Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

Namwamini sana Mwenyekiti wa bodi toka akiwa Dean wa CEBE pale UDSM, Hizi tunazoongea ni mbwembwe tu,
 
Kikao cha baraza la wafanyakazi kilifanyika Bagamoyo kwa siku mbili Alhamis na Ijumaa. Leo hii Jumamosi tayari Waziri ameshachukuwa mamlaka ya Bodi na kuwatangazia wafanyakazi ongezeko la uboreshaji wa maslahi kabla ya Bodi kupitia!

Hoja hapa ndiyo hii!Kiutaratibu ni kwamba uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi hujadiliwa kwenye Baraza la wafanyakazi ambalo linajumuisha chama cha wafanyakazi( DOWUTA ) pamoja na management.

Makubaliano yatokayo kwenye kikao hicho hupelekwa kwenye kikao cha Bodi kwa approval na baadaye kwa waziri mwenye dhamana kwa taarifa. Kiutaratibu ni kwamba uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi hujadiliwa kwenye Baraza la wafanyakazi ambalo linajumuisha chama cha wafanyakazi( DOWUTA ) pamoja na management. Makubaliano yatokayo kwenye kikao hicho hupelekwa kwenye kikao cha Bodi kwa approval na baadaye kwa waziri mwenye dhamana kwa taarifa.
 
huyu Tina ni hamnazo kweli

ngoja kwanza cement ikupitie mie nitamwaga maji ili ishike vizuri

it seems haujitambui
 
Last edited by a moderator:
Now you're talking!. Umetingishwa kidogo na wanaJF kwa sasa umeanza kufunguka. , it's the naked truth, you're acting as double agent kwa maslahi yako kwenye uwekezaji wa taifa kitu ambacho ni kosa kubwa sana.

Maelezo yako yanaonyesha UNAFIKI na UZANDIKI wa hali ya juu. Kama kweli unawapigania wajumbe wa bodi na taifa kama unavyodai, kwa nini huusemi ukweli kwenye bodi na kwenye uso wa Dr. Mwakyembe na badala yake uko very happy kupokea pesa za chini ya meza huku ukijifanya kwenye nyuso za kila kundi kuwa uko upande wao.

Maelezo yako yanaonekana wewe ni mwasilika wa mageuzi ndani ya bandari kwa sababu maelezo yako yanadhihilisha kuwa pesa unayopata kwa sasa ni ndogo ikilinganishwa na kipindi ambacho Dr. Mwakyembe na Kipande hawakuwepo ndiyo maana unadhani kuondoka kwa Kipande na Mwakyembe kutarejesha pesa uliyokuwa unapata mwanzoni.

I'm sorry, Unafiki ni kitu kibaya sana. Hii ni kansa kitaifa.

Wewe ndiye umenasa!! Na umenasa patamu kweli!! Hahahaaa!!! Endelea!! Kweli mimi nimenufaika sana tokea kwenye ile kamati yetu ya uchunguzi, tulikua tunalipwa 630,000 kwa siku kwa muda siku 90 na Mwenyekiti alilipwa 900,000 kwa siku na waliolipa walikua Bandari... Kwa maelekezo ya Waziri!! Na tulikua wajumbe sita na katibu,, na bado hata tulikua tunaishi Dar tulikua na chumba Southernsun USD 200 kwa siku hahahaa!! Na juzi tumelamba posho ya siku sita!!!(Angalao ingekua 3) kwa kikao cha Alhamis na Ijumaa tu!! Na sasa tumeahidiwa mambo kibao, alimradi tunamtetea Kipande!! Ndio maana nilimuonea huruma alipoanguka!! Duh! Hahahaaa!! Patamu hapa!
Wajinga ndio waliwao, hamjui nchi inavyoendeshwa! Hamjui wezi wa EPA walikamatwa vp hata mtuhumiwa mmoja alisema,"wewe utanihoji vipi wakati tulichukua wote pesa BoT?" Mchezo ukawa umeisha maana alikua ameshakiri kosa akaambiwa! "Ehee, mlikua ne!!eeeh! Mlichukuaje? Ngap? Kwa hiyo alikuwapo?" My God alipogundua kizimbani!! Na nyie haya sasa subirini museme tu mnafiki??,,, Nyerere amekufa lakini wapo watakaofanya kazi hadi wafe wote! Najua mutajitahidi kuwafuta katika historia! Bye for now!! Ndimi dada yenu kipenzi!
 
huyu Tina ni hamnazo kweli

ngoja kwanza cement ikupitie mie nitamwaga maji ili ishike vizuri

it seems haujitambui

Pole sana!! Cement itaziba wezi!! Mimi utashangaa nipo siku zote! Nenda kasome! We umeniona ktk suala la TPA tu maana hujui mambo! Wanaojua wanatafakari kwanini nimekomaa!! Wewe na wenzako munapapasa mgongo wa tembo na kusema "ukuta huu mkubwa sana" hadi mutakapokutana na meno ama mkia!
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada ni mnafiki aliyezidi kipomo! Kaniudhi sehemu Moja beyond explanation. Eti she is opposed to the idea of having a representative wa wafanyakazi kwenye bodi on flimsy grounds za mtu wa Memkwa! Go ahead wana JF, shake her a bit more! Viva Mwakyembe.

Tatizo kila mtu anajua kuandika! Bodo imeundwa juzi na kusifiwa na Mwakyembe, nenda kaangalie kumbukumbu, je wakati ule wafanyakazi hawakuwapo? Sheria na kanuni zinasemaje? Majibu mepesi kwa maswali magumu! Si vyema tukafika mahali tukatukana lakini kuna watu sasa Tanzania wanaweza hata kuharibu utu wao maana wanapenda vibaya jamani lol! Kwamba chongo ni kengeza!!!
 
ndugu Tina unaonaje kama tukiifunga kabisa Bandari yenyewe (tuache viboti vya kwenda unguja tu ) , maana zaidi ya kashfa ya meno ya Tembo sioni lingine !
 
Jaman wangugu tuachen siasa let's focus on oher thinks kama hamna cha kuongea huku mana hizo ni habar za kidaku ss hii mada inachangia nn ktk maendeleo ya taifa!!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jaman wangugu tuachen siasa let's focus on oher thinks kama hamna cha kuongea huku mana hizo ni habar za kidaku ss hii mada inachangia nn ktk maendeleo ya taifa!!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mada haichangii kitu ktk maendeleo hadi tutakapoamka usingizini na kuacha kuimba nyimbo za "Kichina" na sarakasi za wanasiasa wanaojipanga kuendelea kuchota.. Kama tutajua Itakua too late maana sioni hata dalili ya kuamka. Kama majibu yenyewe ni haya hatutaki kuutumikisha ubongo tunasaidiwa kufikiri na Sanaa za kisiasa huku pesa zinayeyuka, master plan zimetupwa. Mungu Ibariki Tanzania maana hata mm nazungumza Kichina
 
ndugu Tina unaonaje kama tukiifunga kabisa Bandari yenyewe (tuache viboti vya kwenda unguja tu ) , maana zaidi ya kashfa ya meno ya Tembo sioni lingine !

Tufunge pesa za uchaguzi zitatoka wapi? Acha tufikishe malengo, tujenge rest house Matema Beach, tununue kuwanja cha CCM bado tuingie nayo ubia kujenga ICD! Tulete kampuni y Belgium kukusanya pesa tena! Duh!
 
Mimi nadhani Rais inabidi aingilie kati swala hili la TPA,kwa sababu hadi leo hii Mwakyembe na Kipande hawajatoa na kufanya mpango mkakati wowote unaoleta tija pale TPA ili kuboresha mapato na huduma badala yake wanafanya vitu rahisi kwa kuwahadaa wananchi na kuvunja sheria tu.Baadhi ya uvunjwaji wa sheria ni kama kuforge minutes za Kikao cha Wadau ili kutekeleza mradi baina ya TPA & Wabelgium,kusign mkataba huo bila idhini ya Board,kuwapa ajira marafiki zao (nafasi tano) bila kufuata utaratibu kama nafasi za Director na Manager kwa Department of Engineering,kusema uongo kuhusu mapato ya TPA,kutokujali wateja hadi wengine kuhamia Bandari ya Mombasa na wengine kupunguza shehena ipitayo Bandari ya DSM.Kama hizi hazitoshi,wanaendelea kuwahadaa na wafanyakazi kwa kuwapandishia mshahara jana.Jiulize,why now?..kama sio kutapatapa kisiasa kwenye vitu nyeti?,kwanini tena hakufuata utaratibu?.Narejea tena usemi wangu Mwakyembe,Kipande & Magesa (NEC member wa CCM) wanaendelea kuangamiza TPA bila Taifa na wananchi kujua.
 
Tufunge pesa za uchaguzi zitatoka wapi? Acha tufikishe malengo, tujenge rest house Matema Beach, tununue kiwanja cha CCM bado tuingie nayo ubia kujenga ICD! Tulete kampuni y Belgium kukusanya pesa tena! Duh!

inatia uchungu sana hii nchi ukifikiri sana unaweza umia sana usikatishwe tamaa tina.
 
Agenda ya Mwakyembe ya kufanya mkutano na wafanyakazi wa TPA ni kutafuta kuungwa mkono pamoja na kuprempt kikao cha Bodi kilichopangwa kufanyika siku ya Jumanne ijayo agenda zake mojawapo ikiwa kujadili maswala ya maslahi ya wafanyakazi. Kwa kawaida Bodi ndicho chombo cha kupitia mapendekezo yoyote yanayowasilishwa na management na kuyapitisha au kuyafanyia marekebisho kabla ya waziri kufahamishwa ikiwa ni kwa taarifa tu. Hapa inavyoonyesha waziri amekaa na management( Kipande) na kuamua kutangaza kuyapandisha maslahi ya wafanyakazi bila Bodi kuhusika!!Kwenye kikao katika kile kilichoonekana ni kutaka kukonga nyoyo za wafanyakazi Mwakyembe amewaambia eti kwa sasa kuna ufa kwenye Bodi yake aliyoiweka kwa mbwembe mwaka jana hivyo atatumia cement kali kuziba na kuahidi kumweka mwakilishi wa wafanyakazi ( DOWUTA ) kwenye bodi atakayoisuka umpya!!!Hapa Mwakyembe na Kipande wametengeneza sanaa ya kutafuta kuungwa mkono na wafanyakazi kwa kuwapa aina fulani ya rushwa kwa njia ya uboreshaji wa maslahi!Waziri anataka kurudisha utendaji ndani ya Tpa kama enzi za mashirika ya umma ambayo yalifilisika. Wakati ule mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi alikuwa anaingizwa kwenye bodi nafasi ambayo anaweza hata kumkemea DG wake!!

tukio la kusikitisha ni Kipande kuanguka na tuliokuwapo tunamuombea Mungu apone na tunasema waliovumisha kuwa alikua na hirizi zilizomuelemea washindwe kwani ni uzushi kwa kuwa Madeni alipata tatizo la kawaida la kiafya na ni uchovu pamoja na maradhi
c c bibikuku
 
Last edited by a moderator:
mada haichangii kitu ktk maendeleo hadi tutakapoamka usingizini na kuacha kuimba nyimbo za "Kichina" na sarakasi za wanasiasa wanaojipanga kuendelea kuchota.. Kama tutajua Itakua too late maana sioni hata dalili ya kuamka. Kama majibu yenyewe ni haya hatutaki kuutumikisha ubongo tunasaidiwa kufikiri na Sanaa za kisiasa huku pesa zinayeyuka, master plan zimetupwa. Mungu Ibariki Tanzania maana hata mm nazungumza Kichina

naMWAKYEMBE ni Mlaji? ndo7bu anapiga kelele?
 
Uombewe maana hujui utendalo. Na we kama hazikuumi ama kukuhusu, povu la mini? Kaa pembeni wasome wenye kujua ulipo uchumi wa nchi. Ninashiriki hivyo vikao na ujue sitoacha kusema japo KIPANDE NA WAZIRI WANANIPENDELEA KULIKO WENZANGU, MEZA WEMBE WEEE MAANA MIMI NINGEKUA MBINAFSI NISINGESEMA MAAMA NAPATA ULAJI KISHENZI. WATU WAMEENDA BAGAMOYO KIKAO CHA SIKU 2 ALHAMISI NA IJUMAA ULAJI POSHO YA SIKU SITA

Kumbe wewe Tina mpuuzi. Unatuchezea akili. Angalia unavyojivua nguo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana!! Cement itaziba wezi!! Mimi utashangaa nipo siku zote! Nenda kasome! We umeniona ktk suala la TPA tu maana hujui mambo! Wanaojua wanatafakari kwanini nimekomaa!! Wewe na wenzako munapapasa mgongo wa tembo na kusema "ukuta huu mkubwa sana" hadi mutakapokutana na meno ama mkia!

Tina wewe umekomalia suala la TPA tu. Sehemu nyingine huwa wa comment kujiosha tu. Kuhusu Mwakyembe na Kipande waandika thread zisizo na mashiko kila siku. Bahati mbaya sana unakosa cha kuandika kwa kuwa huna.
 
Last edited by a moderator:
Ingawa mleta mada anasema yy ananufaika ila kelele zake ni kutokana na Dr kuidharau BODI huenda ikawa kweli lkn mi nadhani hata km ananufaika basi ckwakiwango alicho tegemea! 7bu huku mitaani tunaishi na Wafanyakazi wa TPA wanalia kutokana nakibano wanachopata kwakukatiwa mirija Mleta mada nadhani 7bu ana nafasi yakuandika hapa JF kwa jina bandia lkn kiukweli kilio KIPO! Binfsi namsupport Mh,WAZIRI kwa7bu Mswahili huwezi kumuongoza bila uDIKTETA! kawaida mswahili anapenda kujificha kwenye ki2 km hiyo BODI
 
Back
Top Bottom