Mchome ray
Member
- Feb 22, 2012
- 13
- 1
Jamaa kwa kauli yake namfanansha na wale wabunge masaburi aliosema wanafikiri kwa kutumia .......huwez mkashifu mtu,kama huamin alyo ya sema unge mpotezea na sio kumtukana sjapenda.
Hizi ni hisia za mtu ambaye daima ni pessimistic when it comes to good news juu ya Mwakyembe!Acha kupima upepo! Nikikutukana utaanza kulalamika. Tumeshaukataa huu upumbavu wa kupost taarifa zisizo na source!
['-\
'
Chu Wamukhafia ndende mbuyane, nimesikia ITV kwenye taarifa ya habari msemaji wa familia akisema kuwa mh afya yake ni njema kabisa
Kwa mtaji huu wana jf tutafka kweli?wanatumia watu tofauti kiumri,kifikira,kiuchumi na mengineyo sasa pale mtu anapo tumia kama huyu jamaa haleti maana.nasubutu kusema labda wanabifu hawa na kama ndo hvyo basi hapa sio sehemu yake.mungi mwombe ndugu radhi kwan alicho kisema n kwel na kwenye taarfa za habary karb television zote zme onyesha mwanafamilia akielezea urejeo wa mwakiembe.jambo hl allo fanya ndungu lmenchefua.
"Dk. Anasema kwa sasa ukimuona utashangaa maana amepata nafuu ajabu."
Praise the Lord!
aripoti kazini wapi? ngozi imejikunya mpaka inambana halafu unasema eti ataripoti kazini!!! hebu tupisheni hapa
Shame on you and your blind support for the greatest fisadi our country has ever had. Shame on you!Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
hakuna matusi acha kulalama wewe! Siku zingine tumia akili unapotoa taarifa, siyo unakimbilia kupost habari zisizo na source. Mimi huwa mstaarabu sana, lakini siyo mnyonge kusema. Narudia tena kuwa hii ni Jf, lazima upost taarifa zako kama Great Thinker, Jf siyo facebook kuwa makini IFAGHAA. Sorry for inconvenience caused! Kuna thread asubuhi iliyomhusu Mwakyembe ilisababisha kidogo nitupe simu kwenye mtaro, nikadhani na wewe ni wale wale!
Kakojoe ulale naona umevimbiwa.Shame on you and your blind support for the greatest fisadi our country has ever had. Shame on you!
Kwani akisambaratishwa wewe utapungukiwa nini? zaidi ya kupunguza idadi ya wanafiki nchini!Nadhani ni aibu kwa waliotaka kuisambaratisha roho yake
Wakati mwingine ukisoma post za baadhi ya wanajf unafurahi kuwa huyu ni great thinker. Akija na ***** mwingine unaona kuwa huyu anaukichaa wa vipindi. Hivi wana jf niulize, mtu akitoa source ya habari does it make that habari credible? Maana chorus ya source imezidi mno. Mimi ninachojua soure of information can be any thing including mleta mada mwenyewe. Sasa tusitumie neno hili ku-derogate wengine.hakuna matusi acha kulalama wewe! Siku zingine tumia akili unapotoa taarifa, siyo unakimbilia kupost habari zisizo na source. Mimi huwa mstaarabu sana, lakini siyo mnyonge kusema. Narudia tena kuwa hii ni Jf, lazima upost taarifa zako kama Great Thinker, Jf siyo facebook kuwa makini IFAGHAA. Sorry for inconvenience caused! Kuna thread asubuhi iliyomhusu Mwakyembe ilisababisha kidogo nitupe simu kwenye mtaro, nikadhani na wewe ni wale wale!
Kwani akisambaratishwa wewe utapungukiwa nini? zaidi ya kupunguza idadi ya wanafiki nchini!
Mwakyembe ni MNAFIKI MKUBWA, HANA TIJA KWA TAIFA LETU.
aripoti kazini wapi? Ngozi imejikunya mpaka inambana halafu unasema eti ataripoti kazini!!! Hebu tupisheni hapa
Halisi asante kwa hili, wito kwa wana jf wa zamani, irudisheni ile jf tuliyoikuta enzi hizo na ndio jf baadhi yetu tuliojiunga nayo!.