Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

Tina hongera sana kwa msimamo.......inawezekana kabisa kuna ukweli wa unachosimamia........jambo la msingi ni kumwaga yale unayojua...na kuondoa anydoubt zinazofanya watu wakuone ni wale wale waliobanwa na Mwakyembe......

tell us something that we do not know........kitu gani kinaendelea TPA.........

1.Tuanze kwenye hili la kuajiri.....upi ni utaratibu sahihi......kupitia Bodi au Civil Service Commission......kama utaratibu sahihi ni kupitia Bodi.....kwa nini Civil Service Commission watoe Baraka kwa Management ya TPA ku-proceed na ku-appoint nafasi zilizotangazwa na Bodi iko kwenye process........

2. pili, Procurement ya Kampuni kutoka Belgium........

Naomba ufafanuzi kwenye masuala hayo mawili hapo juu.......
 
Last edited by a moderator:
Hii Bodi haiwezi kasi ya mabadiliko yanayohitajika Bandarini. Wafanyakazi wa Bandari walishazoea pesa za ulaghai za chap-chap ambazo Mwakyembe kaziziba. Huyu Tina ni member wa management anayejua kuwa hatapona kwenye hiyo siment kali sasa anatafuta huruma hapa JF. Bandari ilikuwa inanuka mno kwa rushwa na ufisadi kabla. Watu walikuwa miungu watu. Sasa wamepatikana kwa Mwakyembe, JEMBE ambalo Mungu kaliokoa kwenye sumu. Mwakyembe kazi mtindo mmoja achana na akina TINA ni wazandiki. TINA kama mzalendo alipokeaje masurufu ya wiki kwa kikao cha siku mbili? halafu anaendelea kukenua meno na kuleta mada ya uongo hapa! Kama mzalendo mwenye uchungu wa kweli arudishe perdiem ya siku zilizozidi. Kibaya anasema anashiriki vikao vya Bodi, what a member are you? MWIZI? Badala ya Kipande kukushughulikia wewe, sasa wewe unataka umpande Kipande, acha hizo
Hivi unajua hii bodi kaiunda Mwakyembe mwenyewe baada ya kuivunja bodi ya mwanzo kwa kisingizio kuwa haifanyi kazi na imezingirwa na uozo? Sasa mwakyembe aje atuambie kuwa alikosea kuivunja ile bodi ya kwanza na awajibike kwa kosa hilo la kutuletea bodi mbovu. Hapo nitamsifu mwakyembe kwa uwajibikaji.
 
Mwakyembe amevunja Bodi ya TPA kwa kuwaondoa wajumbe watano na kuteua wengine watano!!
 
...Board ya sasa kuwa mbaya haimaanishi kuwa board ya mwanzo ilikuwa nzuri,ni logic ndogo tu kulielewa hili...Na kama Mwakyembe ndiye kaiteua board ya sasa na kama board hiyk ni mbovu,hii ni sababu mojawapo ya Mwakyembe mwenyewe kuifuta ili kurekebisha kosa hili alilolifanya....
 
Tina , Ninatumaini umesalimika kwa sababu uko kwenye 'convert operation' na itakuwa rahisi sana kwa sasa kukufahamu kama ni katika wateule.

Keep it up lakini usisahau kuwa Dr. Mwakyembe ndiyo ameshikilia lungu la madaraka.
 
rejea vizuri katika Critical Thinking hope utaamini kuwa mwakyembe ni wa kwanza kushindwa kabla ya bodi yake hii kushindwa
 
...Ameshindwa lipi?hapana shaka kuwa toka Mwakyembe ameingia bandari imekuwa bora sasa kuliko ilivyokuwa kabla yake na kama board hii haikuwa na msaada kwenye dira yake then hakukuwa na namna bali kuitimua...
 
Mimi nadhani Rais inabidi aingilie kati swala hili la TPA,kwa sababu hadi leo hii Mwakyembe na Kipande hawajatoa na kufanya mpango mkakati wowote unaoleta tija pale TPA ili kuboresha mapato na huduma badala yake wanafanya vitu rahisi kwa kuwahadaa wananchi na kuvunja sheria tu.Baadhi ya uvunjwaji wa sheria ni kama kuforge minutes za Kikao cha Wadau ili kutekeleza mradi baina ya TPA & Wabelgium,kusign mkataba huo bila idhini ya Board,kuwapa ajira marafiki zao (nafasi tano) bila kufuata utaratibu kama nafasi za Director na Manager kwa Department of Engineering,kusema uongo kuhusu mapato ya TPA,kutokujali wateja hadi wengine kuhamia Bandari ya Mombasa na wengine kupunguza shehena ipitayo Bandari ya DSM.Kama hizi hazitoshi,wanaendelea kuwahadaa na wafanyakazi kwa kuwapandishia mshahara jana.Jiulize,why now?..kama sio kutapatapa kisiasa kwenye vitu nyeti?,kwanini tena hakufuata utaratibu?.Narejea tena usemi wangu Mwakyembe,Kipande & Magesa (NEC member wa CCM) wanaendelea kuangamiza TPA bila Taifa na wananchi kujua.
Siyo kwamba ninamchukia Mwakyembe. La hasha! Kitu ambacho sikioni kwake ni huo utendaji anaosifiwa nao? Hivi ana tofauti gani na mawaziri wengine? Ahadi alizotoa za kuhusu majina ya wainhizaji sembe wakubwa yako wapi? Huo utendaji uliotukuka wa Kipande uko wapi? Namwona kama maneno mengi na mbwembwe nyingi lakini hana tifauti kabisa na wengine. Sina lengo la kumwudhi ye yote ila naona kweli rais achukulie suala la bandari with seriousness. Mwakyembe anatafuta publicity kwa kutaka kufanya kazi mwenyewe bila consultation. He cannot make it. Labda anadhani anaweza kuongoza hata wizara zote.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Makosa ya bodi ya sasa ni kutofautiana na Mwakyembe hasa kugusa maslahi yake na amewawahi kabla ya kikao cha bodi Jumanne.

Kwanza wamebainika kupinga uhamishwaji wa pantoni kutoka bandari ya Mwanza kwenda Kyela kwa gharama ambazo zinaweza kununua mpya. Pia wamepinga kubinafsishwa ama kukodishwa kwa eneo la Nasaco depot ambalo lilikua common facility kama extension ya port ambalo serikali ilifuta open tender ya Nasaco assert na kulikabidhi eneo hilo kwa TPA, now wanataka kuwapa private. Pia bodi iliataka kuchunguza kuhusu ujenzi wa ICD eneo la Tazara area ambalo Mwakyembe na Kipande wana interest ndio maana sasa wamemuacha mtu wa Tazara ambaye anacheza kote, Tazara na TPA kwa maslahi yao, pia walihoji ICT kuwa bajeti kubwa ambayo ni unrealistic na huko ICT walitoa wote wa zamani na kumuweka Magesa ambaye wako nae.

Na kubwa ni lile bomu la Electronic Cargo Trackin Note ambalo tayari kuna ruling ya Sumatra kwamba ni ufisadi.

Sasa wanaohoji hayo badala ya kuwajibu ktk vikao unawatimua! Kwa maneno machafu kwamba ni mafisadi kama ulivyotoa bodi ya zamani ya kina Mzee Mollel na wengine na kuwaita mafisadi, leo na hawa mafisadi. Unaongeza maadui, unavuruga watu, lakini hapa mamlaka ya uteuzi ndio wenye tatizo.

Mwakyembe anathibitisha ni tatizo na Kipande akae mkao wa kula
 
No, no do not jump to conclusion kwamba watu wamekuhukumu kwa kudhani wewe ni mwanamke au la.ukweli ni kwamba watu wanaangalia madudu yaliyo kuwa yanafanywa pale TPA as if hakuna uongozi au hiyo BOARD unayoitetea na kutaka kuihalalisha uwepo wake. kumbuka Rais KAGAME amewahi kusema ile bandari angepewa yeye au serikali yake mapato yangeongezeka almost ten times! BOARD ilikuwepo na wala hawakuwahi kujiuliza kwanini Kagame aseme hivyo.Lakini pia toka Mwakyembe aingilie kati mapato ya TPA yameongezeka almst three times.Je, akifanikiwa kuziba mianya yote ya wizi na kuongeza speed ya kuondoa mizingo si mapato yataongezeka zaidi? ndio maana kila anae mchukia DR, WATU WANATUKANA YEYE KWANZA NA KUTAKIA MWAKYEMBE AFYA NJEMA ILI AZIBE KILA UOZO PALE TPA.

acha ukasuku. Unaimba nyimbo usozijua. Weka data na source. Hesabu za TPA za robo mwaka na hata nusu mwaka hazijawahi kufikia 40bn kwa mwezi but Waziri anatangaza 50bn na we unaimba. Kagame kajitoa ama kajiingiza baada ama kabla ya bodi ya zamani ama management ya zamani? Kagame kasema hayo wakati wa Mwakyembe ama wakati wa Nundu? Japo naye alikua na madudu yake. PIA, sasa bodi unajua kazi zake? Management unajua kazi zake? Other player ktk port unawajua? TRA, road transport, police, railway, meli etc Kuna tatizo ktk akili zetu waTz
 
....Haa ha ha ha,ukisikia paaa ujue imewapata. .

...Nchi hii ukiona wadau wa eneo husika kwa case hii bandari,wapo comfortable na kiongozi wa eneo hilo,ujue either hafanyi kazi yake au anakula nao, hivyo hivi vilio ni vidhibitisho kuwa Mwakyembe anapiga kazi, go Mwakyembe go...
 
Tina , Ninatumaini umesalimika kwa sababu uko kwenye 'convert operation' na itakuwa rahisi sana kwa sasa kukufahamu kama ni katika wateule.

Keep it up lakini usisahau kuwa Dr. Mwakyembe ndiyo ameshikilia lungu la madaraka.

Tina alikuwapo bodi zote,ya mwanzo, ya sasa iliyovunjwa Leo na ijayo atakuwapo. Alikuwapo wizarani kabla ya Mwakyembe, sasa na hata baada ya Mwakyembe atakuwapo. Na Kuna wakati atakua bodi nyingine. Karibu sana mkuu.
 
Tina hongera sana kwa msimamo.......inawezekana kabisa kuna ukweli wa unachosimamia........jambo la msingi ni kumwaga yale unayojua...na kuondoa anydoubt zinazofanya watu wakuone ni wale wale waliobanwa na Mwakyembe......

tell us something that we do not know........kitu gani kinaendelea TPA.........

1.Tuanze kwenye hili la kuajiri.....upi ni utaratibu sahihi......kupitia Bodi au Civil Service Commission......kama utaratibu sahihi ni kupitia Bodi.....kwa nini Civil Service Commission watoe Baraka kwa Management ya TPA ku-proceed na ku-appoint nafasi zilizotangazwa na Bodi iko kwenye process........

2. pili, Procurement ya Kampuni kutoka Belgium........

Naomba ufafanuzi kwenye masuala hayo mawili hapo juu.......

Details nitakupa kesho but ajira mpya zinachezewa, ilipendekezwa kazi ifanywe na kampuni reputable lakini Kipande na waziri wanafanya mchezo pili issue ya Belgium company Kuna ruling ya Sumatra board inayofanya kazi kama mahakama imepingana na Kipande na Mwakyembe, kesho nitairusha na walioghushi watachukuliwa hatua za kipolisi
 
Last edited by a moderator:
....Haa ha ha ha,ukisikia paaa ujue imewapata. .

...Nchi hii ukiona wadau wa eneo husika kwa case hii bandari,wapo comfortable na kiongozi wa eneo hilo,ujue either hafanyi kazi yake au anakula nao, hivyo hivi vilio ni vidhibitisho kuwa Mwakyembe anapiga kazi, go Mwakyembe go...

Jibu hoja. Hizo ngonjera ni zile zile copy and paste, hoja hazijibiwi.
 
Makosa ya bodi ya sasa ni kutofautiana na Mwakyembe hasa kugusa maslahi yake na amewawahi kabla ya kikao cha bodi Jumanne.

Kwanza wamebainika kupinga uhamishwaji wa pantoni kutoka bandari ya Mwanza kwenda Kyela kwa gharama ambazo zinaweza kununua mpya. Pia wamepinga kubinafsishwa ama kukodishwa kwa eneo la Nasaco depot ambalo lilikua common facility kama extension ya port ambalo serikali ilifuta open tender ya Nasaco assert na kulikabidhi eneo hilo kwa TPA, now wanataka kuwapa private. Pia bodi iliataka kuchunguza kuhusu ujenzi wa ICD eneo la Tazara area ambalo Mwakyembe na Kipande wana interest ndio maana sasa wamemuacha mtu wa Tazara ambaye anacheza kote, Tazara na TPA kwa maslahi yao, pia walihoji ICT kuwa bajeti kubwa ambayo ni unrealistic na huko ICT walitoa wote wa zamani na kumuweka Magesa ambaye wako nae.

Na kubwa ni lile bomu la Electronic Cargo Trackin Note ambalo tayari kuna ruling ya Sumatra kwamba ni ufisadi.

Sasa wanaohoji hayo badala ya kuwajibu ktk vikao unawatimua! Kwa maneno machafu kwamba ni mafisadi kama ulivyotoa bodi ya zamani ya kina Mzee Mollel na wengine na kuwaita mafisadi, leo na hawa mafisadi. Unaongeza maadui, unavuruga watu, lakini hapa mamlaka ya uteuzi ndio wenye tatizo.

Mwakyembe anathibitisha ni tatizo na Kipande akae mkao wa kula

Tina interest zipi uchisha mambo ueleweke!, na hii kasumba ya wabongo kwamba mtu ulimteua ww sasa kama hafai umwache kisa ulimteua?? guys sio kwamba mimi ni mtetezi wa mwakyembe lakini anafuu ya watu wote walioko ccm yaani SIO MTU WA DILI!!!!
 
Back
Top Bottom