Mwakyembe cant expect to run TPA with zimamoto attitude, wahenga wanasema bandari haikauki maji, obviously jicho lote la serikali liko hapa, you cant nominate the board including its chair, which I think might be contravening president's authority ( am just thinking coz mostly all boardchairs wa public org anateua mheshimiwa ) and then later on revert and call them 'kasuku' just because they decided to do 'a tell all' hao uliowateua uliwamwagia sifa kemkem na kuwatangaza kwa mbwembwe, ninachokiona kwa Mwakyembe ni tama ya sifa, ulevi wa madaraka na 'big results now' Roma haikujengwa kwa siku moja na haikujengwa na waandishi wa habari na sifa za mitandaoni, tumeiona NHC ikienda, slowly but surely towards delivering its mandate and beyond, not by kejeli za humu ndani na povu nyingi kama za Mwakyembe, umewapa watu kazi, sit them down, evaluate those KPI's kama hazifai badilisha, unatakiwa ujifunze falsafa ya uongozi kutoka kwenye timu zenye mafanikio kama Arsenal na Arsene Wenger, who has continually failed to get the trophy but delivered best memorable games and his board and management isn't driven by fans comments but by his KPI's , sasa wewe Mwakyembe umekuwa mfokaji usiyekuwa na plan, style yako ni kama ya Mrema, kutoa siku za kufanya kazi (7) hiyo ni kutibu dalili na kuacha ugonjwa...haujapitia business plan wala strategy ya bandari, anayekuhoji unamuona kigingi, ndio maana zile sanaa zako za jambazi uliyetumiwa, ugonjwa unaoumwa, polisi wanaokufuatafuata hatuzisikii tena, Unachojua ni kujiongezea 'ulinzi' na kuita waandishi na kutoa deadlines za kipuuzi, ningeomba washabiki wa Mwakyembe waje hapa watuambie hii treni ya Mwakyembe imebreak even au ina run kwenye loss, tujue hii ATC inakodisha ndege kwa kiasi gani, tuibukie TAZARA nako tujue kama wanainject hela kurevive internal workshops, kurudisha viwanja vyao au its just a silly season of firing verbal diarrhea, mind you; all these things kama train, ndege and TAZARA hes been singing their song for over 8 months, its harvest time, I have no bone with TPA but I sincerely don't think Mwakyembe did justice to his board, we should get him a desk and working tools at Bandari so he can be a permanent fixture so he can run TPA from there..... CC Pasco wa JF