Silly
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 569
- 180
unamaanisha mke wa Sioi au..Aliyezusha ujinga huo itakuwa mtoto wa EL!
unamaanisha mke wa Sioi au..Aliyezusha ujinga huo itakuwa mtoto wa EL!
Fredy Lowassa?!
Mmmmmm....... Mimi cielewiii, ukiwa na mali zote hzo kwa nini ung'ang'anie kutaka madaraka???? Mtauana nyie magambaaaaa nyambafuuuuu zenuuuu!!!!!
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
Wazeew wa Kyela wameishia wapi na Safari yao ya ikulu au ndo imeahirishwa tena?
Jitu lenye uchu wa madaraka kama Mwakyembe aache ulaji wakati Ripoti ya kisanii ya Richmondi ilijaa visasi vya kuukosa uwaziri mkuu swahiba wake Samuel Sitta!!....
Habari zilizotangazwa na TBC1 zinasema Dr Mwakyembe amerudi nchini leo
na jumatatu ataanza kazi rasmi na ndipo ataongea na waandishi wa habari. Afya yake yaelezwa kuwa imeimarika sana.
Your hatred for Mwakyembe should be between you and him. I am one of those who sympathise with Mwakyembe. Whatever the case personal health problem is no match to incomplete report especially when the health problems are man made, Unless you are responsible for his health problem, YOU NEED TO APOLOGISE TO US FOR YOUR GENERALISATION.
Huwa zina mtizamo gani post zangu? Hebu funguka zaidi ili ueleweke. Hii ni JF WHERE WE DARE TO SPEAK OPENLY, sasa sijui wewe unaficha kwa manufaa ya nani!.Mkuu, post za jamaa huwa zinaniacha hoi sana, maana always zina mtizamo fulani hivi. Fuatilia kwa karibu
Ni matumaini yangu yangu anapata unafuu siku kwa siku.
aripoti kazini wapi? ngozi imejikunya mpaka inambana halafu unasema eti ataripoti kazini!!! hebu tupisheni hapa
Mwenye uchu wa madaraka ni Mwakyembe na hata kama Lowasa anao uchu wa madaraka vilevile lakini alishaonesha kwamba anao ushujaa wa kuutema ulaji, sasa huyu Mwakyembe karibu mwaka mzima anaumwa ni kwa nini asingejiuzuru huo unaibu waziri ili aangalie afya yake vizuri? unadhani ni busara kazi kusimama kwa sababu yake?Mwanyembe or Lowassa???
Just thinking aloud.
Kigogo
Hivi wewe ni binadamu? au robot? Hujafa hujaumbika
mwakyembe na kamati yake ya richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma mwakyembe, shame on them. Ingekuwa china mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.