Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Hivi tiba aliyoipata Dr.Mwakiembe iliweza kuondoa vimelea vya sumu yote mwilini? minadhani athari za ile sumu zinaanza kuonekana kwa yeye mwenyewe kujikana maandiko yake poor mwakyembe.
 
Tundu Lissu kama Mnyaturu, sina utani naye na hivyo siwezi kusema kitu kwake.

Ila Mwakyembe na mimi ni damu damu kumtania. Hapo wewe fikiri Tumbo lililomshusha Mwakyembe. Huyu Mama yake kama kweli yupo hai na alisoma kidogo, sidhani kama atakuwa anamsifu Mwanaye kwa sasa. Kyela kaliza watu wengi sana kwa ahadi na wengine hadi wakapoteza kazi kwa kuwaahidi kuwanunulia hadi magari. Mzee mmoja alipewa hadi makaratasi aweke sahihi kuwa gari linakuja..... hakukuwa na gari na wakamfukuza kazi. Aliuguwa Mzee wa watu na akaja mbio kwa Mpinzani wake kuomba Msaada na Msamaha.

Mwakyembe na usomi wake wote, uwezo wake Mkubwa wa kisomi, kakabidhi akili zake kwa Ndungay. Unajua madhara ya kumpa akili zako Mgogo? Wagogo akili pungufu sana na watakachofanya ni kujaza Pumba (Mhumba) ili uwe kama wao. Ila mwisho wa siku, inabidi uwe umebarikiwa na Mama yako kukubali akili zako zishikwe na Lusinde Kudadadeki.
Umetaja Wagogo nimemkumbuka "rafiki" yangu Le Mutuz. Mkuu Sikonge inamaana huwezi mpatia Le mutuz akili zako akushikie japo kidogo?
 
Last edited by a moderator:
Naamini Lissu ni hatari jwa wezi na waongo!!!
Sasa Mwakyembe anataka aseme maneno yale aliandikiwa na mtu na si yake?
Au Lissu alijitungia?

Nadhani Mh. Dr Mwakyembe aachane na siasa hizi za uchafu alinde heshima yake ambayo katika ccm kidogo bado tunamwona ni mtu wa maana. Akiendeleza ubishi usio na hoja kama huu, ataishusha heshima aliyonayo.

Lissu, endelea kamanda. Wewe ni jasiri maana watu kibao wameiomba hi hati hawajaoneshwa, ila Mnyika alipolianzisha umetufundisha mengi ambayo hayamo kwenye vitabu shuleni, mwishoni wakathubutu kuleta walau fake!!!

Ccm wanapenda kuogopwa wakipata vichwa vilipinda kama hungiwa na ubaridi, Lisu pasuka hakuna kuwagwaya tuna uhuru wa kuongea, sio kama wengine ni waoga wanafuata mkumbo nakuangalia masirahi yao badala ya kutetea haki za wananchi tulio waweka bungeni. shit.
 
In that case, Nyerere wa western educated and became a communist but his communism was church based, so it was acceptable by church and never once criticized by any church like the so called eastern communism, could it be the reason of his beatification?

Remember, I have opposed Nyerere since 1967 (Azimio la Arusha) to date, but I was a TANU Youth League cadre and a member of CCM since its inception. The parties he was a chairman and leader.

Ulikuwa kijana mwaka 67!? duh! kumbe una uzoefu wa kukaa na hasira dhidi ya kanisa!
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!
duh! We nawe umechoka mbaya. Mwakyembe hakujibu hoja za Lisu na iku siku ataambuka zaidi. Ile sumu haikuharibu ngozi yake. Iliharibu ubongo.
 
Nimeamini maneno ya Mchungaji Msigwa kuwa ukiwa CCM hata uwe professor michango yako ya mawazo katika jamii inakuwa haina tofauti na mtoto wa darasa la 2.

Kwa akili ya Mwakyembe ni kuwa eti kwa kuwa yeye amekuwa Dr. miaka mingi iliyopita hivyo Dr. aliyesoma miaka ya karibuni hawezi kuwa na maarifa sawa au zaidi ya Dr. wa siku nyingi kisa amesoma zamani. Eti anaamini muungano wetu bado mchanga (miaka 50) hivyo hatuwezi kuubadilisha bali tuendelee nao hata kama muungano huo hauna tija. Huyo ni Dr. ambaye he doesn't want to think outside the box to find new solutions for our problems? Sasa anaye derserve kunyang'anywa degree hapo ni nani kati ya Mwakyembe na Lissu? Walimu wa akina Albert Einstein wangekuwa na akili za Kikiritimba (Bureaucratic/Rigid) kama za hawa madaktari uchwara wa kiafrika nchi kama Marekani na nyinginezo zisingekuwa na maendeleo yanayoonekana leo katika nchi hizo.

Hawa watu design ya Mwakyembe ndiyo wamezifikisha hapa nchi za kiafrika kwa kudai nchi zetu bado ni changa (pamoja na kuwa na miaka 50 ya uhuru) wakati nchi kama Korea, Malyasia, Thailand, Brazil nk nazo zilikuwa kama TZ miaka 50 iliyopita. Kweli kuishi bara hili la watu design ya Mwakyembe (wasiotaka mabadiliko ili kukabali changamoto za umasikini) ni kama laana.
 
uyu si ndo aliyesema alishakufa sasa aogopi kufa tena??? si alisharest in peace kwa maneno aliyosema mwenyewe! lissu akijimjibu atakuwa anajibizana na mtu wa sayari nyingine!
 
In that case, Nyerere was western educated and became a communist but his communism was church based, so it was acceptable by church and never once criticized by any church like the so called eastern communism, could it be the reason of his beatification?

Remember, I have opposed Nyerere since 1967 (Azimio la Arusha) to date, but I was a TANU Youth League cadre and a member of CCM since its inception. The parties he was a chairman and leader.

That's what I was saying FF, opposing somebody is and has never proclaim to be a sin. He was a human being like any of us, I do not understand all these issues with churches being linked to him and the UJAMAA. To me, he was a leader who contributed much to both developments and setback of this country in all areas.

What are seeing right now has crossed beyond hypocrisy and greed. I never had expected to see even professionals get involved into dirty politics, and so are you, FF. Ridiculous and wrangling by CCM cadres to instil rubbish in the people should be stopped as they may lead to confrontations among ourselves!!

CCM should stop the tyranny and advocate logical arguments to convince WE the PEOPLE..
 
Ni huyu mwakyembe alieshindwa akasaidiana na Sita kuwacha wezi wa Richimond na kutubebesha wananchi gharama za umeme.hana hata huruma na wananchi mtu huyu je dactari kweli na alisoma wapi chuo kibovu hivi
 
Ni huyu mwakyembe alieshindwa akasaidiana na Sita kuwacha wezi wa Richimond na kutubebesha wananchi gharama za umeme.hana hata huruma na wananchi mtu huyu je dactari kweli na alisoma wapi chuo kibovu hivi

Kwa hiyo kumbe Mwakyembe kwa nafasi yake ya Ubunge kwa wakati huo kumbe alitakiwa awakamate wezi?
 
Ni huyu mwakyembe alieshindwa akasaidiana na Sita kuwacha wezi wa Richimond na kutubebesha wananchi gharama za umeme.hana hata huruma na wananchi mtu huyu je dactari kweli na alisoma wapi chuo kibovu hivi

..Mwakyembe alidai kwamba kuna watu wamepanga kumuua? tena watu hao wamekodisha magaidi wa al-shabab.

..baada ya hapo Mwakyembe akaja na madai kwamba amekuwa poisoned na wabaya wake ktk siasa.

..tena ilifikia Mwakyembe, Samuel Sitta, na Ana Kilango Malecela, kwenda mpaka makanisani na kutoa ushuhuda kwamba Mwakyembe amewekewa sumu.

..mimi naweza kusema kwamba Mwakyembe ana tabia za kitapeli-tapeli.

cc Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Mwakyembe ndiye ana matatizo ya kitaaluma, na huenda hata hajui alichoandika. Ingawa sikubaliani kabisa na Lissu jinsi anavyo-characterize mambo mengine, ninajua maana ya taaluma kuwa kuna views nyingi, na mara zote siwezi kusema aliye na view tofauti na yangu hastahili digrii aliyo nayo; ninaweza kuquestion kabisa credibility ya chuo alichapatia digrii hizo lakini siyo kuwa anyanganywe digrii hizo.

Iwapo Lissu hastahili digirii hiyo, ambayo imemfanya ashinde kesi nyingi sana mahakamani, basi waliomfundisha na kumpa digrii hiyo ndio sifuri kabisa, wanatakiwa kwanza wafutiwe digrii zao ndipo tuanze kuangalia digrii za wanafunzi wao.
 
Mwakyembe nae akili zake katia mfukoni.... Sasa anatumia hoja mufilisi za CCM.... Huo ni ugonjwa unaohitaji matibabu.
 
Mwakembe kama kweli ni jasiri ajaribu kutangaza nia ya kugombea urais,ajue kwamba safari hii hawatafanya kosa

sasaaa hiyo kauli ya maalim sefu ndio inasema serikali tatu NO? kwahiyo yy anataka serikali 2? acha kuburuza watu wewe mburula.
nyinyi mnaosema lazima serikali mbili ndio mtakao vunja muungano wakati itakapo ingia serikali ya tatu ambayo ndio mwiba wenu mkuu. kuimarisha muungano ni kwa srikali tatu. yaani:
1. SERIKALI YA MUUNGANO. NDIO ITAKUWA NA RAIS WA NCHI
2. SERIKALI YA TANGANYIKA ITAONGOZWA NA MAKAMU/AU WAZIRI MKUU BARA NA NDIE ATAKUWA MKUU WA HIYO SERIKALI
3.SERIKALI YA ZANZIBAR ITAONGOZWA NA MAKAMU/AU WAZIRI MKUU ZANZIBAR NA NDIE ATAKUWA MKUU WA HIYO SERIKALI, HAWA WOTE WATAWAJIBIKA KWA RAIS AMBAE NDIE MKUU WA NCHI.
KAMA HUTAKI HIVI BASI KAVUNJE MUUNGANO WAKO NA HIYO SERIKALI 2.
 
Kaka Kichuguu,
Nilimsikia Msomi mmoja akimsifu sana Tundu Lissu. Alisema waziwazi kuwa atamshukuru Tundu Lissu milele kwa ukorofi wake. Hati ya Muungano ilishaombwa miaka mingi sana na watu wa aina mbalimbali lakini ilikuwa haipatikani. Kila juhudi za kuiona ziligonga mwamba na Serikali kuendelea kunyamaza.

Jaji Warioba na kundi lake walipokuwa wakikusanya maoni ya katiba mpya, nao waliomba waonyeshwe ila wakashindwa. Ila akaja Mwana harakati Lissu, akawachokoza kwa makusudi na kuwagusa pale panapouma sana na maajabu yakatokea. Hati ambayo hadi UN walishaomba wapelekewe ila nao wakagonga mwamba, ghafla ikasemwa kesho yake itaonyeshwa. Kesho yake kweli ikaletwa imechokachoka kidogo.

Haijulikani kama ni Feki au ya kweli ila walau ipo. Kuna habari zinasema kuwa kuna makaratasi mengi muhimu ya nchi ambayo pale Ikulu yanatupwatupwa ovyo. Yaani huwezi kuamini kuwa wanashindwa kuyatunza ya kuyaweka kwenye hali nzuri yasiharibike. Hii document pia inawezekana kabisa ilikuwa imetupwa sehemu na hakuna aliyejali ipo wapi na wala hamu ya kuitafuta haikuwepo.

Sasa kama Tundu Lissu kaula mfupa walioshindwa Majaji kibao kuula yaani Warioba, Nyalali, Kisanga, Ramadhani nk, sijui tusemeje kwa mtu huyu. Hapa aliyesoma sheria ni nani? Yaani hao Wazee walijitahidi kutumia elimu yao na hadhi yao wakashindwa. Akaja Tundu Lissu kwa siku moja tu akamwaga cheche Bungeni na karatasi ikapatikana.
Mwakyembe ndiye ana matatizo ya kitaaluma, na huenda hata hajui alichoandika. Ingawa sikubaliani kabisa na Lissu jinsi anavyo-characterize mambo mengine, ninajua maana ya taaluma kuwa kuna views nyingi, na mara zote siwezi kusema aliye na view tofauti na yangu hastahili digrii aliyo nayo; ninaweza kuquestion kabisa credibility ya chuo alichapatia digrii hizo lakini siyo kuwa anyanganywe digrii hizo.

Iwapo Lissu hastahili digirii hiyo, ambayo imemfanya ashinde kesi nyingi sana mahakamani, basi waliomfundisha na kumpa digrii hiyo ndio sifuri kabisa, wanatakiwa kwanza wafutiwe digrii zao ndipo tuanze kuangalia digrii za wanafunzi wao.
 
Back
Top Bottom