Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Hajui atendalo, angejua kuwa kupona kwake kuna mkono wa JF angeishukuru na kuichangia mara dufu!
Jf ndio iliyofichua njama zote za jaribio la yeye kuuawa na kila aina ya hila dhidi yake lakini leo anaiona si chochote?
Aje ajiunge huko tumpige msasa huyo!

Akijibu swali la Wenje, Mwakyembe amesema kwamba taarifa zake si za kweli, "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums."
Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi?
https://www.jamiiforums.com/interna...eased-obsolete-aircraft-for-air-tanzania.html
Akijibu swali la Wenje kuhusu kampuni ya Wallace ya Lebanon kupewa bandari ya Mtwara kama fidia inayodaiwa ATCL kwa kukodi ndege, Dr. Mwakyembe amemuasa Wenje kutofuatilia taarifa za Jamii Forums!
Ni kweli mungi, members wengine wanapindisha habari kama sio ku distortMwakyembe hajaikejeli Jf, bali kasema ukweli. Kuna baadhi ya members humu wana tabia ya kutoa taarifa za uwongo