bado anatikisa watakaojisalimisha watapona
tusiongee jumla jumla! Nimesema tuhuma nyingi ni mbwembwe na za kisanii, but nimeweka issue za Matema beach rest house 500m za mini? ECTN contract hadi kufoji minutes za kikao, nimesema Kuna ICD tazara, nimesema Kuna Sukita deal, Kuna ICT deals mamilioni,etc, hamjibu munatukana na kusema tu amefanikiwa!
asante, sasa anatimuaje wanne bila ya majina, kweli kila kitu kinaendeshwa kiusanii
Uombewe maana hujui utendalo. Na we kama hazikuumi ama kukuhusu, povu la mini? Kaa pembeni wasome wenye kujua ulipo uchumi wa nchi. Ninashiriki hivyo vikao na ujue sitoacha kusema japo KIPANDE NA WAZIRI WANANIPENDELEA KULIKO WENZANGU, MEZA WEMBE WEEE MAANA MIMI NINGEKUA MBINAFSI NISINGESEMA MAAMA NAPATA ULAJI KISHENZI. WATU WAMEENDA BAGAMOYO KIKAO CHA SIKU 2 ALHAMISI NA IJUMAA ULAJI POSHO YA SIKU SITA
Pole sana!! Cement itaziba wezi!! Mimi utashangaa nipo siku zote! Nenda kasome! We umeniona ktk suala la TPA tu maana hujui mambo! Wanaojua wanatafakari kwanini nimekomaa!! Wewe na wenzako munapapasa mgongo wa tembo na kusema "ukuta huu mkubwa sana" hadi mutakapokutana na meno ama mkia!
Ningekua mwizi nisingetangaza hadharani na pesa nimeshapeleka kunakohusika,we subiri joto ya jiwe ujieleze mulivyolipa malipo hewa.
wewe Tina una umri gani?? nafikiria tu uwezo wako wa kupembua mambo! Unafikiri kila anaepost hapa ni wa TPA na ana self interest na hayo makitu?? Punguza munkari ndugu
Nyie endeleeni kuiba/kula kodi zetu tu ... siku zenu zinahesabika
Baadhi ya mambo unayoyasema yanaukweli, ilasi lazima uwe wewe, ni unaowatetea. ILA umri wangu kama Wako.