Mwakyembe arejea nchini; afya yake yaimarika

msemaji wa familia ya mh.mwakyembe,victor mwambalaswa amekanusha uvumi uliokuwa umeenea kuwa mbunge wa kyela mh.mwakyembe amefariki dunia leo!na amesema hao ni wabaya wake ndio wanaoneza hizo habari.mheshimiwa anaendelea vizuri na j3 ,anaweza kuripoti kazini.source.radio one.

Hivi ni nani alikuwa amehusika kumwalika Rostam wakati alipoenda kuichangia Kwaya pale KKKT Kinondoni mara baada ya taarifa ya Richmond Kusomwa Bungeni
 
Je yale mapendekezo ya kamati na maamuzi ya bunge yalifanyiwa kazi????
mwakyembe na kamati yake ya richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma mwakyembe, shame on them. Ingekuwa china mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.
 
Mwakyembe na kamati yake ya Richmond waliteketeza million 400 za wanyonge watanzania katika kufanya uchunguzi wa Richmond. Mwisho wa siku wakatuletea report nusu[incomplete??] kuhusu Richmond. Leo hii kuna watanzania wanamuonea huruma Mwakyembe, shame on them. Ingekuwa China Mwakyembe angekuwa ameshanyongwa kwa unafiki wake.

mwakyembe alificha baadhi ya mambo hakuanika ukweli wrote.lakini magazeti ya uingereza yalianika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom