Mwakyembe amechoka, apumzishwe!

Ningumu Sana mtu mnafiki kufanikiwa...alimnafikia Sana EL na kumezea wengine!! Roho ya kushindwa itamuelemea yy nahata vizazi vyatatu na nne. Hiyo Ni sheria ya maisha,aombe radhi maana EL anamsalia sirini
 
Kuna wakati mtu anaweza kutoa kauli fulani isiyotegemewa ukabaki unajiuliza kuwa huyo mtu hadi kufikia kutoa kauli hiyo anaumwa au? Na kama haumwi labda huko nyuma aliwahi kuumwa na kuathirika kisaikolojia. Ukifikiria hayo kinachofuata ni kumsamehe bure.
 
Mabehewa FAKE???
 
Ukijumlisha na zile kule juu JUMLA 10 BILA..afadhali arsenal alipata moja
 
ile dholuba ukichanganya na umli hakili itakua imepata mushkeli kidoogo!
ni kweli kuna umuhimu wa kupumnzishwa akalee wajukuu.maana anakoendea hakutamfaa.
 
Akili ya mwakyembe sasa naona imejaa bacteria na viruses
 
Ha ha haaaaaaa aiseee

Mkuu nimecheka sana
 
Malisa ameconclude vibaya, asingeweka mambo ya bashite.

Ila kwa mwakembe hata mimi nilibaki nimeshika kichwa, mhadhiri wa sheria, mtanzania anayeijua jiografia yetu na utamaduni wetu, waziri wa sheria na mwanasheria nguli anakuwa hivyo? Klap
 
Kuna mtu aliwahi kusema ukitaka akili yako ipukutike kichwani jiunge na chama cha Tuliya Akisoni.
 
Alitaka kugombea urais 2015 akashindwa. Huyu ni mzee wa kushindwa.
 
Ndio maana Magufuri anang'ang'ana na akina Makonda ambao wana afadhali kiutendaji japo wana kasoro zingine. Atabaki na akina nani wa kumsaidia kazi!!!!!!...Magufuri Mungu akusaidie sana, mm na ndg zangu tunakuombea kila wakati
 
Huyu nilimpuuza kabisa tangu wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Huyu mzee hamna kitu kabisa. Utafikiri kaibiwa elimu na mawazo. Kabaki kama kopo kopo fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…