Naomba nikusahihishe ili kuondoa upotoshaji. Mwakyembe hajatamka: "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums", bali ametamka:
"...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema. Vinginevyo Dr. Mwakyembe ni dhahiri anaheshimu sana JF kama chombo cha habari na hii ilidhihirika wakati ule anaugua.
Mkuu mbona unakomaa sana kutetea kauli ya Mwakyembe. Kuna uzi umemwaga mboga kuhusu hii issue fuatilia ili ujue JF chanzo cha uhakika au kanjanja.
Mwakyembe aombe radhi kwakosa lipi? Jf imefilisika hoja nimajungu,uzandiki,nachuki hakuna chamaana huku nikuchafua watt tu! Jf hainamuelekeo wala dira watu wakiwa nachuki zao wanakuja kuchafuana jf. Kwasasa jf haina mvuto inadharaurika sana
Wacha kumzulia mheshimiwa Wenje! yeye akiuliza swali kwa kumtaka Mwakyembe atolee ufafanuzi wa kauri iliyotolewa na kambi rasimi ya upinzani bungeni juu ya bandari ya Mtwara, Mwakyembe kwa nia ya kutaka kuidharirisha hotuba ya upinzani ndio akaja na kauri ya kifedhuri kuwa hiyo ndio tatizo la kutegemea sana data za JF. Sasa hapo mvivu ni nani, kama sio yeye Mwakyembe kushindwa kufuatilia ukweli wa wapinzani. Wapinzani wanataarifa na ushahidi wa kutosha juu biashara hiyo haramu na ilisha semwa kwenye vikao vya bunge wakati yeye Mwakyembe akiwa ananyonyoka nywele kule India.Hiyo bahari ya batter trade waliyopendekeza wachina waliotaka kujenga terminal three alishaisema Zitto tangu kikao cha April ndio zikafika hapa JF. Wenjer na yeye amekuwa mvivu tu wa kuuliza vema swali lake
Nilikuwa nasikiliza bunge leo siku nzima na hivyo ndivyo nilivyosikia; nacho ongelea hapa ni kauli yake kwa Mh. Wenje na sio kitu kingine. Masuala mengine yanayozungumziwa humu yanasimama kama yalivyo.
Agreed with you 100%.Alichosema ni kwamba "...hilo ndio tatizo la kutegemea sana JamiiForums"; binafsi sioni ubaya wa kauli hii kwani mbali ya kupata habari JF au chanzo kingine chochote, ni vizuri to verify na vyanzo vingine kabla haujawa na uhakika na unachokisema.
Mchambuzi,
..tatizo ni DHARAU za Mwakyembe.
..mfuatilie vizuri utakubaliana na haya ninayoyasema.
Pia ana self-esteem kiwango ambacho ni unreasonable, au tuseme pride iliyopitiliza. Wanaolijadili hilo huku mitaani wanasema ni kawaida ya wanyakyusa, so I don't know.
Ni mara ngapi?na ni data zipi ziliwekwa jamii forum ni za uongo??
Msimsumbue bado hile sumu anayo! Msameheni.
Lakini kuna kaukweli flani. Kuna habari nyingine zinazorushwa humu ni full c.r.a.p!
ana majigambo sana.. na anapenda kushughulikia mambo madogo madogo sana.....hivi inawezekana njian abria wasichimbe dawa? kutakuwa na vyoo maalumu?
Nadhani ana self-pride iliyopitiliza. Wanaolijadili hilo huku mitaani wanasema ni kawaida ya wanyakyusa, so I don't know.
Lakini kuna kaukweli flani. Kuna habari nyingine zinazorushwa humu ni full c.r.a.p!