Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,710
Mwakyembe anamwogopa Sugu kufa kupona..! Kyela alishaikosa, CCM walimbeba tu, CDM walishinda Kyela.. sbb Sugu alipiga kampeni balaa kule, Dr. Mwakyembe pamoja na PhD yake, hamwezi kabisa Sugu jukwani...
Ndio tumuulize kama Sugu shule hakumaliza KWNN ANAMHOFIA HIVYO..? na anamgwaya Sugu sana kwann kama hajasoma..? hadi hapo kachemsha..!!
Ndio tumuulize kama Sugu shule hakumaliza KWNN ANAMHOFIA HIVYO..? na anamgwaya Sugu sana kwann kama hajasoma..? hadi hapo kachemsha..!!