Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Yaani wewe mwenyewe umekosea kwa kumfananisha huyo mburula mwakyembe na mzee warioba,mwakyembe hana kumbu kumbu na kitabu alichokiandika yeye mwenyewe,e huy ni dr.kweli au ni wale vihiyo???
 
Nini faida ya upinzani kama haujapinga kila kitu cha walio madarakani?
 
Huyu mwakyembe nae njaa tuu, watanganyika tujue hatuna mtetezi yeyote kati ya wale wavaa jezi za kijani, ukombozi wa mtanganyika utaletwa na watanganyika wenyewe achana na hawa ndumila kuwili ccm
 
Shule za kudesa. Hakumbuki hata alichoandika maskini. Ukiipenda ccm akili uache kwenu. Sasa ya nini kutwa dr angali alikopi na kupesti?
Sijui inakuaje tu naona mkuu ulichosema kama kina ukweli flani hivi kwamba ukiipenda ccm taaluma yako na akili yako weka kapuni. Kuna siku watakana hata majina yao hawa.
 
Nini faida ya upinzani kama haujapinga kila kitu cha walio madarakani?

Jomo Kenyatta was a Russian trained revolutionary but still chose to embrace capitalism (controversy to his fellow leaders in power post independent Africa), disliked Nkurumah's dreams to form Africa a socialist continent! Yet as of today Kenya leads the EA economically...

Let's stop supporting nepotism, lies, religion racism and black elites to form a fair ground for all to prospers. Our founding fathers were human beings and they have played their part; all being part of our history can be used as part of references to set standard to attain a qualitative goal as a nation.

#KwarohoSafi FF.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa nini? Kusema alivyo fundishwa sio sahihi, au alivyo sema Lissu anatumia sentensi badala kusoma para nzima.. Mimi naona tuwaachie wenyewe wana sheria na mwalimu wao. Manake kuna Prof Shevji kanukuliwa na mwl Mwakyembe kuhusu nukuu ya wakili Lissu.
Umesoma hicho kitabu..!?
 
Mwakyembe si alishawahi kuwabeep interahamwe? hawakumpigia bali walimtumia sms tu akaponea tundu la sindano. Yeye, Sita, Anna Kilango na mwenzao Ole Sendeka, ni wapayukaji tu kwa sasa. wamevaa ujasiri koko, lakini mioyoni mwao wamejaa hofu ya interahamwe. Usitarajie lolote la maana kutoka kwa hawa jamaa kwa sasa
 
Hii ya mwakyembe anaifanya CCM waonekane kama mazuzu..hawajui hata wanacho kitetea..kuna sumu itakua walipeana kwenye vokao..bila mikakati na kuandaa hoja madhubuti..wakiulizwa kwanini hawataki serekali 3 wanaishia kumtukana warioba na kutoa vitisho vya kuingia msituni...kama komba na lukuvi..na wakati hamna wala haja ya kuingia msituni au wapi...kuna sumu mbaya wamelishana..sijui hata kama type za kina komba, lusinde, lukuvi..wanajui historia ya muungano kuanzia tarehe 14 april 1964...historia ya mwaka 1970-72..jinsi jumbe na mawaziri wake walivyoondolewa dodoma kwenye kikao cha kamati kuu.. Jinsi sarafu ya zanzibar ilivyofutwa... Na sijui kama wanasoma articles na paper na vitabu mbali mbali..kuhusu huo muungano..zaidi ya sumu na vitisho walivyopeana.. Kwenye vikao..sijui kama wanajua kwa undani msimamo wa zanzibar kuhusu muungano..? Maana wazanzibar wamegawanyika lakini si nusu kwa nusu ni 85%kwa 20% kati wa wasiotaka serekali mbili dhodi ya wanaotaka...vijana wa ccm na wabunge wao hawajui hili swala vzr( wengi hawasomi na kuresarch).. Wanaliendesha kwa jazba, mihemko ya kisiasa na mkumbo...so watashindwa kama walivyoshindwa hatua za awali za katiba..maana walijaribu kukataa katiba ikashindikana, wakachakachua sheria ya kuunda tume ikala kwao, wakachakachu mabaraza ya katiba ikashindikana...tatizo mihemko, jazba , mipasho, kelele, bila kutuliza akili chini...CCM haina aliyetulia chini..watu wenyewe kina shonza, mwampamba ndo wanawategemea wanakaa lumumba pale wanadanganyana...watu wa kuwasaidia km.. Butiku, salimu, warioba,mkapa sasa hivi wanawaona kama wapinzani(ukawa)...wanawatulana ndani ya bunge..tena na watu kama lusinde na komba..!!!!
 
Acha unafki wewe..ingia utube tafuta semina ya mzee moyo na akina nahodha na jussa ndo utajua nini unatetea..mnafki anawekwa daraja la chini kabisa la moto..

Nini faida ya upinzani kama haujapinga kila kitu cha walio madarakani?
 
Back
Top Bottom