Mwakinyo anataka kutafunwa na zimwi limjualo

TKO unakubali kushindwa baada ya kuona umezidiwa na hautashinda na huwenda utashindwa kwa Ko kama ukiendelea kukaza kwa hiyo unakubali mapema kuepusha hilo
Katika pambano letu haikuwa hiyo refa aliingilia katikati ya movement na kuwatenga mabondia mpinzani bado alikuwa anajiweza na mpaka refa alipigwa ngumi ni kama mazingira ya kutengeneza tu moja ya member wa muagentina alikuwa anadoubt haelewi nini kimetokea
Angalia jinsi pambano lilivyoisha
Acha kushekesha watu hujui ngumi wewe...hiyo ndo maana ya TKO? hivi unapata wapi ujasiri wa kuandika kitu usichokielewa huku ukijifanya unakielewa kaangalie hayo mapambano niliyoweka hapo juu...kuna TKO mbili tofauti hapo na bado siyo kwamba ndo mwisho.
 
TKO unakubali kushindwa baada ya kuona umezidiwa na hautashinda na huwenda utashindwa kwa Ko kama ukiendelea kukaza kwa hiyo unakubali mapema kuepusha hilo
Katika pambano letu haikuwa hiyo refa aliingilia katikati ya movement na kuwatenga mabondia mpinzani bado alikuwa anajiweza na mpaka refa alipigwa ngumi ni kama mazingira ya kutengeneza tu moja ya member wa muagentina alikuwa anadoubt haelewi nini kimetokea
Angalia jinsi pambano lilivyoisha
HAPANA, hiyo sio maana ya TKO
 
Ww ni chizi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wapambane tujue Tanzania one ni nani na sio kuogopa tu kisa Kiduku. Kupigana nje na kuwa na jina kubwa hakukumfanyi kuwa bora kuliko wengine...labda yeye alikua na chanel za kwenda nje lakini mwenzie hana afanyaje sasa?
 
Mambo Stamina,Bendera Chuma Mlingoti Chuma,Show show...Twaha Kiduku ni bora kuliko huyo Mwakinyo aseee
 
Nadhani hoja ya mleta mada iko hapa, badala ya kuanza kumsema vibaya Mwakinyo, basi tuangalie namna ya kumpandisha huyu kiduku na yeye apate dili mbali mbali kama za mwakinyo na sio kuanza kuchakarika kumshusha mwakinyo, wakati jamaa amehangaika kujenga jina kwa jasho na damu (hatukumfahamu hapo kabla)

Awe mbovu au sio mbovu iangaliwe namna ya kuendeleza kipaji chake na sio kumkandamiza, tuangalie namna ya kuinua wapiganaji wetu na sio kuanza kurumbana sisi kwa sisi.

Namini kwenye uwepo wa vipaji vingi Tanzania na sio uwepo wa kipaji Tanzania!
 
Hii tabia tunayo Sana bongo mtu akishakua juu na akafanikiwa tunamtafutia mshindani
 
Diamond akapewa Ali Kiba

Samatta akapewa Msuva

Na saiz Mwakinyo anataka kupewa Kiduku.

Kwanini isiwe Diamond tumpe Wizkid.

Samatta tumpe Olunga maybe.

Mwakinyo nae bondia yoyote mwenye uwezo wa nje.

All in all nadhani kuna tatizo mahali fulani hapa Tz kwenye kupata mafanikio na kuwa juu, wataokupiga vita ni ndugu zako kabisa.

Unafikiri ni kweli wanaomshabikia Kiduku wakati huu wanamshabikia kwa dhati au ndo ile hali ya kutaka kumtumia kumtia presha Mwakinyo na kutaka kumshusha?

Kwanini tusimpe support Kiduku apambane huko nje kama mwenzake nae ajenge jina siku wapambane wakiwa na majina Makubwa?!

Kuna tetesi zinasema Mwakinyo hajakataa pambano isipokuwa mzigo anaotaka ni mkubwa sana. Kama ni kweli basi yuko sahihi kabisa kwa sababu uwezekano wa Mwakinyo kuongeza thamani yake kwa pambano na mtu ni almost haupo. Ila kushusha thamani yake ni jambo ambalo lipo.

Mwadui anapocheza na Simba au Yanga anakuwa hana cha kupoteza hata akifungwa ataeleweka.
 
Umeongea point kubwa Sana.
 
Uchawi sana watanzania tuna wivu sana hata kiduku akipanda bado watamtafutia wa kumshusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom