ripoti ya richmond..!!ni Tanzania pekee duniani inawasomi ambao hawajatokwa na ujinga kichwani hasa wafuasi na wasomi walio ndani ya ccm
 
"Mzee wa ukurutu"
Hivi ile polonia nini sijui huwa haishambulii medulla oblangata???
 
Back
Top Bottom