Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Huyu Dr msomi wa sheria sijaona point aliyoongea zaidi ya maneno ya kejeli na majivuno!
Sijui kibajaji anawapa nini hawa wasomi..maana wamekuwa kama yeye
Mkuu kwa sasa Kibajaji ni mwalimu wa siasa ccm kila jioni huongia tuition kufundishwa mipasho wale wanaojiita Wasomi ccm wote hawana sauti mbele mkuu wa kitengo cha kubwabwaja Livingston Lusinde. Wasomi wa ccm wao husomea ufisadi tu lakini jukwaani kibajaji amesomea kupitia Elimu Dunia ambayo hailipiwi Ada .
 
msomi alafu unakuwa mnafiki kama Mwakyembe!!bora niendelee kuwa kilaza maisha ,mtaaluma hadanganyi,hanunuliki lakini huyu ni muongo aliepitiliza kuanzia kwenye katiba mpaka ripoti ya richmond..!!ni Tanzania pekee duniani inawasomi ambao hawajatokwa na ujinga kichwani hasa wafuasi na wasomi walio ndani ya ccm
PhD ya Mwakyembe ni Feki kama mabehewa feki aliyonunua.
 
Nafikiri tatizo kubwa sio Elimu kwani Nchi yetu inatatizo la wasomi sugu anaongelea ni dhuruma inayofanywa na hao wasomi wenzio mfano chenge tabaijuka abdalah zombe shukuru kawambwa nape nauye ndio wasomi wenu miaka 50 pamoja na hzo Elimu zenu mmetufikisha wapi kifupi watanzania wamechoka kufanywa malofa
Shukuru kawambwa alipiga pesa za Chenji ya Rada Wasomi wa ccm ni shiiiiiiiida.
 
Mkuu kwa sasa Kibajaji ni mwalimu wa siasa ccm kila jioni huongia tuition kufundishwa mipasho wale wanaojiita Wasomi ccm wote hawana sauti mbele mkuu wa kitengo cha kubwabwaja Livingston Lusinde. Wasomi wa ccm wao husomea ufisadi tu lakini jukwaani kibajaji amesomea kupitia Elimu Dunia ambayo hailipiwi Ada .
Huyu kijana ametuharibia wasomi..Dr mwakyembe sio mtu wa kutia mipasho kiasi hiki!!
 
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!


anaweza asimalize shule lakini akajua phd inapatikana vipi, sio kila kitu usome ndo ujue, haya msemaji wenu wa chama chenu cha kijani mbona anajua kusema na yeye alipataje matokeo yake ya kidato cha 4,
 
kawalizaje sasa hao chadema, anatafuta kick na yeye, kang'ang'ania mshahara wakatwe, posho wanyimwe wamemkalia kimya tu, amfate dr. mihogo kama alivyomfata pale serena, waanza kutukana tena
 
Elimu za wapinzani ni ndogo....
Kama ndogo mbona wanaojiita Wasomi ndiyo Wezi wakubwa? Mbona kutwa wanabuni mbinu za kuwadhoofisha upinzani, kama ccm ni Wasomi waende wakanunue mabehewa mapya maana mwenye PhD kanunua mabovu hata kivuko chakavu cha 1978 kilinunuliwa kwa billion 8 na hao hao wanaojiita Wasomi
 
Kama ndogo mbona wanaojiita Wasomi ndiyo Wezi wakubwa? Mbona kutwa wanabuni mbinu za kuwadhoofisha upinzani, kama ccm ni Wasomi waende wakanunue mabehewa mapya maana mwenye PhD kanunua mabovu hata kivuko chakavu cha 1978 kilinunuliwa kwa billion 8 na hao hao wanaojiita Wasomi
Waambie warud shule..
 
Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Sugu amekuwa akichaguliwa ama kukubalika na wananchi wengi sio kwa kuwa ni mwana hip hop, bali ni mpambanaji na mpigania wanyonge pia nimhangaikaji sana. Hiyo hip hop anaifanya kwa ajili ya kupeleka ujumbe katika jamii kwa kile anachokiamini ama kukitea, rejea nyimbo zake nyingi utajua Sugu ni mtu wa namna gani. Si sawa kumlinganisha na akina wema sepetu na kardashian unamkosea sana, pia kumbuka kuwa wananchi wanaopigia upinzani wanauwezo mkubwa sana kufikiri na kupambanua mambo kuliko wale wanaounga mkono ccm, ukitaka kujua hilo chukua mpiga kura wa ccm na waupinzani uwahoji kuhusu mustakabali wa taifa hili.utaona wa upande wa ccm ni bure kabisa
 
Lusinde ni daraja la saba lakini ni mjanja Kuliko Mwakyembe ambaye anajiita msomi wakati kichwani hana Taaluma anamiliki vyeti vya Kugushi na kununua.

Kama chuo ulichosoma ni rahis kugushi na kununua vyeti hongera zako
 
Another episode from Dr.Kilaza.Eti anajifanya msomi kwa kudiscuss watu badala ya issues.Anajiona mjanja kumbe anajidhalilisha.Bado safari ndefu tunayo.

Kama Dr Mwakyembe ni Dr kilaza, nani sio Dr kilaza?
 
Mwache atafute kiki kama yule mrembo kupitia Sugu..Yeye ni waziri wa katiba na shria halafu analalamika kuhisu udhaifu wa katiba na sheria zilizopo..Serikali ya viwanda inasubiri kuzalisha katiba pia..

Dah. Kuwa waziri wa katiba na sheria kuanzia mwaka jana mwishon ina maanisha yeye ndio aliyeweka huo udhaifu? Au ina maanisha katika kipindi hicho Ilikuwa awe amerekebisha mapungufu yote?

Humu jamii forums kuna watu full vituko
 
Elimu kubwa zimelifanyia nini Taifa?

Unataka mchanganuo wa kulinganisha manufaa ya Elimu kubwa na ndogo katika nchi hii?

Nimeshaanza kujua. Hata tukimpata Rais bora kuliko wote hatutokaa tuendelee kama nchi kwa akili za aina hii

Magufuli ana kazi kubwa sana
 
Back
Top Bottom