Jomo Kenyatta was a Russian trained revolutionary but still chose to embrace capitalism (controversy to his fellow leaders in power post independent Africa), disliked Nkurumah's dreams to form Africa a socialist continent! Yet as of today Kenya leads the EA economically...
Let's stop supporting nepotism, lies, religion racism and black elites to form a fair ground for all to prospers. Our founding fathers were human beings and they have played their part; all being part of our history can be used as part of references to set standard to attain a qualitative goal as a nation.
#KwarohoSafi FF.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndio maana siku zote nakuita wewe ni Ajuza kaa pembeni waachie vijana tuondolee ugoro hapaIn that case, Nyerere wa western educated and became a communist but his communism was church based, so it was acceptable by church and never once criticized by any church like the so called eastern communism, could it be the reason of his beatification?
Remember, I have opposed Nyerere since 1967 (Azimio la Arusha) to date, but I was a TANU Youth League cadre and a member of CCM since its inception. The parties he was a chairman and leader.
Shule za kudesa. Hakumbuki hata alichoandika maskini. Ukiipenda ccm akili uache kwenu. Sasa ya nini kutwa dr angali alikopi na kupesti?
Sijui inakuaje tu naona mkuu ulichosema kama kina ukweli flani hivi kwamba ukiipenda ccm taaluma yako na akili yako weka kapuni. Kuna siku watakana hata majina yao hawa.
Mkuu ni kweli Mwakyembe aliyeongea juzi si Mwakyembe ninaye mfahamu niliyesoma naye Chuo Kikuu cha Dar na pia nikiwa mmoja wa Maafisa wa Cheo cha Juu kwenye Wizara yake. Amelogwa nini? Anaongea utumbo kiasi cha kumpandisha chati Lissu? Madaraka hulevya na jamaa kalewa kweli kweli angalia Wanyakyusa sio wapumbavu watakudondosha kwa ushabiki wako wa kijinga kwa CCM. Daktari mzima unashindwa kujenga hoja unaongea kama akina mburula Asha Bakari au Captain Komba mzee wa mashairi? Acha upumbavu Mwakyembe!
Shule za kudesa. Hakumbuki hata alichoandika maskini. Ukiipenda ccm akili uache kwenu. Sasa ya nini kutwa dr angali alikopi na kupesti?
Leo nikiwa kijijini kwetu hapa Ipinda -kyela nimesikia kupitia kituo cha redio Ebony fm. kuhusu mchango wako juu ya rasimu ya katiba ukimlaumu T.lisu kuwa ni mtoto mdogo sana kwenye mambo ya sheria na kuwa amesoma mstari mmoja tu ndo kakomaa nao kukunukuu Tulivyo muelewa Lisu ijenga hoja nzito zilizobeba utetezi wa s3 kuliko ulichosema wewe Jana kama mpiga kura wako nimegundua umetoa hoja dhaifu na hukueleweka ukilinganisha na alivyo nukuu Lisu, vile vile hata hiyo speech yako ya Jana ukiambiwa uirudie hutaiweza maana ulikuwa ukibabaika na kukosa confidence tofauti na nikujuavyo na hata tukiwapima kwenye mizani Lisu anonyesha yuko juu ktk ku-refer vifungu kuliko ww, nijuavyo Mimi wewe Mwakyembe ni type za akina Warioba na Ramadhan ni aheli ungekaa kimya kuliko kutoa utetezi dhaifu kiasi kile na kwa hilo umempaisha sana Lisu tofauti na ulivyo dhani mbona kwenye mambo ya msingi unakuwa strong imekuaje leo? angalia usiwe kama nyuki ang'ang'anie kupita kwenye dirisha la kioo akiamini liko wazi kumbe ni mwanga tu mwisho hufia hapo.
Mwakyembe mahaba yammezidi kwa ccm,amesahau kua yy ni mwanataaluma .AMEJICHANGANYA.
Mwakyembe si alishawahi kuwabeep interahamwe? hawakumpigia bali walimtumia sms tu akaponea tundu la sindano. Yeye, Sita, Anna Kilango na mwenzao Ole Sendeka, ni wapayukaji tu kwa sasa. wamevaa ujasiri koko, lakini mioyoni mwao wamejaa hofu ya interahamwe. Usitarajie lolote la maana kutoka kwa hawa jamaa kwa sasa
Jomo Kenyatta was a Russian trained revolutionary but still chose to embrace capitalism (controversy to his fellow leaders in power post independent Africa), disliked Nkurumah's dreams to form Africa a socialist continent! Yet as of today Kenya leads the EA economically...
Let's stop supporting nepotism, lies, religion racism and black elites to form a fair ground for all to prospers. Our founding fathers were human beings and they have played their part; all being part of our history can be used as part of references to set standard to attain a qualitative goal as a nation.
#KwarohoSafi FF.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mwakyembe hajajua kuwa kwa kukana contents za thesis yake inaweza kupelekea University iliyompa PhD waka-revoke hiyo degree yake! Inaelekea thesis aliandikiwa
Umemtaja Asha Bakari kwa kumlinganisha na Mwakyembe imebidi nicheke sana. Yaani CCM full vituko si bora angenyamaza tuu mwisho tungesahau!
View attachment 153588
Sent from my iPad using JamiiForums
Ni nani huyo Asha Bakari?
Heheheh nyie watu mnafurahisha sana